iran

  1. M

    Israel inatisha !! Mwaka ndio huo unayoyoma, kiongozi mkuu wa Iran kajificha uvunguni kama panya

    Israel wanatisha sana!! Mwaka unaelekea ukingoni huku kiongozi mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, akiwa bado amejichimbia uvunguni mwa mahandaki Hapendi ila inamlazimu, Israel wamekaa mkao wa kula akithubutu tu kutoka huko shimoni wanawatuma tena marubani wao wa kike wakafanye kilekile...
  2. Wahamiaji haramu kutoka nchi za Kiislamu waleta fujo huko Georgia

    Polisi wa Georgia walipambana na wafuasi wa Beşiktaş wa Uturuki wakionyesha bendera zinazoitwa "za Palestina" na mabango ya "Wapalestina" wakati wa mechi ya Ligi ya Europa ya UEFA dhidi ya Hapoel Be'er Sheva ya Israeli. Maafisa walitumia dawa ya pilipili na fimbo, na kumwacha angalau mtu mmoja...
  3. Sheikh Mkuu Irani atoa Siri nzito kuhusu Israel kuua Viongozi wa Iran

    Aiseee..... Sasa hapa anaongea lugha ambayo inafahamika kwa Waislamu. Hili ni moja ya matukio ambayo yanawatesa sana Wairan. Mpaka sasa hawajaweza ku recover. Hapa nazungumzia sana sana Wairan wa Iran. Achana na hawa wa Mchambawima na Kunduuchi au Kilimanyege.
  4. Drone mpya ya Iran aina ya Shahed-136B, limezinduliwa rasmi!!!!

    Katika maonyesho ya "Anga na Usafiri wa Anga" yaliyofanyika Mashhad, Iran, toleo lililoboreshwa la ndege isiyo na rubani ya kujilipua yenye uwezo wa kusafiri umbali mrefu, iitwayo Shahed-136B, limezinduliwa leo. Ndege hii imeundwa ikiwa na uwezo wa kufika maeneo ya ndani kabisa barani Ulaya...
  5. M

    Israel wanatumia masaa mawili kufika Iran, mifumo ya Iran imelala fofofo, wanastuka Israel huyu hapa wanasema "Surprise Attack"

    Yaani Israel wanatuma msafara wa NDEGE 2OO zinapaa masaa mawili angani mpaka kufika Tehran, halafu utasikia "wametuvamia kwa kushtukiza" (Surprise Attack) Na hii ndiyo sababu Israel siku hizi wanajiamini kupitiliza hadi kuwatuma marubani wa kike wakafanye "field" kule Iran! Yaani wamelishusha...
  6. Israel yadai Iran inatengeneza silaha za kemikali!!!

    🚨 Israel imeshiriki taarifa za kijasusi na Marekani zinazoonyesha kwamba Iran inatengeneza silaha za kemikali kwa ajili ya matumizi yanayowezekana dhidi ya Israeli na nchi zingine katika Mashariki ya Kati, kulingana na Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz. Katz pia alifichua kwamba: ▪️ Iran...
  7. Iran inazidi kuporomoka Kiuchumi!!!!

    Iran: Rundo tatu zinazoonekana hapa zinawakilisha noti 3,000 za riali 1,000 kila moja. Jumla ya pesa hizo taslimu ilikuwa na thamani ya takriban dola 1.02 za Marekani mnamo Jumatano jioni, wakati chombo cha kufuatilia sarafu, Alanchand, kilipobainisha kiwango cha uuzaji cha riali 2,951,000 kwa...
  8. M

    Tusimlaumu Motjaba kiongozi mkuu mpya wa Iran kuendelea kujificha, alichofanywa baba yake aliyejiamini hagusiki ni funzo kuwa Mossad hawajaribiwi

    Ni mwaka sasa unakaribia kuisha, Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, bado hajawahi kujitokeza hadharani kwa protokali rasmi tangu alipochukua madaraka mwezi Machi 2026. Kama amewahi kutoka basi ni kwa kujificha ficha na kuvujisha picha baada ya kurudi tena mafichoni. Siku ya kiama...
  9. M

    Hivi Iran wamekwama wapi kulipiza kisasi walichoapa kwa Netanyahu? Ni aibu na fedheha marubani wa kike kumuua kiongozi mkubwa kama Ayatollah

    Ilikuwa ni aibu ya kihistoria na dharau ya mchana kweupe! Israel iliamua kumshusha thamani Ayatollah kwa kiwango cha juu kabisa mpaka ikafikia hatua ya kutuma mabinti wa kike kwenda kumsambaratisha, tena kipindi kile alichokuwa akijiamini kuwa mifumo ya ulinzi ya Iran na makomandoo wake wapo...
  10. Hakuna haja ya Israel kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran kwa sasa - Eisenkot

