ebola

  1. Wanafunzi 8 wafariki kwa Ebola Uganda, Serikali kuzifunga shule zote

    Baraza la Mawaziri limeridhia Shule kufungwa Novemba 25, 2022 ikiwa ni baada ya wanafunzi 23 kupata maambukizi ya Ugonjwa huo. Mke wa Rais Museveni ambaye pia ni Waziri wa Elimu amesema hatua hiyo itapunguza mikusanyiko ya watoto kukutana na wenzao, walimu na wafanyakazi wengine wanaoweza...
  2. CDC yatoa Tsh. Milioni 181 kukabili Ebola, kipindipindu mipakani

    Serikali ya Marekani kupitia Kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa cha Marekani (CDC), imekabidhi vifaa vya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) vyenye thamani ya Sh181.1 milioni kwa ajili ya ufuatiliaji wa magonjwa katika mipaka ya Tanzania. Vifaa hivyo ni pamoja na kompyuta za...
  3. Uganda: Virusi vya Ebola vyazidi kusambaa Kampala

    Serikali ya Uganda ipo katika presha kubwa ya kusambaa kwa Virusi vya #Ebola baada ya wanafunzi 6 kukutwa na maambukizi jijini hapo. Idadi hiyo inafanya jumla ya waliokutwa na maambukizi #Kampala kufika 15 kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Jane Ruth Aceng ikiwa ni siku chache tangu Serikali...
  4. Maambukizi ya Ebola yafikia watu 14 Kampala ndani ya saa 48

    Waziri wa Afya Jane Ruth Aceng ameripoti ongezeko la Wagonjwa 9 waliothibitishwa kuwa na Ebola jijini humo na kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 14 ndani ya saa 48 zilizopita. Usambaaji wa kasi wa Ebola jijini Kampala umezusha hofu kwa raia kuwa huenda Rais Museveni akatangaza hatua kali za...
  5. Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake

    UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI? Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu ikiwamo kusababisha kifo ikiwa haujatibiwa Ebola kwa mara ya kwanza ilionekana mwaka 1976 katika...
  6. Wahudumu 5 wa Afya wamefariki kwa Ebola hadi sasa, Rais Museveni atangaza Karantini ya siku 21 kwenye wilaya hatarishi

    Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya, Dkt. John Grace Walugembe anakuwa mhudumu wa 5 wa Afya kufariki kutokana na ugonjwa huo uliosababisha vifo 20 na maambukizi kufikia watu 58 Katika kukabiliana na kasi ya maambukizi Rais Yoweri Museveni ametangaza kuziweka Karantini ya siku 21 wilaya 2 za...
  7. Rais Museveni apiga marufuku waganga wa jadi kutibu Ebola

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni siku ya Jumatano aliamuru waganga wa kienyeji kuacha kuwatibu wagonjwa katika jitihada za kukomesha kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, ambao tayari umegharimu maisha ya watu 19 nchini humo. Katika hotuba yake kwa taifa, kiongozi huyo mkongwe pia aliagiza maafisa wa...
  8. Wasafiri Stand ya Magufuli (Dar es Salaam) kupimwa maambukizi ya Vizuri vya Ebola

    Serikali imeweka kituo maalum cha ufuatiliaji wa ugonjwa wa Ebola kwa abiria wanaotoka mikoa ya mipakani mwa Tanzania na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam. Akizungumza na EATV mratibu wa huduma za maabara kutoka Manispaa ya Ubungo Nalimi Nacharo...
  9. Kampala: Kifo cha kwanza cha Ebola charipotiwa

    Hiyo ni mara ya kwanza tangu mlipuko wa Ugonjwa wa #Ebola kuripotiwa kuanza Nchini Uganda, Septemba 2022 ambapo kifo cha mtu huyo kinafanya waliofariki kwa Ebola kufikia 19. Baada ya kuanza kuonesha dalili alianza kupata matibabu kwa dawa za kienyeji badala ya kwenda hospitali, alifikwa na...
  10. Uganda yaridhia kufanyiwa majaribio ya chanjo 8 za Ebola

    Hatua hiyo inafuatia ufanisi hafifu wa chanjo zilizotumika awali kushindwa kufanya kazi kama ilivyotarajiwa kutokana na kutofautiana na aina Kirusi kilichopo nchini humo. Uganda inakabiliwa na Kirusi cha Sudan wakati chanjo zilizoingizwa nchini humo zilikuwa za Kirusi cha Zaire. Mkurugenzi Mkuu...
  11. Watafiti: Virusi vya Ebola nchini Uganda vimebadilika

