huna

Hunas or Huna (Middle Brahmi script: Hūṇā) was the name given by the ancient Indians to a group of Central Asian tribes who, via the Khyber Pass, entered the Indian Subcontinent at the end of the 5th or early 6th century. Huna Kingdom occupied areas as far as Eran and Kausambi, greatly weakening the Gupta Empire. The Hunas were ultimately defeated by a coalition of Indian princes that possibly included the Indian king Yasodharman. He and possibly the Gupta emperor, Narasimhagupta, defeated a Huna army and their ruler Mihirakula in 528 CE and drove them out of India. The Guptas are thought to have played only a minor role in this campaign.The Hunas are thought to have included the Xionite and/or Hephthalite, the Kidarites, the Alchon Huns (also known as the Alxon, Alakhana, Walxon etc.) and the Nezak Huns. Such names, along with that of the Harahunas (also known as the Halahunas or Harahuras) mentioned in Hindu texts, have sometimes been used for the Hunas in general; while these groups (and the Iranian Huns) appear to have been a component of the Hunas, such names were not necessarily synonymous. Some authors suggest that the Hunas were Ephthalite Huns from Central Asia. The relationship, if any, of the Hunas to the Huns, a Central Asian people who invaded Europe during the same period, is also unclear.
Gujars are sometimes said to have been originally a sub-tribe of the Hunas.In its farthest geographical extent in India, the territories controlled by the Hunas covered the region up to Malwa in central India. Their repeated invasions and war losses were the main reason for the decline of the Gupta Empire.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama huna vivuli kabisa, huenda haupo kwenye mwanga

    Kuna kauli ambazo unaweza kuzisoma kwa sekunde chache, lakini ukizitafakari kwa kina zinakufanya uangalie upya namna unavyoishi, unavyofikiri na unavyoyachukulia mazingira yanayokuzunguka. Katika maisha, mara nyingi tunatamani mwanga bila vivuli. Tunataka mafanikio bila kushindwa, furaha bila...
  2. Mwanaume kama huna Pesa "huthaminiki"!

    Wanabodi.. Poleni kama nitakuwa nimeandika lugha ngumu, ila nataka kuweka msisitizo kabisa. Wanaume wenzangu, ni muda mwafaka wa kutambua ukweli Mchungu. Mnyama dume asipo kuwa na nguvu, hawezi kustahimili maisha ya porini. Ataishia kuteswa na wanyama wenye nguvu, hata pata jike, na pia hata...
  3. Mkurugenzi Mkuu NIDA, Kaji: Tumeshaongea na viongozi wetu wa dini, hata ndoa—huna NIDA, hakuna ndoa

    Kitambulisho cha Taifa cha NIDA kinatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya taratibu za kufunga ndoa nchini, ikiwa ni hatua ya kuhakikisha wahusika wanatambulika rasmi na kuzuia wageni kujifanya Watanzania kupitia ndoa ili kupata utambulisho wa uraia. Akizungumza katika uzinduzi wa kitambulisho kipya...
  4. Hata kama una Degree/Masters: kama huna kazi jitahidi uwe na CV hizi ili angalau maisha yaende. Sio dhambi kujishusha kwa muda.

    Hata kama unadegree na huna kazi. Jitahidi uwe na CV pembeni ya -STD 7. -ya Form 4. -ya Form 6 au Diploma. Maisha hayajanyooka kama unavyodhani. Wakati unasubiri kazi au biashara ya ndoto lazima uishi. Kuishi inabidi uwe tayari kwa lolote. Kuna jamaa aliitwa Interview akasweka vyeti vyote. CV...
  5. Unataka kujifunza video editing kama pro lakini huna pesa ya kulipia kozi? Nina habari nzuri kwako! 🔥

    Fikiria kuwa na uwezo wa kutengeneza video zinazovutia, zenye transitions nzuri, effects za kuvutia, maandishi yanayosogea na audio iliyopangwa kitaalamu, ukitumia simu yako tu! Unajua kitu kizuri zaidi? UNAWEZA KUJIFUNZA CAPCUT BURE! Watu wengi wanatamani kuwa Content Creators, Video Editors...
  6. Wanaume: Zama zimebadilika

    Ngoja niwasanue wanaume wenzangu leo. Hakikisha hauingii kwenye mahusiano kama unajua fika kuwa hauna "the upper hand", yaani kama hauna maokoto usidiriki kuchase mwanamke. Tunaishi katika jamii ambayo survival ime base kwenye hela.. Yaani mwanamke hawezi kuishi na mwanaume mwenye hali ya...
  7. Huna kazi na uko Dodoma nichek nikufundishe udalali ujikwamue kimaisha

    Natafuta madogo wawili ambao wako mtaani hawana mitikasi niwafundishe udalali wa nyumba,viwanja na magari pengine itawasaidia kwa kipindi hiki ambacho hawana ajira rasmi ukiwa dodoma itakuwa poa zaidi nicheck whatsap-0622111186 GIVING BACK TO HELP THE YOUTHS
  8. A

    Umeagiza gari limefika bandarini lakini huna pesa za ushuru?

    Don't panic! Kuna njia salama na yenye unafuu wa gharama kulihifadhi gari lako kupitia BONDED WAREHOUSE wakati ukijipanga kupata fedha za kulipia ushuru. Njia hii ndio utumiwa na waagizaji na wauzaji wa magari wanachofanya ni kupeleka gari bonded warehouse na kuanza kutafuta wateja ikitokea...
  9. Rafiki yako anayetembea na mke/mume wa mtu. Usimuamini. Huna Rafiki hapo. Ni wazi hata mkeo/mumeo anatoka naye. Wewe ndio hujui tuu.

