MCA wa Watamu, Ibrahim Matumbo, amezua mjadala baada ya video hii inayosambaa mitandaoni kumuonyesha akiwapa wakazi fedha taslimu za KSh5,000 kila mmoja.
Katika video hii, wakazi wanaonekana wakijipanga kwa foleni huku wakipokea fedha hizo kutoka kwa MCA huyo. Tukio hilo limeibua maswali...