kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Ushauri kwa Wakili Mwambukusi na wote Wapinga Mkataba wa Bandari. "Maliza moja kabla ya kuanza jingine"

    Asalam, Nilifuatilia sana suala la kesi iliyofunguliwa na hawa mawakili. Nikafuatilia hukumu na baada ya hukumu nikajipa muda kufuatilia mitazamo, uelewa, na mipango ya wafungua kesi. Huu ndio ushauri wangu. 1. Zamani sio kama sasa, hasa kwa taifa lililopevuka kama Tanzania, TUHESHIMU TAASISI...
  2. Nashauri Azam FC wawape Yanga SC points zao Sita ( 6 ) za Ligi Kuu ya NBC kabla hawajacheza nao

    Haiwezekani kila mkikutana na Yanga SC mnarudia makosa yale yale yanayowagharimu na Kufungwa kila mkikutana. Yaani Kocha mwenye Akili anaweza kumuweka Nje Kipa namba moja wa Timu aliyekuwa amekaa Benchini? Hivi Wachezaji kama Kipre Jr, Amoah na Idi Nado ni wa kutoanza katika First Eleven ya...
  3. Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

    1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba. 2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na ma X wake agegedwe. 3. Waluguru wanapenda kuishi pamoja ukoo mzima yale maisha ya kijima ya zama...
  4. A

    Aibu ya Barabara ya Mwendokasi Mbagala, inaanza kuzibwa viraka hata kabla ya kazi kuisha

    Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu. Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2...
  5. CCM imeamua kuuza nchi harakaharaka kabla hawajatolewa madarakani 2025

    Umofia kwenu ... Tukianza na Lolliondo ambapo UAE wameshapamiliki na panasomeka ni eneo lao..... Wamasai wamelazimishwa kuondoshwa kwa nguvu na kisiasa Songosongo ilitumika kuokoa maisha ya prince. Sasa tunapangiwa mpaka bei ya gesi Vitalu vya uwindaji vimegeuzwa arena za kutorosha wanyama na...
  6. R

    Hivi hii mikataba ilisomwa na kueleweka kabla ya kusainiwa ?

    Kuna hii clip inaonyesha mikataba ikisainiwa kwa speed kubwa kweli . Hivi imepitiwa kwa kina kweli ? Mbona ni kama hakuna u seriousness . Kwa hii clip ,mkataba wa DP unaonekana ulisainiwa 2022 feb 27 na 28 tukawekwe mjengoni ?
  7. Dereva wa basi namba T331 BMM achunguzwe haraka kabla hajaua watu!

    Dereva wa basi hili namba T331 BMM jana tarehe 04/08/2023 wakati tunaelekea Dodoma alinifanyia overtaking mbaya sana na kidogo anisababishie ajali. Kani-overtake bila tahadhari ya kutosha ambapo kulikuwa na Semi-trailer inakuja kwa kasi kwenye njia yake ya kurudi Dar, hamadi Uso kwa Uso anakuta...
  8. Sikujua kabla, nilikuwa nabisha huku sijui ninachobishania

    Naogopa kusema Mh Adv Mwakabusi alikosea. Binafsi sikupata muda wa kuusoma huo mkataba ila nilizisoma Arguments za Adv Mwakabusi na niliona zinamashiko sana. But nimepata muda nimeusoma huu mkataba kati ya Serikali ya Falme za Kiarabu ya Dubai na ambao wanaitwa "State parties" ndani ya mkataba...
  9. K

    Tundu Lissu umebakiza kutubu kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu. Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM...
  10. DR-Congo: Mwanajeshi apiga Risasi Ndugu na Waombolezaji kwa Kumzika Mwanae wa Kiume kabla hajafika

    Hiki Kiherehere kipo sana tu na Maeneo mengine labda alichofanya huyu Mwanajeshi kitakuwa Funzo Kwenu. Taarifa Kamili: Aljazeera.com === A soldier in the northeastern Democratic Republic of the Congo opened fire on family members and others who had buried his son before he could arrive home...
  11. Alichaguliwa chuo mwaka jana aka-confirm ila hakuripoti mwaka huu status bado inasoma selected kabla hata ya kuomba tena