    Hamjambo! Unajua kabisa. Rafiki yako. Unayemuamini. Unayemuambia siri zako. Anayejua mambo yako. Ukamkuta anayembea na mke au mume wa mtu. Tena mnapiga na stori kabisa. Inawezakuwa unamwambia anafanya ndivyo sivyo. My friend. Huyo sio Rafiki. Sisi Watibeli. Wazee wa kazi. Wanasaikolojia...
  10. M

    Muongozo wa kununua Spark Plug sahihi: Usibahatishe ! Fundi na Ai wanaweza kukosea, tumia katalogi hii ya DENSO.

    Makampuni ya spark plugs yapo mengi, lakini kwa uchache wa resources nilizoweza kupata, nimefanikiwa kuipata DENSO Spark Plug Catalog PDF na nimeona niishirikishe hapa kwa manufaa ya wengine. Katalogi ya DENSO ina columns mbalimbali zinazokusaidia kutambua spark plug sahihi kulingana na aina ya...
  11. Unajiitaje mtoto wa mjini (born town ) na huna mganga wa uhakika au huwajui waganga?

    Mtoto yeyote yule wa mjini hakai kindezi , lazima awe mtu wa kuchungulia huku na huku kuangalia michongo yake . Pia huwezi jua siku wala saa siku utakayoingia wavuni mfano kupata kesi kubwa na hujui namna ya kuipangua maana si kila kesi utaweza kutumia pesa kuizima, kesi zingine zinahitaji...
  12. M

    Sheria ya kuishi na ndugu niliyowahi kujifunza kwa uchungu, Usijihusishe na taabu zao ambazo hazikusumbui,

    Family Rule: dont bother the trouble if the trouble isnt bothering you Kuna kipindi niliwahi kuitwa kutoa ushauri wa tabia mbovu ya mtoto wa kaka ya kutofanya baadhi ya majukumu alipokuwa kwa bimkubwa Basi mimi nikajitia fronti nikaanza kumkanya huyo mtoto, nilimcharaza maneno kisawa sawa hadi...
  13. Sitamani kuwa Rais bali natumia haki yangu ya kikatiba ambayo hata wewe unayesoma huu uzi unayo kama ni mtanzania na huna jinai

    Kwenye nyuzi zangu kumeibuka watu wananikasirikia eti nikisema nikiwa Rais wa Tanzani unajua kuna watu wanavituko sana Katiba ya Tanzania haijamkataza mtu kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania hata wewe unayesoma kama ni mtanzania na huna jinai basi una-haki hiyo kwa hiyo usinikasirikie mimi...
  14. M

    Wanakupenda kwa sababu huna msimamo

    #.Ukikubali kila kitu unaitwa mpole. #.Ukikubali kutumwa kila saa unaitwa mnyenyekevu. #.Ukikubali kulipwa kidogo unaitwa mvumilivu. Kumbe wanakufurahia na kukuita majina mazuri kwa sababu huna msimamo. Anayependwa na kila mtu hana msimamo kwani Mwenye msimamo lazima kuna watu...
  15. Kuna baadhi ya biashara kama huna muda wa kuzisimamia ni bora ukaitunza tu pesa yako

    Kuna baadhi ya biashara kama huna muda wa kuzisimamia ni bora ukaitunza tu pesa yako .tupe mfano wa biashara hizo?
  16. Umechapwa na maisha si kwa sababu huna elimu, bro umekosa connection. Kazi zipo nyingi

    Kama huna connection lazima ubebeshwe vyombo na wale wahuni wanaoweka matangazo ya kazi kwenye nguzo za umeme. Hivi umewahi kujiuliza mwonja chakula cha Rais kasomea kozi gani na ana elimu gani? Kama huna connection subiri matangazo ya kazi ya SEKRETERIETI YA AJIRA, na hicho Kiingereza chako...
  17. Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45

    HUNA SABABU YA KUWA BABA YA KAMBO HASA UKIWA CHINI YA MIAKA 45. Anaandika, Robert Heriel Tz Mtibeli. Naongea na vijana wa Tibeli, naongea na binti za Tibeli. Nazungumza na wanaume wa Tibeli. Nazungumza na wanawake watibeli. Na wote wenye ufahamu. Najua duniani inatabaka mbili. Watumwa na...
  18. A

    Je wewe ni mhitimu wa digrii au diproma ya kodi ambae umechoka kukaa mtaani bila kazi kisa huna uzoefu wa taaluma yako?

    Ewe mhitimu wa kodi hii ni nafasi njema kwako' (i). Unapenda kupata uzoefu ili uanze kutengeneza pesa kwa kutatua matatizo ya wafanya biashara na makampuni mbalimbali. (ii). Unahitaji kupata uzoefu kwenye taaluma yako ili uaminiwe na waajiri pindi unapoitwa kwenye interview. (iii). Tumia career...
  19. Kama wewe ni mtanzania, umevuka miaka 35 na huna Passport upo kwenye list ya watu maskini

    Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta...
  20. Usiseme huna kazi PATA kazi hii hapa.

    Hacha KULALAMIKA njoo ufanye kazi na hao jamaaa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…