elimu

  1. Tetesi: Afisa Elimu Sekondari Moshi Manispaa amuweka lokapu Mwalimu wa idara ya Elimu Msingi kisa Mwalimu kuuliza barua ya kazi maalum haina siku maalum

    Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu wa shule ya msingi Moshi Manispaa amewekwa lokapu kituo kikuu cha polisi Moshi na afisaelimu sekondari Moshi Manispaa, bila mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujua mwalimu aliko kwa muda wa siku mbili. Kwa maelezo ya mwalimu huyo...
  2. Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo. Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
  3. L

    Mjumbe wa CPC ajitolea kuwasaidia watoto wa kike kupata elimu

    Mwaka 1995 ulikuwa ni mbaya sana katika maisha ya Zhang Guimei, kwani ni mwaka ambao alimpoteza mume wake mpenzi aliyefariki kutokana na kuugua saratani, baada ya kutumia akiba yao yote kumpatia matibabu. Zhang Guimei ambaye amechaguliwa kuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha...
  4. Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
  5. J

    DOKEZO TAMISEMI ingilieni kati sakata la walimu kutapeliwa na Afisa Elimu wao huko Katavi

    Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Katavi. TAMISEMI wasaidieni walimu walipwe haki yao maana inaonekana kama bosi...
  6. Uchambuzi maalumu kuhusu sintofahamu katika utoaji wa Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Habari za muda huu wana Jf . Mimi kama mdau wa maswala ya elimu hapa Tz hilo suala nimeliona kubwa ,muhimu na linapaswa kupatiwa ufumbuzi. Nimepitia nyuzi mbalimbali humu ,maoni ya wadau ,wanafunzi na utafiti wangu binafsi nimegundua kuwa kuna malalamiko makubwa katika utoaji mikopo kwa...
  7. DOKEZO Nyagabona ni Afisa Elimu Taaluma (W) mla rushwa wilayani Magu

    Ingekuwa ni amri yangu; huyu Afisa Elimu Taaluma (W) Magu angeondolewa mara moja kwa sababu ni mla rushwa aliyekithiri na ayependelea waalimu wa kabila lake (Wajita). Amekula fedha kwa walimu wengi sana aliowaahidi kuwapa ualimu mkuu (hao nao wanastahili kushughulikiwa kwa sababu kutoa rushwa...
  8. L

    Kuna uhitaji mkubwa wa elimu ya uandaaji wa mbolea ya asili

    Habari za wakati huu watanzania wenzangu. Kuna makala niliweka humu juu ya uandaji wa mbolea ya samadi ya maji kwa ajili ya matumizi ya bustani na shamba kiujumla. Kulingana na watu walionitafuta kuhitaji kujua zaidi na mrejesho ninaoupata kwa walioanza kutumia hakika ninapata faraja kubwa...
  9. Serikali haina budi kupitia upya sera ya elimu bure

    Elimu ya sasa imewaacha vijana wengi kutojituma kimasomo, hawana uchungu kabisa kupambania viwango vyao darasani na hili ni tokeo la Elimu bure, Na ndio Maana shule binafsi bado zinaongoza kufaulisha wanafunzi kila iitwapo leo. Hoja muhimu Hawa wanafunzi hawaoni uchungu kabisa Ela inayotolewa...
  10. Tuendelee na Mambo ya Msingi Elimu inachezewa sana

    Kuhusu Ya endeleaayo kwenye kuiba mitihani na kubadili namba za watahiniwa Baada ya shule husika kufungiwa kuwa kituo cha Mitihani ya Baraza, Nini Hatma ya Wanafunzi waliokuwa wanasoma shule hiyo? Je, kuifungia shule husika ndiyo suluhisho la udanganyifu wa mitihani ya elimu nchini?, Je, Bila...
  11. Waziri wa Elimu kataza wanafunzi kulazimishwa kwenda na madaftari yote shule

    Huwezi kuelewa mzigo wanaobebeshwa wanafunzi wa shule za kutwa mpaka pale utakapojaribu kuubeba mfuko wa madaftari wanaobeba wakienda shuleni. Kitendo cha watoto kulazimishwa kwenda na Vitabu vya kiada na Madaftari ya Masomo yote shuleni kila siku kinawaletea wanafunzi hao matatizo kwenye uti wa...
  12. M

    Elimu ya Msingi hadi kidato cha nne sawa ila...

