gari

  1. Kwa wanaonunua magari mkononi Unakaguaje Gearbox ya Gari?

    Baada ya kufuatilia katika majukwaa mbalimbali na changamoto walizokutana nazo watu walionunua magari used mikononi mwa watu. Nilichoona kinajirudia sana ni suala la watu wengi kununua gari zenye gearbox mbovu. Sasa naomba wataalamu watusaidie ni mbinu zipi tunaweza kutumia katika kukagua...
  2. Ulikutana na nini uliponunua gari used hadi ukajuta kununua gari

    Ulikutana na nini uliponunua gari used (za mkononi hapa Tanzania) hadi ukajuta kununua gari. Share nasi ili tupate kujifunza.
  3. Gari likiharibika, mwenye gari anaona tatizo, lakini mfanyabiashara wa vipuri anaona fursa!

    BIASHARA YA VIPURI VYA MAGARI NA PIKIPIKI: FURSA YA KUJIAJIRI TANZANIA Gari likiharibika, mmiliki anaweza kuahirisha safari, lakini hawezi kuendelea kulitumia bila kurekebisha tatizo. Hapo ndipo fursa ya biashara ya vipuri inapoanzia! Biashara ya vipuri (Selling Spare Parts) inahusisha kununua...
  4. Kama kipato chako kidogo na unataka kumiliki gari zingatia haya mambo 2.

    Gari ni kitu muhimu sana, ukimiliki gari kwenye hizi jamii zetu thamani yako inaongezeka. Na thamani yako ikiongezeka na pesa zitaongezeka. Pesa ni thamani na si makaratasi. Ndio maana unaweza kumlala MDADA ukampa 20k tzs na ukalala na mwingine ukampa 200k tzs. It's because of the value. CCM...
  5. Gari la tesla roadster lenye uzito wa tani mbili linawezaje kuruka angani? Lina tumia physics ya namna gani kuruka?

    Wakuu, hivi mnafahamu kwamba gari lenye uzito wa tani mbili linaweza kuinuliwa kutoka ardhini kwa kutumia gesi yenye shinikizo kubwa? Hili linaweza kuonekana kama jambo la kufikirika, lakini kanuni zinazowezesha teknolojia hiyo zimekuwa zikifundishwa katika fizikia na uhandisi kwa miaka mingi...
  6. 2007 Lucky Dube aliuawa na vibaka kwa dhumuni la kuiba gari yake. Ironically Dube aliuawa na watu wale wale aliowaimbia na kuwashauri dhidi ya uharifu

    https://youtu.be/P0b1Sk7_VFM?is=cLeLJ-QDzigC9brU Mnamo Oktoba 18, 2007, Lucky Dube aliuawa na majambazi wenye silaha huko Rosettenville, kitongoji cha Johannesburg, muda mfupi baada ya kuwaacha watoto wake wawili nyumbani kwa mjomba wao. Dube alikuwa akiendesha gari lake aina ya Chrysler 300C...
  7. Haiwezekani kulisukuma gari ulilopanda ili lianguke

    Hata bila kutumia akili kubwa hali ipo wazi kabisa kuwa kuna baadhi ya abiria na watumishi waandamizi wa huu mgari wamechoshwa kupanda huu mkweche usiokuwa na taa wala usukani. Gari haliwezi kukwepa mashimo na ukijalibu kupiga kelele kuwa gari halipo sawa, linakufuata na kukukanyaga. Ndani...
  8. A

    Ni vitu Gani vya kuzingatia unapoagiza Gari Japani?

    Wataalamu wa kuagiza magari used from Japani au nchi nyingine mnaangalia vigezo Gani katika kuchagua gari Bora? 1.Uchache wa kilomita 2.Bei ya gari kuwa juu? 3.Mwaka wa gari? Wakati mwingine naona gari Lina kilomita nyingi mfano 168000 na bei yake pia Iko juu ukilinganisha na gari lenye kilomita...
  9. Fahamu jinsi ya kupata gari unalotaka

    1. Fanya utafiti mdogo juu ya gari unalolitaka: Uliza ujue gari unalolitaka linauzwa kiasi gani[makadirio]. Ukiweza kujua bei ya showroom au ukiagiza mwenyewe Japan halafu linganisha na bei utakayopewa hapa. Hili ni muhimu kwa sababu nimeshuhudia watu wananunua magari yaliyotumika Tanzania kwa...
  10. L

    Hata Maria Sarungi Naye alitengenezaga Maigizo Ya Kujifanya Ametekwa . Watanzania Kaeni kwa Kutulia na Muwe makini sana na Maigizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kuweni Makini sana na Maigizo yanayoletwa kwa njia tofautitofauti. Maria Sarungi amewahi kufanya Maigizo ya kusema Ametekwa halafu eti baadaye akajifanya kwamba eti aliwashinda nguvu watekaji . Lengo likiwa ni kutaka kuichafua Nchi yetu na serikali yetu kwa maslahi...
  11. Ukitaka Gari lenye muonekano wa Kisasa, Mafuta Kidogo, Service Kidogo, Reliable Basi Chukua Nissan Note E13 (e-Power)!

