jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. Jinsi ya kutengeneza offer ya mwisho wa mwaka kwenye biashara yako

    Mwisho wa mwaka ni kipindi kizuri cha kufanya tathmini ya biashara yako na kutafuta njia mpya za kuvutia wateja. Wakati huu, watu wengi wanapanga matumizi yao, wanajiandaa kwa mwaka mpya na wanatafuta bidhaa au huduma zitakazowasaidia kuanza mwaka vizuri. Hii ni fursa kwa wafanyabiashara...
  2. C

    Jinsi Show ya Fally Ipupa inavyotaka kuvunja ndoa yangu

    Yaani ni Bora fally asingekuja maana wife anataka either niende nae kwa fally au nibaki home tuangalie kideoni na mm tayari nililipia VIP na washkaji zangu nilimpanga mchepuko wangu tukaenjoi nae rhumba Sasa wadau nisaidieni hapa nafanyaje kwenye hili?
  3. H

    State Capture: jinsi pesa za wananchi zilizotakiwa kuajili walimu na madaktari na zinavyotumika kuhonga wanasiasa, viongozi wa dini.

    Makaburu yanavyotuendesha kibabe kwa kutumia mbumbumbu wetu. 1. Kila mwenye akili na mawazo ya kujenga anatolewa kwenye siasa. Awe CCM au nje yake. 2. Bunge, polisi, Mahakama na Raisi hawawajibiki tena kwa watu bali makaburu yaliyowapa mamlaka kwa mkono wa chuma... ... 3. Teuzi na tenguzi...
  4. Kuna haja ya utafiti jinsi punyeto inavyowaepusha vijana na magonjwa ya zinaa

    Badala ya kila siku watu kutueleza madhara ya punyeto kuna haja sasa ya watafiti kufanya utafiti na kutuletea faida za punyeto. Tunahitaji kupata data za idadi ya vijana walioepushwa na magonjwa ya zinaa kupitia punyeto. Nina uhakika kama kila hamu ya tendo ingeishia kwenye ngono magonjwa kama...
  5. J

    VIDEO: Tazama David Kafulila Akieleza Jinsi PPPs Inavyoweza Kuihami Tanzania Dhidi ya Migogoro[Crisis] za Kiuchumi Duniani

    Wasalaam Jf, Ukweli ni kwamba huyu jamaa anajua sana Uchumi. 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 PPP INAWEZAJE KUTULINDA DHIDI YA MISUKOSUKO YA UCHUMI WA DUNIA? Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, Bwana David Kafulila, anasema, PPP Centre na mfumo mzima wa PPP vinalisaidiaje Taifa pale dunia inapokumbwa na misukosuko mikubwa...
  6. Jinsi Dodoma inavyojengwa ndio ilipaswa majiji yote Tanzania yajengwe vile

    NB: Sisemi kuwa Dodoma imejengwa vizuri ila nasema kuwa inajengeka kwa speed na serikali inapazingatia kuliko miji mingine. Treatment inayopata Dodoma ndio ilipaswa ifanywe kwenye majiji mengine pia Dodoma wanajenga barabara za njia nne hadi mitaani huko, kwenye mitaa chipukizi. Serikali...
  7. U

    Sababu 13 zinazoonyesha jinsi waislamu wanavyofuata mafundisho ya nabii Issa (Yesu) zaidi kuliko wakristo

    SABABU 13 ZINAZOONYESHA JINSI WAISLAMU WANAVYOFUATA MAFUNDISHO YA NABII ISSA (YESU) ZAIDI KULIKO WAKRISTO 1. Kumuamini Mungu Mmoja. Nabii Issa (Yesu), amani iwe juu yake, alifundisha kwamba Mungu ni Mmoja na ndiye pekee anayestahili kuabudiwa, kama inavyoelezwa katika Kumbukumbu la Torati 6:4...
  8. Jinsi ya kukuza biashara kutoka mtu mmoja hadi kampuni kubwa: Njia 8 za kujenga empire

    Biashara nyingi hazikui kwa sababu mwanzilishi wake anataka kufanya kila kitu mwenyewe. Anataka kuwa mmiliki, meneja, mfanyakazi, muuzaji, mhasibu, Customer Care na msimamizi wa kila jambo. Matokeo yake, biashara inakuwa inamtegemea mtu mmoja. Akiondoka, mambo yanasimama. Akiumwa, biashara...
  9. Jinsi Hati Fungani (Treasury Bills & Bonds) Zinavyofanya Kazi

    Kuna usemi unasema "Serikali ina hela", lakini je, unajua kwamba unaweza kuikopesha Serikali hizo hela zako na ikakulipa faida nzuri tu, na kwa usalama mkubwa? Hii inafanyika kupitia kitu kinachoitwa Treasury Bills (T-Bills) na Treasury Bonds. https://youtu.be/CiVSpA24V8Y Kwenye uchambuzi mpya...
  10. M

    Hata kama ni kweli Rais ataongeza awamu za ziada, MTAFANYA NINI ?

    Mapovu ya keyboard warriors yamejaa mitandaoni baada ya tetesi ya kwamba Rais anaweza kuongeza muda wake kwa kuongoza awamu nyingine kupitia katiba inayoweza kupitishwa bungeni. If that will Happen, MTAFANYA NINI ? 😂😂 Haya twendeni kazi wazee wa "tunalaani vikali" na wachimba mikwara kwenye...
  11. Play smart: Jinsi wajanja wanavyotajirika kwa mtaji mdogo huku wakifanya biashara za mamilioni bila pesa.

