huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Tiba ya jadi ya Kichina yapanua huduma za kuishi maisha ya kawaida nchini Sudan Kusini

    William Deng, mwajiriwa mwenye umri wa miaka 52 katika Mamlaka ya Mapato nchini Sudan Kusini, alitegemea kutumia kiti cha magurudumu baada ya kupata kiharusi mwezi Agosti, lakini baada ya kuanza matibabu katika Hospitali ya Mafunzo ya Juba, anasema kwa sasa anaweza kutembea bila kutumia kiti...
  2. H

    Brela, Brela na Brela tumewaita mara 3, JIREKEBISHENI MNATUTESA SANA WATEJA WENU sanasana hapo kitengo cha HUDUMA KWA WATEJA sijui mmepataje kazi hapo

    Brela, Brela na Brela tumewaita mara 3, JIREKEBISHENI MNATUTESA SANA WATEJA WENU sanasana hapo kitengo cha HUDUMA KWA WATEJA sijui mmepataje kazi hapo. Namba za huduma kwa wateja hatufurahishwi na haitusaidii kitu, kazi kutaja track no then IMEISHA sio vzr Bwana. GODFREY NYAISA(mkurugenzi brela)...
  3. W

    BILIONI 20 KUIMARISHA HUDUMA YA MAJI MIKUMI

    Serikali imewekeza zaidi ya shilingi Bilioni 20 katika miradi ya maji Mikumi, Wilaya ya Kilosa, mkoa wa Morogoro, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha huduma ya majisafi kwa wananchi. Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Kundo Andrea Mathew (Mb) amesema hayo akihutubia wananchi wa Kilosa katika...
  4. C

    NMB huduma za benki zinatarajiwa kurudi hivi karibuni

    Tunapenda kukufahamisha kuwa juhudi za kurejesha huduma za kibenki zilizoathirika zinaendelea, na tunatarajia huduma kurejea hivi karibuni. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na tunathamini uvumilivu na uelewa wako wakati wataalamu wetu wakikamilisha urejeshaji wa huduma. Tutaendelea...
  5. huduma za IT kama computer windows os 10, 11 installation & activation license key na softwares installation ka 50,000 TZS, Genuine nicheki 0756704145

    huduma za IT kama computer windows os 10, 11 installation & activation license key na softwares installation ka 50,000 TZS, Genuine nicheki 0756704145, tupo mkoa wa dar es salaam, kariakoo,mbezi mwisho na n.k
  6. C

    NMB yatangaza hitilafu ya kiufundi kwa baadhi ya huduma

    Benki ya NMB imetoa taarifa kwa umma ikieleza kuwa baadhi ya huduma zake za kibenki hazipatikani kwa sasa kutokana na changamoto ya kiufundi. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa Novemba 23, 2026 Wataalamu wa benki hiyo wanaendelea kushughulikia hitilafu hiyo ili kurejesha huduma haraka...
  7. Maendeleo ya jitihada za kurejesha huduma ya umeme katika mikoa YA Mbeya na Songwe

  8. C

    KERO Kituo cha mwendokasi DIT huduma zimesimama zaidi ya siku 20, abiria tunaambiwa tukapandie Fire au Kisutu

    Ni kipindi cha mwezi mmoja kinakaribia kuisha tangu kituo cha mabasi ya mwendokasi cha DIT kisimamishe huduma. Binafsi nafanya kazi katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), na kwa muda mrefu mimi pamoja na wenzangu tumekuwa tukitumia kituo hicho kupata usafiri. Nasikitika kusema kuwa kwa sasa...
  9. M

    Chuo unachosoma au ulichosoma kulikuwa na changamoto ya Huduma gani?

    Wanafunzi wa Chuo kilichopo Dodoma wanadai changamoto inayowakabili hapo chuoni ni uhaba wa maji, je kwenye Chuo ulichosoma au unachosoma kuna changamoto ya upatikanaji wa huduma gani? Usisahau kutaja jina la chuo na kama tatizo bado lipo wahusika wanaweza kuona na kuchukua hatua.
  10. Mmuya aridhishwa na utoaji huduma kwa wananchi, ahimiza matumizi ya e-Ardhi

    Aelekeza wananchi kuelimishwa zaidi kuhusu mfumo huo ili wapate huduma za ardhi popote walipo Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameridhishwa na namna huduma zinavyotolewa kwa wananchi katika ofisi za Kamishna wa Ardhi jijini Dar es Salaam, huku akisisitiza...
  11. KERO Wanafunzi wa IFM wanateseka kusubiri refund zao, huku Idara ya Fedha ikikosa uwajibikaji na huduma stahiki!

    Ninaomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto inayowakabili baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (Institute of Finance Management – IFM), hususan suala la kucheleweshewa marejesho ya fedha zao (refunds). Inasikitisha kuona wanafunzi wakisubiri fedha zao kwa...
  12. CRB imekaa kumuumiza mwananchi pasipo kudai uwajibikaji kwa mtoa huduma

    Kumekuwa na hii changamoto ya taarifa mbaya kwa mteja kupitia kitu kinaitwa CRB, mtoa huduma huwa hawajibishwi kuleta uthibitisho wa madai yake na hata pindi deni la mdai linapolipwa huwa hawajishughulishi kufuta taarifa mbaya walizomjazia mteja hapo awali na mbaya zaidi mteja hana fursa ya...
  13. A

    KERO KCMC University namba za huduma kwa wateja hazipatikani, hata e-mail za admission hazijibiwi

    Hawajaweka wazi "tuition fee ya program mpya ya Masters of Public Health Online, ada ya course mpya ya Geriatric Medicine hawajaweka wazi ada ni shingapi na ni course mpya. Pia, namba zao za huduma kwa wateja hazijawahi kupatikana. Najiuliza taasisi kubwa kama KCMC University inakuwaje wanaweka...
  14. MNH-Mloganzila yatoa huduma ya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume kwa kupandikiza kifaa maalum

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeendelea kuboresha huduma za kibingwa na bingwa bobezi kwa kutoa huduma ya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume(Penile Implant Surgery) kwa wanaume wenye changamoto hiyo ambao hawajafanikiwa kupata nafuu kupitia matibabu mengine. Akizungumza kuhusu...
  15. S

    Vodacom kama huduma ya alipay na alibaba kulipia zimekufa waambieni wateja ukweli

    Wiki sasa toka nijaribu kufanya malipo alibaba au alipay huduma hamna ..alibaba inasema sytem maintanance alipay ndio hata invoice haziupload na zikiupload zinafail....Kama huduma hii imekufa waambie wateja watafute njia mbadala ....Service za huduma yenu hii haiendani na kasi ya dunia ya...
  16. M

    David Kafulila: Mchango wa Kilimo kwenye Pato la Taifa (GDP) ni 25%, wakati sekta ya huduma ni 36% na viwanda 32%. Wakulima wamepungua kutoka 80% -57%

    KUPITIA PPPs, TUNATAKA KUWA NA SEKTA NDOGO YA KILIMO YENYE ZANA BORA ZAIDI, TEKNOLOJIA YA KISASA ILI KUONGEZA MCHANGO WAKE KWENYE UCHUMI (GDP) Akijibu swali la Mwanachuo Rachel, Bwana David Zacharia Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC Tanzania, alisema watu wanapaswa kupungua katika sekta ya...
  17. A

    KERO Nani anawajibika kuhakikisha watoa huduma Stendi za Mabasi wanakuwa na chenchi?

    Kuna changamoto kwenye kulipa kiingilio kwenye Stendi za Mabasi specifically nimekutana na hili Stendi ya Msamvu. Kila nikienda kupanda basi hawana chenji kwenye geti kubwa la kuingilia hivi ni nani anawajibika kuhakikisha wanakuwa na vitendea kazi ikiwemo chenji ? Kwa mtu ambaye ni mgeni...
  18. Mchengerwa apongeza huduma za kibingwa Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila, asisitiza uwajibikaji kwa watumishi

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, tarehe 08 Novemba 2026, amefanya ziara ya kikazi ya katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila iliyopo jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kukagua utoaji wa huduma za matibabu pamoja na kuzungumza na wagonjwa na watumishi wa afya. Katika ziara hiyo...
  19. Tunatoa Huduma za Fumigation

  20. Shirika la Posta Tanzania: Tunaomba radhi kwa changamoto iliyojitokeza katika mfumo wa Namba za Huduma kwa Wateja

    Shirika la Posta Tanzania linaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza kutokana na changamoto ya kimfumo inayoathiri upatikanaji wa huduma za simu kupitia namba 0735 008 008. Wakati jitihada za kushughulikia changamoto zikiendelea, unaweza kuwasiliana nasi na kupata huduma kupitia namba zifuatazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…