Mkutano wa 48 wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza leo, Novemba 23, 2026, katika eneo la Munyonyo, jijini Kampala, Uganda, ukilenga kupitia utekelezaji wa maamuzi na maagizo ya mikutano iliyopita pamoja na kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo...