Happy Sabbath wanajamvi.
Si rahisi kugundua ni Kwa kiwango gani unapendwa,ni ngumu mno,ila bahati mbaya wanaume Tunajikuta si wapembuzi wa mambo.mtu anajikuta anaingia kwenye mtego wa SUBIRA na UVUMILIVU.
Leo ni siku nzuri ya jumamosi,siku ya mapumziko Kwa wahangaikaji ,wengi.nitumie fursa hii...