    Watafiti nchini Uganda wanasema virusi vya Ebola vinavyosambaa nchini humo vimebadilika. Prof Pontiano Kaleebu wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi vya Ebola aina ya Sudan anasema hata hivyo hakuna ushahidi kwamba inaweza kuambukizwa zaidi ya aina ya awali. Walichambua sampuli kutoka kwa kisa cha...
  12. Mfanyakazi mwingine afariki kwa Ebola Uganda

    Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) umekatisha maisha ya mhudumu mwingine wa afya wakati nchi ikipambana kudhibiti kuenea kwa virusi hivyo, Wizara ya Afya imeripoti. Dkt Jane Ruth Aceng, Waziri wa Afya alitangaza kifo cha Bi Margaret Nabisubi, Afisa wa Ganzi, leo Jumatano asubuhi. "Muuguzi huyo...
  13. Daktari Mtanzania aliyefariki kwa Ebola azikwa Uganda kuepusha maambukizi

    Dkt. Mohamed Ali aliyekuwa akisomea Udaktari Bingwa wa Upasuaji alizikwa katika makaburi ya umma huko Fort Portal jana Oktoba 2, 2022. Kwa mujibu wa Dkt, Alex Adaku, Mkurugenzi wa Fort Portal Regional Referral Hospital ambako Dkt. Mohammed Ali alilazwa hadi umauti, amesema walifikia uamuzi huo...
  14. Waathirika wa Ebola watakiwa kuacha Ngono kwa siku 90

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi, Prof Pontiano Kaleebu, amesema ingawa Ebola haichukuliwi kama Ugonjwa wa zinaa katika baadhi ya tafiti, Wataalamu wamegundua uwepo wa Virusi hivyo kwenye mbegu za kiume baada ya kupona. Dk Ataro Ayella, mtaalam wa magonjwa ya kliniki, amesema...
  15. Waliofariki kwa Ebola wafika 23, mgomo wa madaktari waungwa mkono

    Idadi hiyo ni ndani ya wiki moja tangu mlipuko utangazwe eneo la Mubende na kusambaa Kyegegwa na Kassanda wakati idadi ya wanaodaiwa kuwa na maambukizi ni 36. Aidh, Rais wa Jumuiya ya Madaktari wa Uganda amedai wafanyakazi wa afya wapo sahihi kutoka huduma maeneo yaliyoathirika kwa madai...
  16. Congo DR yatangaza kumalizika kwa wagonjwa wa Ebola

    Waziri wa Afya Jean-Jacques Mbungani Mbanda amesema Serikali imejiridhisha ikiwa ni baada ya siku 42 za ufuatiliaji ulioimarishwa bila kuwepo kwa mgonjwa mpya aliyebainika kukumbwa na janga la Ebola. Ebola iliripotiwa kurejea tena Agosti 22, 2022 baada ya Virusi hivyo kugundulika katika mji wa...
  17. Ebola yazidi kusambaa kwa kasi Uganda, vifo vyafikia 19

    Kwa mujibu Wizara ya Afya, hadi kufikia Septemba 24, 2022, jumla ya wagonjwa 31 waligundulika kuambukizwa na wengine wakihisiwa kuwa na maambukizi hayo, ikiwa ni ongezeko la haraka kutoka visa 7 vilivyoripotiwa Sept. 23,2022. Wizara hiyo pia imesema jumla ya vifo vilivyothibitishwa na...
  18. Uganda yatangaza wagonjwa wengine 6 wa Ebola

    Wizara ya Afya ya #Uganda imethibitisha maambukizi mapya ya Ugonjwa wa Ebola baada ya kulipuka kwa ugonjwa huo na kuua mtu moja mwenye umri wa miaka 24, mwanzoni mwa wiki hii eneo la Mubende. Aidha, mamlaka inafuatilia vifo vya watu wengine saba kikiwemo cha mtoto wa mwaka mmoja kujua kama...
  19. Ujue Ugonjwa wa Ebola, dalili, unavyoambukizwa, madhara...

    Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vujulikanavyo kitaalam kama (Ebola Virus). Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za virusi zinazosababisha kutoka damu sehemu za wazi za mwili mfano puani , masikioni , na machoni. Ugonjwa huu unaathiri binadamu na...
  20. Mgonjwa mwingine wa Ebola afariki Uganda

    Mgonjwa mwingine ambaye ni mtoto mdogo, amefariki kwa Ebola katika hospitali moja katikati mwa nchi hiyo, kwa mujibu wa taarifa za gazeti la New Vision la nchini humo. Maafisa wa afya wanasema kuwa marehemu alikuwa mmoja wa watu 14 waliolazwa hospitalini wakiwa na dalili kama za Ebola...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…