elimu

  1. C

    Ushauri kwa Serikali, TAMISEMI na Wizara ya Elimu

    Kwanza naishukuru sana serikali na wizara ya elimu kwa kujitahidi kuhakikisha kuwa kila mtanzania anapata nafasi ya kufikia walau elimu ya sekondari bila malipo. Nikiwa nimefundisha shule za umma kwa miaka 15+ na kujua na kuona changamoto za mashuleni nimeona niandike kile ambacho katika...
  2. TRA yashauri Serikali kuanzisha somo la Elimu ya Kodi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo tarehe 25/09/2022 mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Uboreshaji wa Mitaala inayoongozwa na Profesa Makenya Maboko jijini Dodoma, imependekeza kuingizwa kwa elimu ya kodi katika mitaala ya elimu nchini Tanzania kuanzia kwenye Shule za Msingi hadi Sekondari...
  3. Elimu ya Uzazi wa Mpango bado ni mtihani mgumu kwa Watanzania (World Contraception Day)

    Kupata Mtoto ni kitu kizuri sana na binadamu wengi wanaishi wakiwa na ndoto hiyo, lakini ni vizuri kiumbe huyo akija wakati muafaka. Ujio wa mimba wakati huo ukiwa na mtoto mwingine mchanga au katika mazingira ambayo hujajipanga kiuchumi kuhudumia ujio mpya huwa ni mtihani kiafya na kiuchumi...
  4. Tafakuri: Janga la kuibuka panyaroad wasomi, wizara ya Elimu imejipangaje!?

    Kama Taifa tumeshindwa kabisa kuwahodhi nguvukazi ya vijana WETU Hadi WAMEKUWA panyaroad wakikimbizana na polisi!huku ni kufeli kwa sera zetu za ajira japo tuna wabobezi katika uchumi pia ni wanasiasa wakubwa. Wimbi la vijana waliokosa ajira litaongezeka KILA mwaka na kuzalisha wahalifu...
  5. Haki za Wasichana: LHRC yashinda kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mnamo mwaka 2019 kilifungua shauri dhidi ya Serikali ya Tanzania kwa niaba ya wasichana wa Tanzania katika Kamati ya Afrika ya Wataalamu ya Haki na Ustawi wa Mtoto Shauri hilo lililenga kuwatetea wasichana wa Tanzania wanaopata ujauzito wakiwa bado shuleni...
  6. Natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu, nina shahada ya elimu.

    Mimi ni kijana, nakuja kwenu wanajamii, natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu mahali popote. Nina uzoefu katika kufundisha( nimefundisha tuition muda mrefu), kilimo hasa cha bustani na kusimamia biashara ndogondogo, so hata kubwa naweza kusupervise. Masomo yangu ni jiographia na uchumi...
  7. Wakuu hii elimu tiba mpya ya kupona Kwa kutembea peku inaukweli?

    Kwa elimu hii kuwa kwenye nyayo Kuna swichi za kutibu kila ugonjwa. Kuna jamaa alinipa hizi story nikamkatalia. Ila naona kama wanazidi kushamiri kufundisha tiba ya mikono na miguu. Kuna ukweli wowote katika hili?
  8. Marekani: Jakaya Kikwete ameshiriki katika Mkutano wa Mageuzi katika Elimu

    Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education) - GPE) ameshiriki katika Mkutano wa Mageuzi katika Elimu uliondaliwa na Umoja wa Mataifa, tarehe 19 Septemba, 2022 Jijini New York, Marekani...
  9. A

    Wabongo kwenye masuala ya tech hatupo au mambo hayo yanafanywa na wasio na elimu nayo?

    Majuzi hapa kuna kitu nilikuwa nacheki review moja ya powerbank nikakuta ya kiswahili nikasema ngoja niangalie Link yake hio hapo ..yani jamaa maswala ya tech hakuna kabisa kifupi anajarbu kufanya review ya vitu hata havielewi Pia same oraimo powerbank nikakuta review ya mkenya mmoja yeye...
  10. Kwanini 99% ya Watu waliopata Elimu ya Shule, Taasisi na Chuo ya 'Wakatoliki' huwa ni Werevu ( Intelligent ) sana?

