dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndoa ya D Voice na Lulu Diva: Dini dhidi ya Maadili ya Kiislamu

    Hatimaye msanii D Voice, amefunga ndoa ya Kiislamu na msanii mwenzake wa Bongo Fleva, Lulu Diva. Hatua hii ya heri imepokelewa kwa pongezi nyingi kutoka kwa mashabiki na wadau wa burudani, ikionekana kama mfano bora wa vijana kuamua kuishi maisha ya halali na kukamilisha nusu ya dini yao. Hata...
  2. Utabiri game ya Simba dhidi ya Orlando Pirates

    Simba itashinda goli mbili kwa moja, yaani simba 2 pirate 1 ,uwanja wa uhuru. Utabiri wangu unaletwa kwa udhamini wa vodka kwenye mishipa yangu hapa.
  3. Hakuna haja ya Israel kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran kwa sasa - Eisenkot

    Wanaukumbi. Gadi Eisenkot, ambaye anashiriki mazungumzo ya kuunda serikali mpya nchini Israel, amesema haoni haja ya kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran kwa sasa. Gadi Eisenkot, ambaye aligombea nafasi ya Waziri Mkuu, amesema katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika bunge...
  4. Rufaa ya Jamhuri Dhidi ya Hukumu ya Kumtakasa Lissu Dhidi ya Uhaini: DPP Haoni Kuwa Anatekeleza Mkakati wa Kupinga Maridhiano?

    Taarifa muhimu hapa JF asubuhi ya leo ni kuwa kuna Rufaa ya Jamhuri dhidi ya hukumu iliyotolewa na kumtakasa Lissu, viongozi wa Chadema na Watia nia wa Chadema zaidi ya 300 dhidi ya tuhuma za Uhaini. Tumeambiwa kuwa rufaa hiyo inaandaliwa na Ofisi ya DPP, anakofanya kazi Wakili Mkuu wa Serikali...
  5. J

    VIDEO: Tazama David Kafulila Akieleza Jinsi PPPs Inavyoweza Kuihami Tanzania Dhidi ya Migogoro[Crisis] za Kiuchumi Duniani

    Wasalaam Jf, Ukweli ni kwamba huyu jamaa anajua sana Uchumi. 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 PPP INAWEZAJE KUTULINDA DHIDI YA MISUKOSUKO YA UCHUMI WA DUNIA? Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, Bwana David Kafulila, anasema, PPP Centre na mfumo mzima wa PPP vinalisaidiaje Taifa pale dunia inapokumbwa na misukosuko mikubwa...
  6. Maandamano makubwa dhidi ya Sofia Kawawa alipoizungumzia Quran

    Sofia Kawawa alisema Qur'an ibadilishwe kisa ni kuwa inaruhusu mwanamme wa Kiislam kuoa wake wanne na hili linadhalilisha wanawake. Maneno haya Sofia Kawawa aliyazungumza Dodoma kwenye mkutano wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) yeye akiwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo. Hii Dodoma ina bahati...
  7. Likizo si wakati wa kulegeza ulinzi wa watoto: Wazazi tuwajibike kuhakikisha usalama wa watoto wetu dhidi ya ukatili

    Kipindi hiki cha likizo ya kimasomo kwa miezi miwili kwa watoto wetu, wazazi na walezi tuongeze umakini katika usalama wa watoto wa kike na wa kiume. Tusidhani kila ndugu, mjomba, shangazi, dada au kaka wa kazi ana nia njema kwa watoto wetu. Baadhi ya vitendo vya ukatili wa kingono dhidi ya...
  8. Nchi za EAC zatakiwa kuungana dhidi ya vitisho vya usalama mipakani

    Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimetakiwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda ili kukabiliana kwa pamoja na vitisho vya kiusalama vinavyovuka mipaka, ikiwemo ugaidi, makundi yenye silaha, uhalifu wa kimataifa, ukosefu wa usalama mipakani, milipuko ya magonjwa na uhalifu wa...
  9. O

    Rais Ruto Aonya Viongozi Dhidi ya Siasa za Chuki na Ukabila

    Rais William Ruto amewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kutumia siasa zinazochochea chuki, migawanyiko na ukabila nchini Kenya. Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Narok, Rais Ruto alisisitiza umuhimu wa viongozi kuhubiri umoja na kudumisha amani miongoni mwa Wakenya badala ya kutumia...
  10. Tutatokaje hapa tulipofika?

    Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano. Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo. Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi. Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
  11. Tutatokaje hapa tulipofika?

    Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano. Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo. Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi. Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
  12. M

    CCM iwaombe radhi Watanzania dhidi ya mauwaji,

    Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki Kwa MAONI YANGU, Juhudi zilizoelekezwa...
  13. Kifungo cha Tundu Lissu kinatufundisha kwamba kuwa mwanasiasa si kinga dhidi ya sheria.

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la uchochezi. Hukumu hiyo imetolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam Kuna watu wanaamini...
  14. F

    Kauli ya Kihongosi dhidi ya Heche ni uchochezi au ndio siasa zenyewe?

    Ni Ile ya kudai kuwa "Lissu aliandika barua kuomba maridhiano fake ,barua ilipomfikia Heche akaichana". Kwa maoni yako huu ni uchochezi kuleta chuki ndani ya jamii au ndio uhuru wa kutoa maoni?
  15. Z

    Nawashangaa sana viongozi wa Chadema, kama wanaituhumu Mahakama kuwa imetumiwa dhidi ya Lissu sasa wanataka kukata rufaa ya nini na kwenda wapi?!!

    Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine. Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
  16. Vyombo vya habari vya Tanzania ni vya ovyo kiasi hiki? Lissu ameachiwa na Mahakama au kashinda kesi ya uhaini dhidi ya Serikali kandamizi?

    Hivi fani ya uhanabari bhana haina tofauti na uhakimu na ujaji ubwabwa kama nduguru na wenzake. Yaani magazeti ya Tanzania yote, yameripoti eti Lissu ameachiwa na Mahakama badala ya kuandika Lissu alibwagwa serikali kesi ya uhani. Basi kama mnainea haya hiyo serikali yenu andikeni Lissu...
  17. Maombi ya Lissu kwa majaji dhidi ya hukumu yake, na kukaliwa kimnya, watanzania fatilieni kwa nini watoto wa majaji na mahakimu ni vichaa,ni matokeo..

    Sababu alizo zitoa Tundu Lissu mahakamani leo baada ya hukumu na kukataliwa kwa ukimya wa majaji walah vizazi vyao vitalaaniwa. Nimewahi kujiuliza hivi kwa nini Mahakimu wastaafu wa Tanzania baada ya kustaafu kwao vizazi vyao ukumbwa na mikosi kama utaila na kadhalika? Sio tu mahakimu hata...
  18. Ikitokea leo kipenzi chetu Tundu Lissu akishinda kesi yake dhidi ya Jamhuri, kipi utafanya ili kuonyesha furaha yako?

    Je, utachinja jogoo lako pendwa? Je, utafanya ibada ya shukrani kwa Mungu? Je, utaishukuru mahakama kutenda haki? Je, utashinda bar kulewa na kuiendeleza weekend kwa kishindo cha wakoma..!! Je, utaserebuka kwa muziki? Je, tutarajie mimba nyingi siku ya leo? Nyavu kutikiswa kwa wingi...
  19. Vita dhidi ya jamii ya LGBTQ+ nchini, ugumu uko wapi? Tukumbushane....

    Inaonekana ni ruksa kulingana na hotuba ya boss kipindi fulani huko nyuma. Lakini kwa nini? Labda mikataba inayosainiwa na viongozi wetu huko juu? Ila wanakaa kama hawajui chanzo kiko wapi🤔. Wanasema ustaharabu mpya, wafanyane wakubwa kwa wakubwa. #Haki za binadamu
  20. O

    “Cetirizine Inabana Uke?” Wizara ya Afya Yaonya Wakenya Dhidi ya Matumizi Hatari ya Dawa Hiyo

    Wizara ya Afya nchini Kenya imewaonya wananchi dhidi ya kutumia dawa ya cetirizine kwa lengo la kuboresha tendo la ndoa, kufuatia madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa dawa hiyo inaweza kupunguza unyevunyevu na kufanya uke kuwa mbana zaidi. Akizungumza Jumatano, Novemba 4, 2026...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…