Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimevunja ukimya na kutoa tathmini ya kina ya kisheria kuhusu hukumu iliyotolewa Novemba 6, 2026, dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Katika tamko lao la Novemba 26, 2026 lililosainiwa na Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi, chama hicho kimesema...
Mwaka 1980, Dola 1 ya Zimbabwe ilikuwa na thamani kubwa kuliko Dola ya Marekani (takriban $1.50). Lakini ndani ya miongo michache, Zimbabwe iliandika historia ya mfumuko wa bei wa pili kwa ukubwa duniani (baada ya Hungary mwaka 1946):
Novemba 2008: Bei za bidhaa zilikadiriwa kuongezeka mara...
Video ya Morara kuhusu hali ya Shule ya Msingi ya Nyansakia imezua mjadala kuhusu uwajibikaji wa viongozi katika kuhakikisha shule za umma zinakuwa na mazingira bora ya kujifunzia.
Katika video hiyo, Morara anaonekana akitembelea shule hiyo iliyoko katika eneo la Borabu, Kaunti ya Nyamira, na...
Pemba, kwa miaka na miaka imekuwa ikiongoza kwa haya mambo ya kizandiki.kishetani. huko ndo nyumbani kwake.
https://www.instagram.com/reel/DgCTtUxtJ91/?bqrl=djJmejd5dGpmaTF5
Mkoa wa Katavi, Wilaya Mpanda mkandarasi kachonga barabara bila kuweka mitaro, mvua zinanyesha barabara zinaanza kuharibika tena.
Hii kwenye picha hali ipo hivi tangu mwezi wa saba 2026, ni barabara ya kutoka White Giraff kwenda Shanwe.
NATAFUTA BAJAJI YA HESABU – DAR ES SALAAM (DEREVA MWAMINIFU NA MAKINI)
Habari wana-JamiiForums,
Ninaomba mwenye bajaji iliyo katika hali nzuri ya kiufundi na anahitaji dereva wa hesabu jijini Dar es Salaam, tuwasiliane ili tuweze kufanya kazi kwa uaminifu number 0621810992
Kwanza unaamini kuhusu Mungu? Hongera, na usitake kupambana kila mtu aamini
Pili huamini then well done usitake kuwaaminisha watu unachokiamini
Kiufupi kila mtu abaki na alichonacho
Binafsi naamini katika uwepo wa Mungu, tena mimi ni mkristo LAKINI kunacatch up lazima tufanye
Tulifundishwa...
Nawasikiliza watoa elimu za kifedha [Certified financial educators] wanashauri watu wanunue hati fungani za serikali.
Jamaa mmoja wa BOT kwenye semina aliwahi kuhakikishia ukumbi mzima haijawahi kutokea serikali ikashindwa kumlipa mtu aliyewekeza huko. Na inaonekana sio bongo tu ni karibu...
Bila kupepesa macho tuseme ukweli.
Hali imekua mbaya sana kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida ukiachana na baadhi wachache waliopo kwenye mifereji ya pesa kwa mwaka huu 2026
Kwa ground hali sio poa kabisa.
Ndugu na jamaa wa karibu hadi kuna mda nawahurumia juu ya vilio kuwa vingi, haina jinsi...
Kuna jambo limekuwa likinigusa sana moyoni na nimeona nililete hapa JF nipate mawazo na uzoefu wa wadau.
Kila ninapokutana na mtoto mdogo mwenye changamoto za kiafya, ulemavu au ukuaji, huwa moyo wangu unaumia sana. Wakati mwingine najikuta nimeshindwa kujizuia kulia. Huwa najiuliza, hivi...
Wananchi tunatoa wito kwa wahusika wa Machinjio ya Soko la Vingunguti kuzingatia ustawi na haki za wanyama wanaoletwa kuchinjwa.
Mbuzi na Kondoo wamekuwa wakiwekwa nje ya ukuta wa machinjio bila sehemu ya kujikinga na jua kali, hali inayoweza kuhatarisha afya na ustawi wao.
Wanaiomba mamlaka...
Mvua kubwa zinazotarajiwa au athari za msimu zimeanza kuleta maumivu makubwa katika miundombinu nchini, haswa huko Migori ambapo daraja kuu la eneo hilo liko katika hali ya hatari kubwa. Sehemu kubwa za deki ya zege zimezidi kubomoka, kusambaratika na kumomonyolewa kutokana na uchakavu mkubwa...
Najua huyo aliyeposti hana ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kuwa shujaa wa nyuma ya keyboard (keyboard warrior), lakini bado mawazo haya si ya kubeza.
Hata nchi ikija kutawaliwa na viongozi wa kiimla kama Mobutu Sese Seko, msithubutu kufanya maamuzi ya kuomba msaada kwa Watutsi. Watu hawa...
gani
hali
hata
kamwe
kilio
kujikomboa
kujikwamua
kulia
kuomba
kusaga
kusaga meno
kutoka
kutumia
kwenda
mbaya
meno
mlango
msaada
mtakuja
mtego
nchi
vijana
WAKUU mm ni Introvert,lakini mm hii hali me siipendi,Nataman kuwa kama watu walio changamka,, kifupi jaman Nataman kuondokana na ukimya niwe muongeaji japo niwe muongeaji wa kati, lakini hii hali imekuwa ikinisumbua sana.
Nifanyaje wakuu ili niwe kwenye hali ninayo itaka
Nimepitia mitandao yoooooooooooooooooote ya ndani na je, woooooooooooooote wanakulaumu hukutenda haki. Kwa makusudi kabisa unamtesa mtu wa watu, mpenda haki asiye na hatia!
Laana hizi hazitakuacha salama mbele ya Mungu. Zitakuacha salama kwa uliowaabudu ukatenda UOVU kutenda maovu!
exception...
Huo ndio wajibu wa Kanisa.
KANISA haliwezi tishwa tishwa na Wauaji waoga wa Watanzania waloua Maelfu ya Vijana Oktoba 29 2025.
KANISA halikuwah kushindwa na Mamlaka yoyote ile chini ya Jua.
Hata hivo, Kanisa lingekaa kimya, maana yake ni kuhalalisha Utawala wa chuma na gharimu wa Nduli Idi...