    Je, Wakatoliki kupitia Kanisa lao Tukuka ( ambalo GENTAMYCINE ni Muumini Wao Mtiifu ) la Katoliki wana Mtambo Maalum wa Kuutajirisha Ubongo wa Mtu anayesoma Kwao kuwa na IQ Kubwa na Maarifa mengi kuliko wengine waliopita huko Kwingineko? Nitakuwa ni Mchoyo wa Fadhila na hata Shukran tu...
  11. Ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Uholanzi

  12. J

    SoC02 Fikra na elimu kwa wahenga

    Elimu huchochea maendeleo makubwa mno katika jamii lakini elimu bila pesa kizazi cha sasa ni sawa na kofia ya chuma inayopata moto nyakati za jua la utosi, Enyi kizazi cha sasa tubadilike tusichukue ya wahenga yote kwani mengi yameharibiwa na teknolojia pamoja na usasa elimu tunayopata mashuleni...
  13. N

    Serikali ya Samia imeboresha lengo lake la Elimu bure

    Kila mtahiniwa wa kidato cha nne na sita alitakiwa kulipa ada ya mtihani TZS 50,000. Baada ya kufuta ada na michango isiyo muhimu, Serikali imefuta ada ya mtihani kwa shule za Serikali ikiwa ni sehemu ya azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu kuifanya elimu kuwa nafuu.
  14. SoC02 Je, ni elimu bora au bora elimu?

    Itakuwa ni jambo la kustaajabisha endapo hata kwa bahati mbaya haujawahi kukutana na moja ya msemo miongoni mwa misemo ifuatayo: “elimu ni ufunguo wa maisha”, “elimu ni mwanga”, “elimu ni ukombozi”. Ninapata nguvu ya kueleza hicho nilichoeleza kwa maana misemo hiyo michache na mingine mingi...
  15. SoC02 Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kujikinga na vifo vya ghafla vya watoto

    Huduma ya kwanza ni huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi. Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha ya...
  16. SoC02 Elimu Bure Imeifikisha hapa Sekta ya Elimu

    Utangulizi Sera ya elimu bure hapa nchini ilianza kutekelezwa na Serikali ya awamu ya tano. Sera hiyo ya elimu bila malipo inahusisha shule zote za Umma za msingi na sekondari. Ndani ya miaka mitano (2016-2020) ya utekelezaji wake, Idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa katika shule zote hapa nchini...
  17. SoC02 Elimu yetu na hatima ya vibarua nafuu wenye vyeti

    Siku Moja nilipokuwa nimetega sikio nikipata habari kutoka idhaa ya taifa nilivutiwa sana na Moja ya marudio ya usemi wa Baba wa taifa hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere ninanukuu, "Kama unadhani elimu ni gharama, basi jaribu ujinga". Miaka mingi baada ya uneni huu lakini bado hakuna hatua za...
  18. M

    SoC02 Elimu bora na bora Elimu

    Elimu ni maarifa mtu anayo yapata kutoka kwa wazazi, walimu na jamii inayo mzunguka.Elimu huongeza maarifa na kuondoa ujinga. Sasa kuna Elimu bora na bora Elimu. Watu wengi husema Elimu bure sio Elimu bora, Elimu ya gharama ndio Elimu bora. Je ni kweli? Wazazi wengine watumia gharama...
  19. SoC02 Mazingira upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe

    Mazingira ya upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe Na wenu, Mtambo 1272019 Kwa miaka mingi, tumeshuhudia mtoto wa kike akiachwa nyuma katika suala la upataji wa elimu bora , jambo hili limechochea watoto wa kike kuwia ugumu kupata elimu bora bila vikwazo vingi. Pindi umuonapo...
  20. SoC02 Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kuepuka vifo vya ghafla vya watoto wachanga

    Huduma ya kwanza inamaanisha huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi. Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…