hawana

Yajna (Sanskrit: यज्ञ, romanized: yajñá, lit. 'sacrifice, devotion, worship, offering') refers in Hinduism to any ritual done in front of a sacred fire, often with mantras. Yajna has been a Vedic tradition, described in a layer of Vedic literature called Brahmanas, as well as Yajurveda. The tradition has evolved from offering oblations and libations into sacred fire to symbolic offerings in the presence of sacred fire (Agni).Yajna rituals-related texts have been called the Karma-kanda (ritual works) portion of the Vedic literature, in contrast to Jnana-kanda (knowledge) portion contained in the Vedic Upanishads. The proper completion of Yajna-like rituals was the focus of Mimansa school of Hindu philosophy. Yajna have continued to play a central role in a Hindu's rites of passage, such as weddings. Modern major Hindu temple ceremonies, Hindu community celebrations, or monastic initiations may also include Vedic Yajna rites, or alternatively be based on Agamic rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. Mawaziri wa Tanganyika hawana weledi kama wanaotoka Zanzibar au tatizo lao ni nini?

    Nini kinapelekea panga pangua ya kila mara kwa mawaziri wa Tanganyika tofauti na wale wa Zanzibar ambao wamekuwa wanadumu kwenye nafasi zao kwa muda mrefu ?
  2. Msamaha na maridhiano mbona kwa wenzetu wanzungu, waarabu na wachina hawana ila vipo Afrika

    Katika mambo ambayo yapo afrika ni msamaha na maridhiano ndo yapo afrika. Wenzetu ukileta uwovu wana kuuwa, ukileta ugaidi wanasafisha,ukileta ujinga wanakuondoa hata kama ni raisi au mwananchi. Ila afrika hapa Mtu kama samia anauwa kila kukicha anataka maridhiano
  3. UDSM ilikuwa zamani! Siku hizi uchawa, uchakavu na staff omba-omba!

    Inasikitisha kuona Chuo Kikuu hiki UDSM kubakia historia tu. Machawa, majengo chakavu (ikiwemo vyoo) pamoja Staff kuwa omba-omba
  4. Wanawake, mkipata nafasi muwakumbatie Wanaume kwa nguvu, hawana Furaha

    Wanaume wana huzuni, hasira, uchungu, wanatamani waoneshe hisia zao lakini haiwezekani, jamii inawakataza kufanya hivyo, hawatakiwi kulia wala kuhuzunika, wanatakiwa wawe ngangari muda wote, sasa hii inapelekea kua makatili au kupata changamoto za afya ya akili, ukichunguza sana utaona nyuma ya...
  5. K

    Swali: Watu wa Zanzibar wana makabila? Kama hawana tusiwashangae!!

    Dini sio kabila na kuna tofauti ya utamaduni wa makabila na sheria za kidini. Sasa hawa wenzetu wanajuwa makabila yao au hawajui mababu zao walitoka kabila gani kwasababu ya biashara za utumwa. Inaonekana wengi wao hawajitambui na ndiyo maana nawajisahau na kufikiri wallianzia Zanzibar bila...
  6. Tufunge mikikanda yetu, wazungu hawana hela ya kutupatia. Wako hoi pia.

    Kero ziko duniani kote, wazungu hawana hela ya bure kwetu siku hizi. Ukiona wanatupa hela tushituke, ni mtego huo. Tukabane humuhumu tulipe kodi na kuilinda kwelikweli itumike bila kudokolewa. ILikuwa Ufaransa, ikaenda Italy na sasa iko Ujerumani. https://youtu.be/p_GlVGvCmNE?si=UhYoPx0ZDi3vjueA
  7. J

    Kwa hiki walichofanya Marekani hawana lolote la kutufundisha kuhusu maadili na haki

    Marekani na Ulaya kwa sasa hivi wamefikia hatua mbaya, mwanaume anajigeuza mwanamke na anachaguliwa kuongoza umma... Hawa watu ndio watufundishe maadili ya kibinadamu na haki? Hapana kwa kweli
  8. Je, umewahi kufikiria kwamba unaweza kujenga biashara kwa kufanya kazi ambayo watu wengi hawana muda, vifaa au utaalamu wa kuifanya wenyewe?

