elimu

  1. Ridhiwani Kikwete Aelekeza Waratibu wa TASAF Kupatiwa Elimu

    MHE. KIKWETE AELEKEZA WARATIBU WA TASAF KATIKA HALMASHAURI KUPATIWA ELIMU YA KUWAHUDUMIA WALENGWA KWA UPENDO. Lengo la kuanzishwa kwa TASAF ni kuwawezesha watu wasiojiweza kabisa kiuchumi kuondokana na hali iyo duni kuwapa ruzuku itakayowasaidia kupiga hatua ya maendeleo kiuchumi, hivyo ni...
  2. Seminal fluid analysis(sperm analysis) elimu na ushauri juu ya vipimo vya mbegu za kiume

    HABARINI WAKUU, Leo nimewiwa na kuona ni vyema kutoa elimu japokua kidogo kuhusu upimaji wa mbegu za kiume na elimu juu ya uwezo wa kizalisha Kwa mwanaume(Fertility). MANII (SEMINAL FLUID) ni mchanganyiko wa mbegu za kiume(sperm) na majimaji mengine kutoka kwenye Korodani (testis) na tezi...
  3. W

    Wenye elimu ya dini nisaidieni: Ni ipi hekima iliyojificha katika mateso makali wayapatayo wanyama?

    Habarini! Wenye ujuzi tupeane maarifa kidogo tafadhali. Msingi wa swali langu unaegemea zaidi maisha ya wanyama hawa wala nyasi. Naona maisha yao yamejaa tabu na mateso na wasiwasi mtupu. Wakikoswa kupigwa meno ya shingo na kunyonywa damu na simba au chui basi huishia kuliwa kwa kumegwa...
  4. Wajumbe Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu (RAAWU) wamkataa mwenyekiti wao

    Kuna Mkutano Mkuu wa Baraza la Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Ufundi Stadi, Ushauri, Habari na Utafiti ambao unafanyika katika Hoteli ya Edema Manispaa ya Morogoro. Lakini katika mkutano huo ambao umeanza majira ya saa mbili asubuhi leo tarehe 23 Machi...
  5. Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) kuingia mkataba na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Kufundisha wanafunzi

    Utangulizi Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo. Matokeo ya Utafiti 59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
  6. K

    Ushauri: Anzisheni utaratibu wa wahitimu wa elimu za juu kufundisha kwa mwaka mmoja

    Tanzania kuna watoto wengi sana wanaingia shule kwa kasi kuliko uwezo wa serikali kuajiri walimu wa kutosha. Huu ni wakati mzuri wa kufikiria programu ya wahitimu wa elimu za juu ambao wengi nao ni vijana kufundisha kwenye shule mbalimbali kwa mwaka. Serikali iweke utaratibu mzuri hili...
  7. Polisi yatoa tahadhari, baadhi ya mawakala wanaosajili laini mtaani ni matapeli

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime Akitoa darasa kwa Maafisa Polisi Jamii na Polisi Kata kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam pamoja na wengine kutoka Kibaha na Mkuranga, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime amezungumzia utapeli wa mitandao unaofanyika...
  8. Changia elimu kuwasaidia wengine

    Habar wakuu humu ndani... Mimi ni mdau wa elimu katika shule ya sekondari kwemdimu iliyopo wilaya ya Korogwe. Tuna shida ya vitabu upande wa somo la elimu ya dini ya kiislamu kwani tuna idadi ya wanafunzi zaidi ya mia tatu lakini tuna vitabu vinne tu kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha...
  9. Wanafunzi 34 wa Udaktari walioondolewa chuo (UDSM-MCHAS) waililia Wizara ya Elimu iwasaidie

    Mwaka 2018 wakati Tume ya Taifa ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ilipokuwa katika utaratibu wake wa ukaguzi wa vyuo vikuu Nchini ilibainika kuna vyuo ambavyo ama havikidhi vigezo au mazingira yake si salama kimasomo. Uamuzi uliochukuliwa baada ya kubainika kutokidhi vigezo ilikuwa ni vyuo kufungwa...
  10. Gobless Lema ana elimu kiwango gani?

    Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha elimu ya Mr Gobless Lema. Maana anavyoongea anajijua mwenyewe, au hajapata mgao?
  11. Elimu inaondoa akili ya asili, aliyozaliwa nayo binadamu

    Elimu ni kitu kizuri, ila changamoto yake inaondoa ule uelewa wa asili ulio zaliwa nao (geniusism) na kupandikiza mawazo ya watu wengine. Na hii inapelekea kupunguza idadi ya wavumbuzi kama enzi za kina Isack Newton. Tunaamini akili ulio zaliwa nayo, ndiyo yenye mapinduzi ya kweli kifikra na...
  12. Learn to work, don't work for money! Najuta kuupoteza muda kwenye elimu

    Najuta kupoteza muda wangu kwenye elimu ni ujinga na upumbavu mwishowe naanza kuhangaika na bahasha za kaki tu wakati age mate wangu au wote ambao nimemaliza nao shule form four and la saba now ni ma billionaire au mamilionaire mie ndiye ambaye nawapiga vizinga tu ni ujinga na upumbavu kuamini...
  13. Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

    Habari. Kwasasa dunia inafanya mapitio ya mitaala ya kufundshia/kujifunza huko mashuleni, huku swala la elimu za walimu ambao ndio wadau wa mitaala hiyo likiwa gizani. Kwa mfano, kwa Tanzania muundo wa kiutumishi wa walimu wa shule za msingi na sekondari unaanzia elimu ya cheti hadi shahada ya...
  14. Serikali ingilieni kati, huu mfumo wa elimu utasababisha watoto waanze kuichukia shule

    Nimerudi nyumbani kutoka mahali ninapofanyia shughuli zangu, nimekutana na kitu kinanipa mawazo sana. Mwanangu wa kwanza (4yrs old) alikuwa anapenda shule sana, mwaka jana alikuwa anasoma shule si mbali sana na hapa, walikuwa wanatoka saa 6 mchana, sasa mwaka huu nikaona nimtafutie nursery bora...
  15. Elimu kwa Ally Kamwe na Ahmed Ally juu ya hamasa viwanjani siku za mechi

    Inasemekana kuwa Shabiki ni mchezaji 12 wa timu wakati wa mechi, hivyo Ally Kamwe na Ahmed Ally wasemaji wa Yanga na Simba wanafanya kila jitihada ya kuwataka wanachama na mashabiki wa timu hizo washangilie mwanzo mwisho wa mechi zao muhimu. Hata hivyo sayansi ya akili na tabia ya mtu inamtaka...
  16. Nikiwa kama msomi ninayefanya biashara nimeona wazi kwamba biashara inahitaji elimu ndogo hata ya darasa la 4 inatosha

    Nikiri wazi kwa sasa bado nipo kwenye ajira serikalini lakini biashara ndio inaniingizia mkwanja zaidi kuzidi ajira, kwenye ajira nachofaidika ni connections na sehemu nilipo kwenye ajira inanipa nguvu ya mamlaka flani kwenye sytem lakini kuhusu mkwanja kiukweli biashara ndio inanibeba zaidi...
  17. Je, hiki kinachofanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kuanza tena kuwakata makato wale wanaufaika ambao tayari walishamaliza marejesho?

    Ninaomba tu kufahamau kama hiki kitendo kinachofanywa na hii Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB), kama ni sahihi au la. Binafsi naona kama ni kitendo cha kihuni. Maana mwezi uliopita kuna kundi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu walioko kwenye utumishi wa umma, na ambao kimsingi...
  18. Je, Serikali inazungumziaje suala la wanafunzi kukaa na njaa shuleni hadi usiku?

    Hivi Mwanafunzi anayeshinda na njaa kuanzia Asubuhi hadi usiku saa tatu. Hapa Dar es Salaama unakuta 90% ya wanafunzi wa shule za serikali wanaamka saa kumi na moja na kuanza kugombania daladala na wakifika shule hamna uji Wala chakula na mwanafunzi ili Afike kwao Mbagara, Gongo la Mboto au...
  19. B

    Mjema asisitiza elimu ya kutunza mazingira kwa wananchi ili kukwepa majanga

    MJEMA ASISITIZA ELIMU YA KUTUNZA MAZINGIRA KWA WANANCHI ILI KUKWEPA JANGWA, UKAME NA MMOMONYOKO WA ARDHI. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Sophia Edward Mjema ameitaka Serikali kupitia kwa maafisa wake wa kilimo na maafisa mazingira kutoka maofisi na kwenda kwa wananchi kuwaelimisha...
  20. R

    Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi. 2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…