    Habari za wakati huu wakuu wa jukwaa hili. ukisikia mjini njoo na akili zako nguvu acha kijijini basi soma uzi huu kwa umakini. Kuna kitu kimoja nimekuwa nikikiona mtaani kwetu, hasa kwa vijana wajanja wanaofanya biashara za Electronics (TV, sabufa, simu), Movie Libraries, na hata Hardware za...
  12. M

    Kwenu dada zetu, Mitandao inawaufundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini haitakufundisha jinsi ya kuishi na matokeo ya kupoteza ndoa yako.

    Mitandao inawajaza kiburi na kuwafundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini kamwe haitawafundisha jinsi ya kuishi na upweke, aibu, na maumivu ya kupoteza ndoa zenu. Leo hii, magroup ya makungwi, podcasts za ovyo, na hao mnaowaita 'role models' waliofeli kwenye maisha yao ya ndoa ndiyo...
  13. Biashara ya photo studio: mtaji, vifaa, faida na jinsi ya kuanzisha

    Mwongozo kwa vijana na wajasiriamali wanaotaka kuanzisha biashara ya upigaji picha na kuikuza hatua kwa hatua. 1. Utangulizi: Je, biashara ya Photo Studio inalipa? Katika kipindi hiki ambacho picha zinatumika kwenye biashara, ajira, mitandao ya kijamii na matukio mbalimbali, upigaji picha...
  14. Simulizi ya Emmanuel Eni, mchawi mkubwa aliyekuwa msaidizi wa karibu wa shetani, akiendesha mihadhara chini ya bahari

    Simulizi ya Emmanuel Eni (ambaye mara nyingi hujulikana kama Mchungaji Emmanuel Eni) ni moja kati ya ushuhuda maarufu na wenye mjadala mkubwa sana barani Afrika kuhusu mambo ya uchawi, nguvu za giza, na wokovu wa Kikristo. Aliweka wazi mkasa wa maisha yake kupitia kitabu chake kilichopata...
  15. Unapendwa Kuliko unavyodhani, unapendwa jinsi ulivyo ila shidaa ni...

    Shida: Sote tumetenda dhambi. Dhambi inatutenga na Mungu na kuleta uharibifu maishani mwetu. Suluhisho: Mungu anatupenda. Alimtuma Yesu Kristo aliyekufa msalabani kulipa deni la dhambi zetu na akafufuka ili kutupa ushindi. Wito: Wokovu ni zawadi ya bure. Ukiamua kuacha njia zako za kale na...
  16. Fahamu jinsi ya kupata gari unalotaka

    1. Fanya utafiti mdogo juu ya gari unalolitaka: Uliza ujue gari unalolitaka linauzwa kiasi gani[makadirio]. Ukiweza kujua bei ya showroom au ukiagiza mwenyewe Japan halafu linganisha na bei utakayopewa hapa. Hili ni muhimu kwa sababu nimeshuhudia watu wananunua magari yaliyotumika Tanzania kwa...
  17. K

    Melodi Moja, Dunia Mbili: Jinsi Kilwa Jazz walivyogeuza Ukosoaji wa Jamii wa Franco kuwa Wimbo wa Mapenzi

    Wakuu, Katika historia ya muziki wa dansi barani Afrika, miaka ya 1960 ilikuwa ndiyo enzi ya mageuzi makubwa ya kiutamaduni na kiubunifu. Moja ya mifano hai ya ushirikiano wa kiasili na kiakili katika muziki ni uhusiano uliopo kati ya wimbo "Est-ce que oyebi?" uliorekodiwa na miamba wa rumba la...
  18. Jinsi ya kubadilisha picha kuwa video kwa kutumia Gemini AI pro

    Sasa unaweza kutengeneza video mbalimbali za Ai kwa ajili ya matangazo na kurahisisha kazi zako kwa sj. 15,000 tu Whatsapp 0693880325 #GeminiAIPro #ArtificialIntelligence #AIVideoCreation #DigitalMarketing #ContentCreation #AITanzania
  19. K

    Uchambuzi wa Wimbo El Lute (Boney M): Jinsi Serikali Katili Zinavyowaponda Watu wa Chini na Sura ya Kubambikizwa Kesi

    Leo naomba tuutazame muziki nje ya burudani ya viuno na mahadhi ya kurembesha masikio. Nataka tuuchambue wimbo mmoja maarufu wa kihistoria unaoitwa El Lute, ulioimbwa na bendi ya muziki wa pop na disco ya Ujerumani, Boney M. Wimbo huu haukuwa tu wimbo wa kuchezeka klabu; ulikuwa ni waraka mzito...
  20. Lissu yupo Sana tu mtaani ninyi andaa tu jinsi ya kumpokea, wanaharakati baadhi wanawadanganya

    The frivolous, fabricated and politically orchestrated prosecution against Lissu has become a severe albatross around the neck of Samia's illegitimate and unlawful regime! And yet, simultaneously, you eulogize and applaud activists who are being fed spurious, mendacious intelligence to obfuscate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…