Habarini,
Baada ya kusota kitaa hatimae unaajiriwa, miezi ya mwanzo ya kuajiriwa ukipokea mshahara unajikuta mishahara inakutana, mshahara wa march unakutana na mshahara wa April
Katikati ya mwezi mtu akikuomba elf 20 unampa hata elf 50 au laki comfortably, na unaona haiku-cost kwenye expenses...