kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna scenario kwamba watoto walizaliwa kabla ya mda huwa na akili sana je ni kweli

    Niliwahi kuskia mahar kwamba watoto walizaliwa kabla ya miez tisa Wana akili Kuna ukwel wowote katika hili
  2. O

    Gachagua: “Kulikuwa na Mipango Mitatu ya Kuniua Kabla ya Kuondolewa Madarakani”

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amedai kuwa kulikuwa na mipango mitatu ya kumuua alipokuwa madarakani, akimtuhumu Rais William Ruto kwa kuhusika na njama hizo kabla ya kuondolewa kwake madarakani kupitia mchakato wa impeachment. Akizungumza katika mahojiano ya televisheni, Gachagua...
  3. Kabla hujaanza biashara kwa kushawishiwa na watu wa mtandaoni tambua hili

    Kabla hujaingia kwenye biashara kwa kushawishiwa au kupenda jinsi wafanyabiasha mtandaoni wanavyoishi maisha mazuri tambua hili 👇 WENGI WAO HAWAISHI KWA BIASHARA UNAYOIONA KWA MACHO, BIASHARA UNAYOIONA INAKUA KAMA OMO ILI MAMBO MENGINE YAENDE
  4. CHADEMA Shikilieni hapo hapo; CCM walishazoea kutuona hatuna akili

    Kuna Mzee Chalinze kila alipopata matatizo ya kisiasa alisema ''ni upepo' utapita tu. Ni kweli ilitokea hivyo Mzee akashauri uchaguzi ufanyike tu ni upepo utapita tena akijivunia alivyopindua meza Dodoma mkutano mkuu Ushauri wake ulikubalika kwa kuangalia Historia na si nyakati na vizazi...
  5. Hua unapata ishara gani kabla ya msiba kutokea?

    Guys, nina majonzi ya kuondokewa na kaka angu binamu, lakini kuna kitu kimenisukuma kuandika hili, mie kabla msiba haujatokea kuna ishara mbili napata najua tu ni msiba au majanga, Ya kwanza hua natamka, yaani najikuta tu nimesema "kuna msiba mkubwa unakuja" hapo mara nyingi inakua misiba ya...
  6. Hizi ndizo wilaya kongwe za Tanganyika zilikuwepo kabla ya mwaka 1947

    Kwa mujibu wa ramani ya kihistoria ya Tanganyika ya Januari 1, 1947, mgawanyo wa kiutawala ulikuwa kama ifuatavyo: A. MAJIMBO YA KIUTAWALA (PROVINCES) Lake Province Western Province Central Province Northern Province Tanga Province Eastern Province Southern Highlands Province Southern Province...
  7. Kimantiki takwa la kuachiwa huru kwa Tundu Lissu kabla maridhiano hayajafanyika halina maana tena!

    Moja ya matakwa ambayo CHADEMA wamekuwa wanayasema kama moja ya vigezo vya kuingia katika meza ya maridhiano ni kuachiwa huru kwa Tundu Lissu bila masharti yoyote. Ukiangalia hapa ambapo tumefikia, takwa hilo halina maana tena maana kama mahabusu amekaa siku 577, kama kuhukumiwa amehukumiwa...
  8. Kabla ya kuanza kufuga,je unajua pa kumpata daktari wa mifugo?

    Wana JF Watu wengi wanapoamua kuanza ufugaji, huanza kwa kutafuta eneo, kujenga mabanda, kununua mifugo na kuandaa chakula. Lakini mara nyingi husahau kujiuliza swali muhimu: Mifugo yangu ikiugua, nitapata wapi msaada wa daktari wa mifugo? Ufugaji una changamoto nyingi za kiafya. Kuku wanaweza...
  9. Kuna mambo mengine mnaweza kusema iran anavyo jitamba kumbe teknolojia ya nyuklia alipewa zamani na marekani kabla ya mapinduzi.

    Nimeshindwa kuweka hapa makala video fupi. Ila wachumbuzi wale wakina zungu hata hii teknolojia ukiuliza ilifikaje iran watabaki na kusema maandiko ya dini. Marekani alikuwa rafiki mkubwa iran mpaka kumpa teknolojia kubwa na kuna mataifa walipewa hii teknolojia kwa lengo la kufua umeme. baada...
  10. J

    Watu gani walitabiriwa hawataonja mauti kabla Bwana hajaja mara ya pili

    Watu gani walitabiriwa hawataonja mauti kabla Bwana hajaja mara ya pili Ni wakina nani ambao Bwana alisema hawataonja mauti mpaka atakapokuja? Yesu akiwa anafundisha watu katika eneo la Kaisaria Filipi, ambalo liko karibu kilomita 25 hivi kutoka mlima Hermoni, aliwatangazia mitume wake jambo...
  11. Usinunue kiwanja kwa kuangalia umbali wa leo, angalia maendeleo ya kesho

    Ndugu yangu,kabla hujaamua kwamba kiwanja kiko mbali, jiulize swali moja;Je, mji unaendelea kuelekea upande gani? Kila mji una mipaka yake ya sasa, lakini ukuaji wa miji hauishii kwenye mipaka hiyo. Kadiri watu wanavyoongezeka, biashara zinavyopanuka na makazi yanavyohitajika, maeneo mapya...
  12. Ujumbe gani wa mwisho uliambiwa naye kabla hajakata Roho - Hutakuja kuusahau ?? 😢 😭

    Ujumbe gani wa mwisho uliambiwa naye kabla hajakata Roho - Hutakuja kuusahau ?? 😢 😭
  13. Kama hujaolewa ni Marufuku kubeba mimba. Na ukibeba mimba bila ndoa utalea mwenyewe.

    KAMA HUJAOLEWA NI MARUFUKU KUBEBA MIMBA. NA UKIBEBA MIMBA BILA NDOA UNALETA MWENYEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba Mtemi! Mkicheka na nyani mtavuna mabua. Endeleeni kuchekea huu umalaya unaondelea mkifikiri ukikomaa mambo yatabaki yalivyo. Hayatabaki hivi yalivyo. Sheria itungwe...
  14. "Utumie ujana wako vizuri kabla ya uzee wako, ujana wako ndio utakao amua uzee wako uishi namna gani"

    Umeshawahi kusikia mzee au watoto wa mzee Fulani wanatoa lawama kuhusu Ujana wa Baba yao ulivyogharimu maisha yao? Ndugu zangu sehemu ya ujana wetu Ina nafasi kubwa sana ya kuamua ni aina gani ya maisha utayaishi katika sehemu ya maisha yako ya uzee. Usibiri mbaka uzee ukufike ndy uanze kujutia...
  15. Siri ya Mafanikio: Kwanini unapaswa kusoma Biashara Zilizokufa (Cadaver) kabla ya Kuanzisha biashara yako!

    Wakuu salama! Kuna ukweli mmoja mkubwa sana ambao mahasla wengi huwa tunaufeli. Mara nyingi tunakimbilia kusoma historia za biashara zilizofanikiwa (kama akina Mo Dewji au GSM). Lakini ukweli ni kwamba, ukitaka kujua changamoto halisi za soko, usisome waliofanikiwa nenda kasome biashara...
  16. K

    Je, tuunganishe doti? Kwa nini Lema ameongea hayo siku Tano kabla ya hukumu ya Lissu?

    Je Lema amepangwa atuandae kisaikolojia? Kwa nini ameongea Baadhi ya mambo yaahakamani siku Tano kabla ya hukumu ya Tundu lisu? Mfano eti kuna mbunge wa ujerumani alisema ni chadema na Diaspora ndio chanzo cha mauaji. Hapa lema ni kama anaunga mkono wauaji na kulaumu waandamanaji. Hapa ni kama...
  17. Ushauri wa kuchukua kabla hauja Gusa button ya kuhama mji kwenda kutafuta mafanikio sehemu nyingine.

    Jumapili karmu Kama unaona mazingira uliyopo yamebana na unatamani kuhama, zingatia yafuatayo kabla ya kufungasha virago: 1. Usiende Kichwa Kichwa: Usihame kwa kufuata mkumbo au msisimko wa kusikia flani kafanikiwa. Nenda ukiwa na mpango mkakati—unajua unaenda kufanya nini hasa 2. Andaa...
  18. Ajali za mara kwa mara barabara ya Kimara–Kibaha, Serikali iweke Speed Cameras na kudhibiti mienendo ya malori na mabasi kabla maisha zaidi hayajapote

    Natoa wito kwa Wizara ya Ujenzi, TANROADS, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na mamlaka nyingine zinazohusika kuchukua hatua za haraka kuimarisha usalama wa watumiaji wa barabara ya Kimara–Kibaha. Licha ya barabara hii kuwa ya kisasa yenye njia sita, hali ya usalama kwa watumiaji...
  19. Ama kweli IDF ni kiboko cha Magaidi huko Mashariki ya Kati: Wamuua Gaidi Mohammad Al-Bayoukh kwa kumpa taarifa kabla!!!!

    Vyanzo kutoka Gaza vinasema kuwa Mohammad Al-Bayoukh, ambaye aliuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Israel huko Khan Younis siku mbili zilizopita, alipokea simu kutoka kwa afisa wa shirika la usalama la Israel, Shin Bet, akimwamuru apande juu ya paa la shule inayotoa hifadhi kwa...
  20. Q

    PostGE2025 Padre Kitima: Kanisa lilionya kutofanya uchaguzi kabla ya kurekebisha kasoro za uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…