elimu

  1. K

    SoC02 Jinsi kilimo kilivyobadili maisha yangu

    Guzman ni miongoni mwa vijana wachache wenye umri wa miaka 30 ambaye amefanikiwa sana kimaisha, haikuwa rahisi kwake kijana huyu aliyeanza mapambano ya kimaisha akiwa na umri wa miaka 23 kufanikiwa kama ilivyo rahisi kuandika simulizi hii, ilikuwa ni safari ngumu sana kwa kijana huyu msomi...
  2. A

    SoC02 Mabadiliko ya mfumo wa elimu ili kijana wa Tanzania aweze kushindana katika soko la ajira kitaifa na kimataifa

    nipende kuchukua fursa hii kuipongeza sana serikali ya Tanzania KATIKA jitihadaa zake za kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu angalau ya sekondari ili kufukuza ujinga ,hii Ni baada ya kuifanya ELIMU ya msingi na sekondari kuwa bure, lakini ELIMU ya Tanzania bado haijafanikiwa kumkomboa...
  3. N

    SoC02 Elimu yetu

    Kwakuwa nna uzoefu mzuri na wa mda mrefu sasa na bado naendelea kusoma nitoe mtazamo wangu. Mimi ni bint na nasoma kidato cha sita sasa katika elimu yangu nimesoma shule zote za serikali mpaka sasa nilipofikia. Kusoma kwangu kumekuwa na changamoto sana na baadhi niliziona tuu hazikunikuta...
  4. J

    Elimu ya vyuo vikuu Mwanza

    Jiji la Mwanza, la pili kwa ukubwa Tanzania (The second largest City in Tanzania), sifa nyingine ni jiji lililo katikati Kati ya majiji ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, hapa namaanisha Nairobi, Kampala, Kigali, Bujumbura. Kinshasa pote ni karibu kufika jijini Mwanza. ELIMU YA JUU Katika elimu...
  5. SoC02 Utaoji wa mikopo kwa Wahitimu wa elimu ya juu nchini

    Utangulizi Chagamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu nchini imekuwa ni tatizo sugu ambapo kama lisipotafutiwa ufumbuzi basi linaweza kulitumbukiza taifa katika dimbwi la unyang’anyi na waporaji na kuwa nchi ya wahalifu maana tunaona wasimamizi na watunga sera ambao si tu wamepewa mamlama ya...
  6. SoC02 Jibu la kitendawili cha tatizo la ajira nchini kupitia mfumo wetu wa elimu

    Tatizo la ajira nchini limekua kitendawili kwa muda mrefu sasa bila ya kupata majibu. Taasisi zetu za elimu hutoa wahitimu wengi ambao hutegemea ajira ili waweze kujikwamua kiuchumi. Takriban kila mwaka watu wanaokadiriwa 800000 huwa tayari kuingia kwenye soko la ajira lakini wanaopata ajira...
  7. SoC02 Hongera Serikali kwa mikopo ya Halmashauri: Kuwepo na elimu zaidi, ufatiliaji na uboreshwaji wa kanuni wenye kuendana na mazingira na uhitaji

    Utangulizi Mkopo ni fedha zipatikanazo kwa makubaliano ya kuzirudisha (maana kutoka kamusi ya Kiswahili sanifu, toleo la tatu-2014). Lakini kuna mikopo ya thamani kama vile nyumba, magari na ardhi. Mpango wa pili wa Taifa wa maendeleo wa miaka mitano(2016/17-2020/2021), pamoja na malengo...
  8. Wizara ya Elimu: Wadau wa wa elimu zingatieni Kalenda ya Mihula iliyotolewa na WyEST kupitia Nyaraka za Elimu Namba 1 na 2 za mwaka 2022

    Tangazo kutoka Wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.
  9. D

    Natafuta kazi kwenye Shirika au Taasisi yoyote ya Elimu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 na muhitimu wa SHAHADA YA ELIMU KATIKA SERA, MIPANGO NA UTAWALA. Pia, ni mwalimu wa masomo ya JIOGRAFIA NA KISWAHILI. Natafuta kazi kwenye mashirika na taasisi mbalimbali zinazohusiana na taaluma yangu, nawaombeni wana JF kwa yeyote...
  10. Kwa wenye elimu ya ujasusi: Nini kilitokea hapa?

    Unahisi nini kilitokea? Baba alijua? The daughter of a Russian ultra-nationalist and ally of President Vladimir Putin who argued Russia should absorb Ukraine has been killed in a suspected car bomb attack. Father and daughter had been attending a festival outside Moscow and Ms Dugin had decided...
  11. SoC02 Tufanye nini ili Kuboresha elimu yetu?

    Elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Elimu husaidia mtu kuelimika ,kujitambua , kuchukua hatua na kufanya mambo sahihi na yasiyosahihi ili kuleta maendeleo katika jamaii husika kwa zingatia maadili ya mtu mmoja...
  12. SoC02 ELIMU YETU: Bodi ya Mikopo ishirikiane na Vyuo ili wanafunzi wasishindwe kuendelea na masomo

    Elimu ni tendo la kupata maarifa, ujuzi na maadili anayorithishwa mtu au watu kutoka katika mazingira yanayo mzunguka, kutoka kizazi kimoja hadi kingine .Enzi za mkoloni nchini elimu dhumuni lake hasa kubwa ilikuwa ni kupandikiza mila na desturi za kimagharibi na kudidimiza mila na desturi za...
  13. SoC02 Kuwepo na sera ya elimu nchini Tanzania yenye kuboresha na kutekelezeka kwenye vituo vinavyotoa elimu katika mfumo usio rasmi(tuition centers)

    Utangulizi Sera ni matamko yatokanayo na masuala ya msingi yenye dhamira ya kuelekeza namna ya kukabili changamoto kwa ajili ya maendeleo katika jamii. Aidha, inaweka wazi dira na dhima na kuelekeza juu ya utekelezaji wa majukumu ya wizara, idara, taasisi, sekta binafsi na jamii kwa ujumla. Sera...
  14. SoC02 Mwenendo wa elimu Tanzania

    Maana halisi ya elimu Elimu ni tendo la uzoefu wenye athari ya kujenga akili tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi,vile vile tunaweza kusema elimu ni mafunzo tunayopata kutoka kwa watu wengine ili kukuza maarifa yetu juu ya ulimwengu unaotuzunguka vile vile elimu hukuza fikra zetu maadili...
  15. R

    SoC02 Elimu ya afya ya kazini

    ELIMU YA AFYA YA MAKAZINI Ni taaluma ya kisayansi inayoshughulikia uzuiaji WA magonjwa/ majeraha yanayo husiana na kazi. -Afya ya kazini inahusisha kukuza na kudumisha kiwango cha juu zaidi cha afya ya kimwili na kiakili na ustawi wa kijamii wa wafanyakazi katika kazi zote. KWANINI AFYA YA...
  16. B

    Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu waongoze kudai mabadiliko / mageuzi

    VIJANA WA TANZANIA KUANZISHA JUKWAA LAO HURU, NDIYO JIBU LA KUPATA NAFASI YA KUSHIRIKISHWA KTK NGAZI YA MAAMUZI KITAIFA Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi Historia inaonesha mara baada ya uhuru wa kwanza kupatikana ktk mtaifa mbalimbalii iwe kwa mtutu wa...
  17. N

    SoC02 Elimu changamoto ya maendeleo

    Elimu ni nguzo muhimu inayohitajika katika kujenga maendeleo ya taifa lolote duiani. Halikadhalika kwa nchi yetu ya Tanzania, elimu ni msingi mkubwa unaohitajiwa. Lakini kwa masikitiko makubwa, bado elimu inayotolea nchini mwetu haijaweza kuwa yenye tija toshelezi katika kuleta maendeleo...
  18. SoC02 Kukuza na kuendeleza Elimu Tanzania

    Mada kuu: Elimu Jina la mwandishi: Omary Frank Manispaa: Morogoro Mjini Mkoa: Morogoro Mawasiliano: 0767408787 Email: hamadiomary07@gmail.com KUHUSU MWANDISHI Omary Frank ni Mwalimu, Mjasiriamali mdogo, Mkulima na mdau mkubwa wa maendeleo. Pia ni mwanzilishi wa mradi unaojulikana kama...
  19. S

    SoC02 Uboreshaji wa Elimu nchini Tanzania

    UBORESHAJI WA ELIMU TANZANIA Kwa miaka ya hivi karibuni utolewaji wa elimu nchini ya Tanzania umeimarika sana ukilinganisha na miaka ya nyuma ambapo serikali na taasisi binafsi zinapigania vyema katika namna ya kuboresha miundombinu ya kielimu ili kutoa elimu bora ambayo inaenda sambamba na na...
  20. Maswali ya waandishi wa habari wetu kwa makocha na wachezaji ni ushahidi wa elimu ndogo

    Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji. Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana weledi kabisa. Pia hawajui kiingereza lakini wanataka kuwahoji wachezaji wa timu ngeni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…