gari

  1. UZI MAALUM WA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZA MAGARI NA NAMNA YA KUZUTATUA:- Je gari Yako ilipatwa na changamoto gani ambayo nusura ikulaze barabarani?

    Nikiwa na gari yangu pendwa Nissan XTrail ya mwaka 2003 engine SR20, natoka mjini naelekea Bahari Beach, kufika Upanga, kabla sijafika Palm Beach, nikahisi gari imepoteza acceleration. Nakanyaga mafuta lakini gari hai sense. Nikageuza gari, kwa mwendo wa Kobe nikaenda kuipaki mjini nikaanza...
  2. Je ni jambo gani baya ulilowahi kufanyiwa na gari lako unalolipenda sana?

    Hapa nina visa viwili, cha kwanza ni kisa cha uaminifu na farewell salute, ambayo nilishindwa kuitambua hadi nilipopatwa na janga Kisa cha pili ni cha usaliti nilichifanyiwa na gari niliyoipenda sana kutoka Japan. Hapa nitaongelea magari mawili na namna yalivyonitenda na namna ambavyo Mimi...
  3. Rais Samia amzawadia gari mpya Mkubwa Fella

    Kuelekea Novemba 29, 2026, katika tukio maalumu la ‘Heshima kwa Mkubwa’, Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemzawadia Meneja Mkongwe wa Bongo Fleva, Said Hassan Mlinge, maarufu kama Mkubwa Fella, gari aina ya Toyota Vellfire. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam...
  4. Kwenye Msafara wa Fally Pupa Kuna gari moja Imenishitua inaitwa Ferrali Purosangue ni 1.4B

    Hii Gari inaitwa Ferrari Purosangue F175 6.5L 2023-2024 Model 8 Speed AT na gharama yake Inacheza 1.2B to 1.4B, Hii B ni Billion Pesa ya Tunguu... . Katika Msafari wa Fally Ipupa nimeiona na ndo the most expensive kwa huu msafara na iko moja tu Tanzania . Hizi gari ni very rare kuzipata na huwa...
  5. A

    Kabla hujanunua gari nje ya nchi, soma haya kwanza

    Unapanga kuagiza gari kutoka Japan, Uingereza, Dubai au nchi nyingine? Usikimbilie kufanya malipo kabla ya kuzingatia mambo haya matano muhimu: 1️⃣ Historia ya Gari: Uliza kuhusu wamiliki waliopita na kama gari limewahi kupata ajali. 2️⃣ Hali ya Gari: Kagua injini, umbali liliosafiri...
  6. A

    🚘 Unapanga kuagiza gari kupitia bandari ya Dar es Salaam?

    Jambo muhimu ni kuhakikisha unaandaa mapema nyaraka zote zinazohitajika kwa ajili ya usafirishaji na uingizaji wa gari lako. Nyaraka zilizokamilika na kupangwa vizuri zitakusaidia kuelewa vizuri mchakato wa ushuru na forodha, pamoja na kupunguza ucheleweshaji unaoweza kuepukika. AGENT MALCOLM...
  7. Zuchu: Nimemvumilia Nandy kwa Muda Mrefu, sikusema popote

    Wanamuziki nyota wa kike nchini Tanzania, Zuchu na Nandy, wameingia kwenye sintofahamu kubwa baada ya mashabiki kuwapambanisha kwenye mitandao ya kijamii, hali iliyojitokeza hivi karibuni. Sintofahamu hiyo ilibainika wazi baada ya Zuchu kuacha comment yenye ujumbe mzito kwenye ukurasa wa...
  8. O

    Afisa wa Trafiki Ataka Kuendesha Gari la Mazda Hadi Kituo cha Polisi, Mmiliki Akataa

    Mvutano umeibuka kati ya afisa wa polisi wa trafiki na mmiliki wa gari aina ya Mazda baada ya afisa huyo kutaka kuendesha gari hilo hadi kituo cha polisi, lakini mmiliki akakataa kumpa usukani. Katika video inayosambaa mitandaoni, afisa huyo anaonekana akiwa ameketi kwenye kiti cha dereva huku...
  9. O

    Afisa wa Gavana Natembeya Ashambuliwa kwa Mapanga, Gari Lake Lachomwa Moto

    Afisa wa mawasiliano katika ofisi ya Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, Amos Boaz Masika, anapokea matibabu katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali moja mjini Eldoret baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha usiku wa Jumatatu, Novemba 16, 2026. Kwa mujibu wa taarifa za...
  10. M

    Kama unaingiza chini ya milioni 1 hata ukipewa gari bure endelea kutumia pikipiki yako au usafiri wa umma

    Hata upewe gari bure, ni vigumu sana kulimudu kama unaingiza chini ya shilingi milioni moja. Gari lina tabia ya ajabu; ukishalizoea unapatwa na kiburi cha kuona aibu kutembea kwa miguu, kuendesha pikipiki, au kupanda usafiri wa umma. Hapo ndipo wengi huingia mtegoni na kujikuta wakilihudumia...
  11. A

    Unapoagiza gari hakikisha taarifa zilipo kwenye documents zilingane na gari husika.