    Tuachane na Hybrids za Prius, Fit, nk. Ukitaka stress free, kagari flani ka misele ya mjini, basi ishi humu. Ni Nissan Note ya kuanzia mwaka 2021/22. Najua uzuri ni subjective, kila mtu ana vigezo vyake, ila at least tutumie neno muonekano wa Kisasa. Kwanini nasema reliable? Ukifananisha...
  12. Wazoefu wa hizi gari naomba mawazo yenu( Impreza Xv, Mazda Cx3 na Mitsubishi RVR)!

    kulingana na bajeti yangu nimeona naweza pata hizo compact suv mwaka 2015 mpaka 2017! Sasa nimejaribu kusoma soma mitandaoni naona nazidi kuchanganyikiwa! Wakuu kama kuna mtu ana uzoefu kati ya hizi gari naomba mawazo yenu nisije nikajichanganya. Natanguliza shukrani!
  13. Hivi kumbe mwili wa binadamu nao unahitaji service kama gari?

    Nimejikuta Niki cheka sana baada ya kuona clip moja mtandaoni... Massage πŸ’† za wa Thailand πŸ‡ΉπŸ‡­ zinachekessha sana Hawa wamama mpaka wana vinyundo wanakuwa wanagongelea Sehemu zenye ukakamavu dah.. πŸ˜‚ Yaani inataka kugeuka kuwa yoga ya lazima... Ni kasheshe sasa hapo hata kufikiria mambo mengine...
  14. M

    Museveni: Ukileta fujo tunamalizana hapa hapa. Nina bunduki kwenye gari

    I am now 82 years old. But if you bring fujo here we shall sort it, we can sort it out here. I don't have to to call for help and so on. I have my gun here in the car. Because I am still able to do whatever is necessary. So, looking after your health is very crucial. The rest will be added...
  15. Ngumu kuelezea, ila Ukigusisha Remote ya Gari kwenye Kichwa chako, Mionzi inafika mbali zaidi kuliko uki-point Remote uelekeo wa Gari

    Sijui kama tittle imeeleweka. Ila, kwa mfano unataka ku-lock/unlock gari, ila upo mbali mfano mita 100 kutoka kwenye gari, uki-point na kuclick lock isifanye kazi, kwasababu ya umbali. Ukiwa hapo hapo, ila this time Ile remote ukajigusisha kichwani mfano juu ya sikio, gari italock/unlock. Ni...
  16. Hivi mnaamini haya magari ya kutembelea ya mchina yanayokuja Africa?

    Gari ya nifa , ya mchina haina mda( jokes).πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ila kwa voice within me Pascal Mayalla naiona kama ni nzuri kwa muonekano ila haina ubora πŸ€” Wachina kwa kuzalisha vitu kwa ajili ya Afrika ,vyenye ubora unaotakiwa sina imani nao kabisa. Kama hizi basi ndio bure kabisa, kila siku zinawaka...
  17. C

    Uchunguzi waanza tukio la mbunge kugongwa na gari

    Mbunge wa Australia, Helen Haines amenusurika kifo baada ya kugongwa kwa makusudi na gari nje ya ofisi yake katika mji wa Wangaratta, takribani kilomita 200 kaskazini magharibi mwa jiji la Melbourne, leo Oktoba 19, 2026. Kaimu Msimamizi wa Polisi wa jimbo la Victoria, Ashley Mason amesema...
  18. M

    Car4Sale Nunua gari uza gari Tanzania

    0717 650800 INGIZO JIPYA NISSAN DUALIS . CC1990 MWAKA 2011 FULL DOCUMENT OPEN ROOF FULL AC BEI: TZS. 15,800,000
  19. Nimenunua gari nataka kuikodisha kwa ajili ya bolt. Nianzie wapi?

    JF Mwezi uliopita nimevuta gari Subaru Imprezza ya 2011. Imeagizwa kutoka Japan Less than 85,000 km. Nimejikuta sina kazi nayo maana napofanyia kazi na home ni karibu nauli buku. Na kwenye mitoko yangu naona nimezoea boda na bajaj kuliko gari, nikiwa na gari naliona kama mzigo. Niko Dsm nataka...
  20. Kuna Mikoa, Kumiliki gari ni anasa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…