elimu

  1. Network marketing (biashara mtandao), sekta muhimu kwa uchumi ambayo inahitaji kutolewa elimu na kutungiwa sera

    WTF
  2. Mfumo wa elimu Afrika

    Msikilize kwa umakini. Maoni yako ni nini?
  3. U

    Waziri wa Elimu tunaomba utusaidie walimu DIT hatujalipwa tangu Juni

    Sisi walimu wa Chuo cha Serikali cha DIT tunaofanya part time tunaomba utusaidie tulipwe mishahara yetu tunayodai tangu mwezi June na sasa ni December na hatuoni dalili za kulipwa. Kwakweli ni tatizo la muda mrefu ambalo hakuna anaeonekana kujali sio mkuu wa chuo wala nani maana semester...
  4. Muda wa kutumia elimu zetu umefika, twendeni!

    MATUNDA YA DEGREE ZETU NI MUDA KUYAONYESHA. Na, Robert Heriel Nafikiri huu ndio wakati uliosubiriwa kwa kipindi kirefu, wakati wa kuliinua taifa hili katika nyanja zote za maisha, kiuchumi, kijamii, kisiasa, na kiutamaduni. Kama taifa hatuwezi kufikiri jambo moja wakati wote, kufikiri jambo...
  5. Falsafa nongwa za Heraclitus: Part Two

    Wanajamii habari gani Baada ya kutoa toleo la kwanza juu ya falsafa za gwiji huyu wa kale, sasa naendeleza maana naona dawa haikuingia ipasavyo, chukulieni hili toleo kama mwendelezo wa dozi. Baada ya kusikiliza yaliyojiri Zanzibari na siasa zake kwa haraka nimeona nitoe dawa, hii dawa ni...
  6. Maelezo kwa kifupi ya jinsi ya kuanzisha chuo cha elimu ya ufundi stadi nchini

    MAELEZO KWA KIFUPI YA JINSI YA KUANZISHA CHUO CHA ELIMU YA UFUNDI STADI NCHINI 1 Utangulizi Mamlaka ya Elimu na mafunzo ya ufundi stadi(VETA) ilianzishwa chini ya sheria Na.1 ya mwaka 1994 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2006 kwa lengo la kusimamia, kuratibu na kuendesha elimu na mafunzo...
  7. Kwanini ukimsifia Rais Magufuli CHADEMA wananuna na kutoa dhihaka - Wanahitaji Elimu?

    WanaJF, Salaam! Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko Busisi - Sengerema, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vituo vya afya, uteuzi wa wapinzani...
  8. Hivi kuna mwanaume mwenye elimu yake anayeweza kuoa mwanamke ambaye hajasoma?

    Mambo mengi mda mchache... Naombeni kuuliza hivi mwanaume ambaye mwenye elimu ya u Dkt. Engineering, Prof. akaoa mwanamke ambaye hana elimu yoyote yaani hajaenda shule hata kaenda alifeli darasa la nne na kurudi zake nyumbani huyu mwanaume yupo? Na je watoto watakuja kurithi akili za baba yao...
  9. Malezi ~ Elimu juu ya haki na usawa kwa mabinti wa Msalala

    Tarehe 1 Disemba 2020 timu yetu ilipokelewa kwa bashasha na mabinti watatu kutoka shule ya Sekondari ya Nyikoboko mkoani Shinyanga. Mabinti hawa kwa majina yao ni Mengi Daudi, Helena Joseph pamoja na Mengi Lucas, wanafunzi wa kidato cha kwanza. Mabinti hawa walikuwa kati ya washindi wa shindano...
  10. Dkt. Magufuli, Kigoma tunakushukuru Fedha na Elimu - hatutakuangusha

    WanaKigoma, Huu ni ujumbe mahususi kwa Mhe Dkt Magufuli kwa heshima aliyotuonesha, aliyotupatia kufuatia uteuzi wa wasaidizi wake kwa nafasi ya uwaziri ambapo Wizara ya Fedha kamuteua Isidory Mpango, na Wizara ya Elimu na Mafunzo kamuteua Prof Ndalichako. Hii ni heshima kubwa sana tuliyopewa...
  11. Naomba ushauri wa namna ya kuihudumia Nissan March