    J Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza kutoa huduma hiyo kwa malipo. Hapa ndipo inapopatikana fursa ya biashara ya Cleaning Services, yaani...
  9. S

    Baada ya Lissu kufungwa, viongozi wa CHADEMA na watanzania wataona hawana tena cha kupoteza kwa kwenda jela

    Licha kuongeza chuki na hasira miongoni wa wanachadema na watanzania kwa ujumla, athari za hukumu hii ni kuwafanya viongozi wa CHADEMA na watanzania kwa ujumla kuona hawana tena cha kupoteza iwepo na wao watashitakiwa na kufungwa jela
  10. Hilda huyu jamani! Hata Mnyika na Nshala hawana map^mbu? Ukimya wa Heche ni sawa na "silence means YES"

    Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu. Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa...
  11. K

    Kwa vile wakipotezwa, wakitekwa hawana wa kuwapigania wakae pembeni sote tuwe wapenzi watazamaji - duniani tunapita tu

    Huu ni ushauri uliojaa masikitiko na majonzi ndani yake. Machozi pekee hayatoshi kuwatia moyo, post za mitandaono hazitoshi kuwarudisha wanapotekwa, wanapopotezwa Yule aliyekuwa wakwao, alipoanza kuwaambia ukweli, wakamgeuka, wakamuwinda mwisho waliokuwa karibu yake wakachora ramani tukaishia...
  12. Kwa hiyo Wanaharakati hawana mpango au mkakati wowote mwenzao akitekwa wao wafanyeje? Kanuni za Tibeli: NEVER PLAY THE VICTIM

    Hamjambo! Kuna mtu anaweza kujiuliza mambo haya yataisha lini? Niliwahi andika hapa, Kanuni ya auaye kwa upange atakufa kwa upanga sio universal law. Hiyo ni kanuni ya Wayahudi na Mungu Wai aitwaye Yehova. Niliandika kwamba Isije ikatokea Ukafanyiwa uhuni huko ukadhani Mungu(usiyemjua)...
  13. M

    Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  14. Huu ndo ukweli Mchungu kuhusu Watanzania

    Watanzania hawajafunzwa namna bora ya ku reason na kuja na judgements zao wenyewe.. Yaani ndo maana hata kwenye siasa ni rahisi sana kuwashika, maana hawafanyi logic, wanafata nani anasema sana. Wabongo wengi ni kama kondoo, all it takes ni atokee kondoo mmoja mjanja aanzishe safari na wote...
  15. Hawa tumewachapa goals chache sana ni 3. Wetu hawa hawana team

    Ni suala la muda tu. Hawa wanapigika vizuri sana. Hawana team. Kama wamekuwa wakiisikia sikia Yanga kiboko cha Simba ndo leo wamekutana nayo sasa.. Yaani bao chache sana ni 3. Nipo hapa
  16. Inchi bado imevimba acheni kiburi mapokezi ya miss grand wanainchi hawana habari

    Kuna usemi wa kiswahili unasema kibaya chajitembeza kizuri cha jiuza haya angalia hayo mapokezi unaona watu wa tabaka moja hatuoni wale wenzetu wasio na viatu unga unga mwana walisukumwa na tukio zaidi tunaona kundi furani liliotoka nyumbani likavaa na kupendeza ajiri ya tukio maana yake nini ni...
  17. S

    Mambo ya kuficha ID kwenye JF; unaweza kukuta Erythrocyte ni mchepuko wa Mwashambwa au Tlaatlaah lakini hawana habari, sasa siku wajikua!

    NImewaza sana. Hizi ID tunazotumia humu Jf hata wake au waume zetu hawajui, achilia mbali michepuko. Sasa unaweza kukuta humu JF unachukizana na mtu kumbe ni mke, mume au mchepuko wako! Si ajabu ukakuta Erythrocyte wa Chadema ni mchepuko wa Mwashambwa au Tlaatlaah wa CCM! Kimbembe ni siku...
  18. Wajomba zako, ndugu hawajakunyima connection, hizo lawama ni za bure, kumbuka hawana kampuni, kiwanda wala biashara yoyote iliyosimama

    Wajomba zako , ndugu n.k hawajakunyima connection hizo lawama ni za bure , kumbuka hawana kampuni ,kiwanda wala biashara iliyosimama. Mara nyingi vijana, wanalaumu sana ndugu , wajomba n.k Ila ukifatilia MTU anayelaumiwa ni MTU asiye na potential hana uwezo wa kushawishi maamuzi yoyote. Hana...
  19. A

    DOKEZO Maafisa wa LATRA Morogoro wanalazimisha nilipe Faini kwa cash au Lipa Namba, eti hawana Control Number

    Naomba ufafanuzi kutoka LATRA, juzi nilikamatwa na LATRA sijalipia Pikipiki yangu lakini wakati naomba Control Number wanasema natakiwa kulipa faini kwanza ambayo ni Sh 15,000 lakini cha ajabu hiyo faini hupewi Namba ya Malipo wanataka cash. Tukio lilitokea Morogoro sehemu moja inaitwa Kiroka...
  20. A

    KERO Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba tunaambiwa hawana mpango wa kulipa Fedha za Kujikimu

    Huku kwetu pesa za kujikimu watu wana miaka 11 hawajalipwa. Majibu ni watalipa watakapokuwa tayari. Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza. Ni majibu ya Afisa Utumishi, na hata leo tu limetoka jibu la kutuvunja kabisa moyo, kuwa watalipwa ajira mpya kuanzia sasa, hamna fungu kwa ajili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…