    Wanaukumbi. Gadi Eisenkot, ambaye anashiriki mazungumzo ya kuunda serikali mpya nchini Israel, amesema haoni haja ya kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran kwa sasa. Gadi Eisenkot, ambaye aligombea nafasi ya Waziri Mkuu, amesema katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika bunge...
  11. Baada ya Iran kuumizwa na Naval-Bloackade ya Marekani Yasema itajitutumua kuipinga

    Iran inasema itatumia kila zana iliyo nayo kukabiliana na kizuizi cha majini cha Marekani, Reuters inaripoti. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Esmaeil Baghaei alisema Jumatatu kwamba Tehran haitavumilia vikwazo hivyo, akivielezea kama uchokozi wa kijeshi. Kizuizi hicho kinalenga mauzo ya nje ya...
  12. Rais wa Marekani Trump aseme Neno kuhusu Iran

    Rais wa Marekani Trump kuhusu Iran: Nina mwelekeo wa kuanzisha tena mashambulizi dhidi ya Iran baada ya kuanza kwa mwaka mpya, iwapo hakuna makubaliano yatakayofikiwa. Natumai meli za mafuta za Iran zitajaribu kupinga mzingiro huo. Zote zitajikuta zikiwa chini ya bahari, kama ilivyo kwa Jeshi...
  13. C

    Iran: Masoud Pezeshkian ameweka wazi wanakabiliwa na hali mbaya ya uchumi baada ya vita

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amekiri kuwa hali ya nchi hiyo si nzuri kwa sasa, akisema taifa hilo linakabiliwa na changamoto zinazohitaji kukubaliwa na kushughulikiwa kwa pamoja badala ya kuficha ukweli au kutoa ahadi zisizo na uhakika. Pezeshkian amesema Iran ina uwezo wa kukabiliana na...
  14. Meli ya mafuta ya Iran "line-breaker' imeanza safari kupita kizuizi cha jeshi la marekani

    Iran imetangaza kuwa hii ndo itakuwa "the last confrontation against imperialism " . Meli ya Iran VLCC iliyobeba mafuta imeanza safari kupita mlango bahari wa hormoz na kutumia nguvu kupita katika kizuizi Cha jeshi la marekani . Iran imetangaza endapo meli hiyo itashambuliwa na jeshi la marekani...
  15. Iran yajitapa kuipiga Ulaya kwa Makombola!!

    Iran: Msemaji wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu anasema makombora ya Iran yanaweza kufikia shabaha zilizo umbali wa kilomita 4,500. Ikipimwa kuanzia mipaka ya Iran, umbali huo unaiweka karibu Ulaya nzima, ikiwemo London, ndani ya uwezo wa kufikiwa. Ingawa madai hayo yanaweza kuwa...
  16. Rais wa Iran akiri: Nchi haiwezi tena kuendelea kufanya kazi kama ilivyokuwa kabla ya vita

    🚨 RAIS WA IRAN AKIRI: NCHI HAIWEZI TENA KUENDELEA KUFANYA KAZI KAMA ILIVYOKUWA KABLA YA VITA. Rais Masoud Pezeshkian anakiri kuwa Iran inakabiliwa na mgogoro unaoenea mbali zaidi ya uwanja wa vita. "Ikiwa tutajaribu kuendelea na matarajio na madai yale yale tuliyokuwa nayo kabla ya vita...
  17. Iran yashambulia meli ya Mafuta huko Khasab,Oman

    Iran ilishambulia meli ya mafuta karibu na pwani ya Khasab, Oman, karibu na Mlango-Bahari wa Hormuz. Lakini Mzee wa Uharo Ritz yeye atasema imepogwa huko Hormuz wakati anajitoa ufahamu kuwa huko Hormuz kuna Naval-Bloackade ya Marekani!!
  18. Kipondo kwa Iran kiko Palepale!!!

    Trump asema anatafakari mashambulizi mengine dhidi ya Iran, huku Netanyahu akisukuma kampeni ya siku 4 hadi 7 Rais wa Marekani Donald Trump anaripotiwa kuzingatia mipango ya kuanzisha mashambulizi mengine makubwa dhidi ya Iran, huku Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu akiishinikiza Washington...
  19. Iran wananchi wamechoka kuongozwa na Magaidi waanza Maandamano na kutaka Shah!!!

    Wairani waliandamana katika mitaa ya Abdanan katika jimbo la magharibi la Ilam leo, wakipinga vifo vya wafanyakazi 13 wa sekta ya mafuta katika ajali ya basi ya Novemba 14. Waandamanaji walidai uwajibikaji kwa barabara zisizo salama na hali ya usafiri, huku biashara za ndani zikifungwa kwa...
  20. Urusi yaendelea kuisaidia Iran kwenye vita vyake na Israel/Marekani!!

    Kuna wafuga Midevu na majini wanaamini magaidi wa Iran wanapigana peke yao! Nawaambia waache ujinga!!! Ndege ya kijeshi ya Urusi aina ya Ilyushin Il-76 ilitua Tehran asubuhi ya leo baada ya kuondoka Moscow, ikiashiria kuwasili kwa ndege ya pili ya mizigo ya Urusi nchini Iran ndani ya wiki moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…