    Details zilizopo kwenye nyaraka kama Bill of lading, invoice na inspection report hakikisha zinafanana na gari physical taarifa kama chassis no, make, mileage, model na year of manufacture vinafanana. Hivyo vitu ndio vinaamua utalipa kodi kiasi gani TRA. kwa gari na mizigo yote ya local lazima...
  12. Toyota Corolla Fielder Hybrid (2018) kama Gari Langu la Kwanza – Je, Linafaa?

    Habari wakuu wa Jukwaa la Motors. Nipo kwenye maandalizi ya kununua gari langu la kwanza na kwa sasa nimevutiwa na Toyota Corolla Fielder Hybrid, mwaka 2018. Kilichonivutia ni uchumi wa mafuta, muonekano wake, nafasi kubwa ya mizigo na sifa ya uimara wa Toyota. Gari nililoliona lina mileage...
  13. M

    Gari lakamatwa na Mirungi likiwa limewasha king'ora

    Katika video hiyo, afisa wa polisi anatoa taarifa rasmi ya kukamatwa kwa gari namba T 333 ETJ ambalo ni aina ya Toyota Cruiser ya rangi nyeupe baada ya kutiliwa shaka na kukimbia kwa kasi huku ikipiga ving'ora ilipofika kwenye kizuizi cha askari tarehe saba, ambapo baada ya kukamatwa na...
  14. Video: Kwa utapeli huu sioni sababu ya kununua gari kwenye baadhi ya yard

    Ebu fikiria tapeli anashusha milage kutoka km 160,000! Hadi km 1,1970 alafu bila kujua kuwa used car yenye milage kiasi hicho bei inakuwa sawa na mpya. Serikali ingieni Kati kusaidia wananchi dhidi ya utapeli huu kwenye baadhi ya yard...tunajua baadhi ya wauze magari wamenyooka ila wengi wao ni...
  15. C

    Kati ya kumiliki nyumba au gari, kipi kinampa heshima mtu?

    Habari wakuu Nimekuwa nikijiuliza maswali kadha wa kadha kuhusu maisha, hasa baada ya kupitia safari ya kujitafuta , kupata kazi na kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika maisha ya kila siku. Moja ya malengo makubwa ya kufanya kazi na kutafuta kipato ni kujijenga kiuchumi...
  16. G

    Nimenunua gari ndogo ya mizigo mjini. Napigaje pesa?

    Habari wana jamii. Naombeni kufunzwa namna biashara ya kubeba mizigo kwa gari ndogo kama hizi pick up za tani 2 inavyoendeshwa (Mfumo wake). Naanzaje? Napataje wateja? Gari ipo dar lakini mimi ni mgeni wa hii biashara. Msaada wenu🙏
  17. C

    Jamaa uliyemchukua binti wa watu stend dar mwaka jana na gari ukamwambia unampeleka kwako ukaishia kumpeleka lodge ukala kimasihara sasa na mtoto

    Mtoto wa kiume wa miez 8 anahangaika sana hata hela ya matibabu ya mtoto ni shida, binti amejikatia tamaa ya maisha anaishia kulalamika umemharibia maisha
  18. A

    Umeagiza gari limefika bandarini lakini huna pesa za ushuru?

    Don't panic! Kuna njia salama na yenye unafuu wa gharama kulihifadhi gari lako kupitia BONDED WAREHOUSE wakati ukijipanga kupata fedha za kulipia ushuru. Njia hii ndio utumiwa na waagizaji na wauzaji wa magari wanachofanya ni kupeleka gari bonded warehouse na kuanza kutafuta wateja ikitokea...
  19. N

    Vp kama gari za Mawaziri, Naibu Waziri na RC zingepunguziwa herufi na kuongezewa "Three digits"??!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Tuna Wizara 27. Tuna mikoa 31. (1) Naibu Waziri - NW 01, NW 02 mpaka mwisho NW 27. (Regional Commissioner) RC 01, RC 02 mpaka mwisho RC 31. Mimi kwa Akili Zangu hizi hizi Ndogo sijaona umuhimu wa kuwa na NW OR UBB ilhali ingeweza tu kuwa NW 27 au NW 19. NB...
  20. Gari ya Umeme BYD YangWang U9 Xtreme imevunja record ya kufikisha 500 km/h. Sasa ndio World's Fastest Production Car!

    Hakuna production car imewahi hii speed, 503 km/h, zaidi ya uyu supercar.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…