    Habari zenu wana jukwaa? Mimi kwa sasa ni Mkaazi wa Zanzibar, niliporudi nyumbani nilivitiwa na Muonekano wa Nissan March nikaamua niinunue, ila Marafiki zangu wa karibu wamekua wananilaumu sana kwa nini nimenunua Nissan March na nisinunue gari za Toyota kama IST? Hivo wana jukwaa nawaombeni...
  12. Utafiti: Vijana wengi wahitimu wa vyuo wasio na kazi au kufanya kazi za kawaida hudanganya wana Elimu ya Kidato cha 4, 6 au Stashahada

    Nimefanya utafiti nimegundua kundi kubwa la graduates wasio na ajira au wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na mtu mwenye Elimu ya chini wanajishusha elim zao kundi hili hudanganya wana elim ya form 4, form 6 na wakienda sana basi ni Diploma. Sizungumzii ile kujishusha ili upate kazi...
  13. C

    Kucheleweshwa kwa Hela za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu, mpaka pale watakapo lipa Hela ya usajili na kusajiliwa chuoni

    Wakuu naomba Muongozo juu ya hili suala. Je ni sahihi kwa chuo kuchelewesha hela za wanafunzi kwa kigezo cha lazima wasajiliwe chuoni wakiwa wameshalipa hela ya usajili, wakati miongoni mwa hao wanafunzi wanategemea hela hizo za kujikimu kuendesha maisha na kulipa pesa kama hizo wanazodaiwa...
  14. Ufahamu kuhusu Elimu ya QT

    Niende moja kwa moja kwenye mara, Naomba kufahamu kwa mtu anayesoma QT inatakiwa apate avarage ya ngapi ili awe amafaulu kuendelea na masomo ya kidato cha nne?
  15. Kuna uwezekano serikali haiwatambui waliosoma shahada ya elimu ya awali

    Kulingana na matangazo ya ajira serikalini yanavyotoka na wanavyoajiri, sijawahi kuona wakiwazungumzia hawa wahitimu wa shahada ya elimu ya awali. Huenda Joyce Ndalichako aliiruhusu hii course kwa degree lakini baadae wakaona inacost serikali. Niiombe serikali iwape japo nafasi kwenye vyuo vya...
  16. N

    Mfumo mbovu wa Elimu Tanzania

    Habari ndugu zangu. Kwa machozi mengi naandika juu ya jambo hili. Mimi Ni mmoja kati ya wahitimu katika kozi ya "DIPLOMA IN TECHNICAL EDUCATION" 2019 katika chuo Cha Ualimu Kleruu. Nia yangu ilikuwa Ni kuendelea katika ngazi ya juu Zaidi ya Elimu, lakini , nimepambana kwa nguvu zote nikaomba...
  17. Mbinu za motisha kwa Walimu, kuajiri Walimu kutoka shule binafsi na kambi za kitaaluma zapelekea Simiyu chini ya RC Mtaka kuendelea kielimu

    MTAKA AELEZA NAMNA MIKAKATI YA KUKUZA ELIMU SIMIYU ILIVYOZAA MATUNDA Sekta ya Elimu Mkoani Simiyu imekuwa ikifanya vizuri katika kipindi hiki cha karibuni. Katika matokeo ya darasa la saba Mwaka huu 2020 Mkoa wa Simiyu umetoa shule 8 katika orodha ya shule zilizoongeza ufaulu kwa kiasi...
  18. Naomba udhamini wa elimu ya juu

    Wakuu, Kama kuna anayefahamu kuhusu taasisi, jumuiya au hata shirika linalojihusisha na udhamini wa wanafunzi wa elimu ya juu anisaidie nina shida ya udhamini. AHSANTE
  19. Je, kuanzia 2021 shule za serikali itaendelea kutoa elimu bure?

    Habari ya mchana wadau wa JF. Kuna kitu nilikuwa najiuliza sana, nikaona niwashirikishe na nyie. Je, serikali ya awamu ya 6 chini ya Mh. Magufuli itaendelea kutoa elimu bure kwa ngazi ya elimu ya msingi na upili kama ilivyokuwa kipindi anaingia madarakani 2015? Je, wanafunzi wataanza...
  20. Elimu ni funguo ya uzima na pia funguo ya mauti

    MSHIKE SANA ELIMU USIMUACHE; ELIMU IPI ILIKUWA INAZUNGUMZIWA? Na, Robert Heriel Miaka ya 2000 katika nchi yetu kulikuwa na muako mkubwa sana wa elimu. Serikali, taasisi na mashirika mbalimbali yalianzisha programu za kuhamasisha jamii ipeleke watu shule. Ni kutokana na umuhimu wa elimu ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…