haki

  1. CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha...
  2. Waitara: Hakuna mbunge mwenye haki ya kuwatetea waliokatwa

    Anasema hakuna mwenye mamlaka ya kuwasemea waliokatwa wajisemehe wenyewe. Anasema wabunge wanaongelea mambo wasiyoyajua uko mtaani hali ni tofauti kabisa. Mimi nimejiuliza hivi mbunge ni nani mpaka azuiliwe kuongea mambo yanayoendelea jimboni kwake je sio mwakilishi ya waliokatwa ni mwakilishi...
  3. J

    Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini. Chanzo: ITV habari Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli...
  4. Mgombea wa Chadema Keko Mwanga A kufikishwa Mahakamani mchana huu kwa kukataa unyonge na kupigania haki yake

    Atafikishwa Mahakamani baada ya kuhakikisha mtendaji wa kata ya Keko anatenda kama sheria za uchaguzi zinavyotaka kwa kumpatia mgombea halali fomu zake , hii ilitokea baada ya Mtendaji huyo kuchelewa kujificha hadi kukutwa ofisini na Mgombea wa CHADEMA ambapo akataka kukataa kumhudumia mgombea...
  5. Naanza kumpenda Magufuli. Kuna mambo hayasemwi kabisa kwa sababu maalum kumbe Magufuli ana haki kwa upande mwingine

    Kuna Mambo hayasemwi kwa uwazi kwasababu ya busara ambazo Ni sahihi tukumbuke Magufuli anaongoza watu milioni 60 na sio familia ya mke wa John Pombe Magufuli na mama jeska // Magufuli Ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yeye Kama binadamu Kuna Mambo atakosea ila kwa uongozi wa watu 60M...
  6. Rais wa Zanzibar ataka sheria ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili ili wananchi wajue haki zao

    NA RAJAB MKASABA, IKULU RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Jumuiya ya Majaji na Mahakimu ya Nchi za Afrika Mashariki (EAMJA) kuhakikisha sheria zinatafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili. Alisema hatua hiyo...
  7. Watumishi kujazana kwenye ATM tarehe za mishahara ni kielelezo tosha cha umaskini na ukiukwaji wa haki za watumishi

    Kwema wakuu? Miaka iliyopita mshahara ukitoka tu Maza alikuwa ananiambia nikamtolee fedha yote nitakayoikuta kwenye akaunti yake pindi tu mshahara unapoingia. Nikifika tu NMB nakutana na foleni kubwa sana. Nikienda tarehe za kawaida kwa issue zingine pale Benki nikichungulia ATM sioni foleni...
  8. Siasa za matukio sio japo zinakutoa kwa muda! Wapi shangazi?

    Popote ulipo Shangazi kipenzi cha watu nakusalimu na kukujulia hali. Kwanza unisamehe shangazi kwa uandishi wangu mbovu unao chosha wasomaji. Hii yote sababu nilimkosa kwenye simu anko Pascal Mayalla anipe 'shoti kozi' ya uandishi. Nauliza mbona kimya kingi na huku matukio uliyo kuwa...
  9. Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...
  10. Haki Hupiganiwa na Kulindwa, Haiombwi

    Nayakumbuka maneno ya Hayati Mwalimu Nyerere pale Chuo Kikuu cha DSM siku alipoalikwa na uongozi wa wanachuo. Wakati ule kulitokea kipindupindu maeneo ya Mtwara. Serikali haikununua dawa kwa sababu haikuwa na hela. Hivyo serikali ikaagiza wananchi wazingatie usafi. Watu wakaendelea kufa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…