    Habari zenu wakuu. Mwanafunzi mwaka jana aliomba vyuo viwili akapata vyote CBE na TIA. Aka-confirm CBE. Shida ikatokea mkopo hakupata hivyo hata chuo hakuripoti kabisa sababu mpaka batch zote zinatoka hakufanikiwa kupata kabisa na anapoishi ni mkoani. Sasa mwaka huu wakati dirisha...
  12. Ukitaka kujua ukubwa wa uke au uume wa mpenzi wako kabla ya kuingia kwenye mahusiano

    Habari zenu wapendwa, Natumai ni wazima kabisa na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa Taifa Kijana uwe wa kike au wa kiume ni lazima uijue japo kwa uchache elimu ya maumbile ya ndani kwa kusoma maumbile ya nje yaani kwa kumtazama usoni na miguuni tu au maumbile yaliyoruhusiwa kumtazama...
  13. Wafanyakazi 3,600 wa Muhimbili kupewa elimu ya fedha kabla ya kukopa au kuwekeza

    Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekubali ombi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila) la kutoa elimu kwa wafanyakazi wake 3,600 juu ya masuala ya kifedha, fursa mbalimbali zilizopo na vihatarishi vyake ili waweze kuchukua hatua stahiki kabla ya kukopa au kuwekeza. Ahadi hiyo...
  14. Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima. Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
  15. R

    Dr. Slaa: Waandishi wa habari someni mjue mikutano inahusu nini kabla hamjaenda kwenye mikutano

    Dr. Slaa awaambia Waandishi wa habari wafanye uchunguzi kujua mikutano wanayoenda kuhudhuria kutazungumzwa nini kabla ya siku ya tukio ili wasiende kuwa watu ambao hawana maana kwa kushindwa kupeleka ujumbe unaotakiwa kwa wananchi. Dr. Silaa alisema hayo baada ya mwandishi wa habari kumwambia...
  16. Tanzania ilikuwa na Watu 9,649,925 mwaka 1964 kabla ya Muungano

    Wakati Tanzania Bara na Zanzibar zikiungana mwaka 1964, Tanzania ilikadiriwa kuwa na idadi ya watu 9,649,925, kati ya watu hao, wanaume walikuwa 4,432,599 na wanawake walikuwa 5,217,326 sawa na asilimia 46 kwa 54 mtawalia. Aidha, idadi ya watu kwa Tanganyika ilikuwa 9,354,560 wanaume wakiwa...
  17. Msikilize Mbowe kabla na baada ya kifo cha Hayati Magufuli, inaonekana anajutia kwanini hakumuunga mkono

    Ukisikiliza Kauli hii ya mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe utagundua kuwa hata yeye anajutia kwanini hakumuunga mkono Magufuli. Kauli zake zinapingana sana kabla na baada ya Magufuli kufa.
  18. Ulishawahi kumwaga chakula au mboga yote muda mfupi kabla ya kula, ulifanyaje kuokoa jahazi?

    Wapishi mko njema? Kwenye harakati za upishi ajali ni kawaida sana, ila zikidi wewe utakuwa hujui kupika ukatafute kitu kingine cha kufanya. Sasa bwana, kwa upande wangu, kuna kipindi tulikuwa tunahama nyumbani na kazi zilikuwa nyingi, moja ya jukumu langu ilikuwa ni kupika maharage (nikikupia...
  19. S

    Nilikuwa na Wake Wengi Kabla Sijaokoka. Sasa Nimeokoka, Je! Niwaache?

    Nilikuwa na Wake Wengi Kabla Sijaokoka . Sasa Nimeokoka , Je! Niwaache? Je Mkristo Kuwa na Wake Wengi Ni Dhambi? 💫💫💫💫💫 ©️ Mwl. Makungu Ms 0743781910 Suala la binadamu kuishi mfumo wa maisha ya kuwa na wake wengi limekuwepo tangu nyakati za mwanzoni mwa ulimwengu. Miongoni mwa...
  20. Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza

    Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza Ni muhimu kutambua kwamba kila mtu anao haki ya kujisikia salama, kuheshimiwa, na kuthaminiwa katika mahusiano ya kimapenzi. Hata hivyo, ni muhimu kufahamu tofauti kati ya kumchunguza mwanamke kwa njia nzuri na ya heshima na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…