Wazee tukubaliane tu Maza na wenzake ndiyo wameenda hivyo, hiyo imeisha .
Waandishi wa yale mashtaka wanaweza kuwa ni majini au viumbe wa ajabu iabisa coz siyo kwa mpangilio ule aagh!🫢
Ukitaka kuelewa angalia Mpangilio wa makosa yanayomkabili yeye na wenzake kisha gawanya na viwango vya...