    Tanzania ni moja ya mataifa masikini duniani ikiwa na asilimia kubwa ya watu wanaotegemea kilimo cha kujikimu na shughuli za uchuuzi wa bidhaa hususani chakavu ama zenye viwango duni kutoka nje kwa ajili ya kipato. Hali hii huwaweka katika hali tegemezi kiuchumi kutokana na njia zisizotabirika...
  13. Tatizo la Elimu yetu ni kwenye shule za Umma siyo za Binafsi

    Kwenye mfumo wa Elimu Yetu tuna matatizo mengi sana ambayo kwa haraka haraka inawezekana ikatuchukua hata miaka zaidi ya 20 kuyarekebisha, tena kama tukiwa makini na tuliodhamiria kufanya marekebisho yanayotakiwa. Kwenye Mfumo wetu wa Elimu watu waliofundishwa kuwa Maafisa Elimu kwenye vyuo...
  14. Tofauti ya ufundishwaji wa masomo ya sayansi kwa Afrika na China

  15. K

    Sasa kiundwe Kikosi Kazi kuhusu Elimu

    Salaam, Moja kati ya mambo muhimu kwa taifa letu tunayoweka uvivu kuyarekebisha ni hili la Elimu. Kiukweli hatutoweza kufikia maendeleo endelevu bila kuwekeza vyema kwenye elimu ya teknolojia. Tazama Asia, nchi nyingi zimeibuka kiuchumi kwa kuboresha elimu kwanza. Mimi namiliki kajishule na...
  16. DC Moshi kukosa kura za CCM awaangushia hasira maafisa elimu kata kwa kuwahamisha vituo vya kazi wote bila malipo

    Kasheshe la DC MOSHI Bw. ABBAS KAYANDA, huko Kilimanjaro kupata pigo la kukosa kura za CCM limechukua sura nyingine. Baada ya gazeti la mwananchi kumrusha hewani DC wa moshi kwa kukosa kura ndani ya chama cha mapinduzi, amewaangushia maafisaelimu kata na kuwahamisha wote vituo vyao vya kazi...
  17. B

    Wizara ya Elimu kutegua kitendawili kizito cha Wahandisi mitambo

    Kongamano la saba la kimataifa linaloendelea katika chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM ili wanya0yofundishwa yaendane na yale ya uhalisia wataj0ayokutana nayo katika ulimwengu wa nje ya vyuo yaani kule wanapokwenda kuajiriwa au kujiajiri. Marekebisho ya mitaala ya elimu katika vyuo vikuu...
  18. B

    Elimu ya Msingi kwa miaka sita: Je, tumejiuliza mambo haya?

    Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kuniwezesha kupata elimu bora kabla siasa za nchi yetu hazijashika hatamu katika ELIMU. Tunaposema tunataka elimu ya MSINGI iwe miaka sita, kusiwe na mtihani darasa la sita, wanafunzi wote wanaomaliza darasa la sita waende sekondari. je tumejiuliza mambo...
  19. Hii ni habari njema, sasa tunaongea kuhusu elimu nchini

    Next.... (1) Futa kidato cha Tano na Sita. Vyuo Vikuu vyote viwe na mwaka mmoja wa kufundisha Foundation courses mbili (i) Foundation course for Natural Sciences na (ii) Foundation course for Social sciences. . Tupunguze kabisa muda wa kukaa shuleni kabla haja fuzu fani fulani. Imagine Sasa...
  20. Z

    Sera mpya ya Elimu, nahisi inatatua matatizo binafsi ya Waziri

    Nchi yetu imefikia hatua sera ya nchi inaweza kutungwa ili kutatua matatizo ya familia ya waziri. Inasadikiwa Mungai alikuwa na watoto walioshindwa Sayansi ya sekondari, akaamua kuyaunganisha masomo. Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ilipigwa shinikizo kwa mwaka mmoja kuwapa mikopo wanafunzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…