chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msomi Unapataje Muda wa Kulumbana na Wanasiasa? Heche Yuko Sahihi. Tunazalisha Mabingwa wa Kukariri

    Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka. Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika. Na...
  2. Dkt. Gwajima: Sakata la Mabinti wa Chuo Kikuu kupigana kisa mume wa mtu, Mwijaku kuhojiwa

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa taarifa kwa umma kuhusu mabinti wanafunzi wa chuo kikuu waliomdhalilisha binti mwenzaoa, taarifa hiyo ni kama ifuatavyo "Ndugu Wananchi, rejeeni taarifa yangu kwa umma ya tarehe 20 Aprili, 2025...
  3. Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
  4. Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam walaani kitendo cha udhalilishaji na shambulizi lililohusisha wanafunzi

    CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: KULAANI KITENDO CHA UDHALILISHAJI NA SHAMBULIZI LILILOHUSISHA WANAFUNZI Dar es Salaam, 20 Aprili 2025 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinasikitika na kulaani vikali tukio la kushambuliwa, kudhalilishwa, na kudhuriwa kwa msichana...
  5. Wanafunzi wa chuo kikuu wapigana kisa mme wa mtu, hawaoni umuhimu wa elimu kuwatoa kimaisha wanaamini katika ukahaba

    Malezi ya watoto wa sikuhizi bana ni hatari sana, ukisikia mzazi ameuza ng'ombe akampeleka ng'ombe shule ndio huku, nyie wazazi huruma sio malezi, sisi watoto wa 80's ukimzingua mzazi atakupa mijeredi mpaka ushangae.. Nimeona video wanafunzi wa chuo kikuu kinachoaminika kwa kutoa elimu Bora...
  6. Jinsi Nilivyojifadhili Chuo cha kati na sasa chuo kikuu bila backup yoyote

    Habari Wana Jf🚀 Stori Yangu ya Maisha – Safari ya Kupambana na Changamoto! Hello wana jf! 🙌 Leo nataka kushare na nyinyi hadithi yangu ya maisha – jinsi nilivyopambana na masomo huku nikicheza "survival mode" kama mchezaji wa kweli! 😎 Bado siko kwenye “hero” level, lakini niko njiani, na...
  7. Uzi wa Matumaini: Jinsi Nilivyojifadhili Chuo cha kati na sasa chuo kikuu Huku Nikitafuta Ajira Ya Ndoto Zangu

    Habari Wana Jf🚀 Njoo Niseme Stori Yangu ya Maisha – Safari ya Kupambana na Changamoto! Hello wana jf! 🙌 Leo nataka kushare na nyinyi hadithi yangu ya maisha – jinsi nilivyopambana na masomo huku nikicheza "survival mode" kama mchezaji wa kweli! 😎 Bado siko kwenye “hero” level, lakini niko...
  8. Chuo Kikuu cha Harvard huko Marekani kimekuwa ni chukizo kwa wengi

    Harvard mara zote ilikuwa ishara ya ukuu. Sasa hivi chuo hicho ni aibu tupu imekuwa sehemu ya wapiga propaganda Mwanafunzi wa chuo cha Harvard sasa hivi haiwezi kupata ujasiri wa kusimama dhidi ya chuki dhidi ya Wayahudi, unawezaje kuamini kwamba chuo hicho kitatoa watu wenye akili pevu?
  9. Hakimu aliyetoa hukumu hii dhidi ya Vijana wa CHADEMA -SIMIYU, kwanini asifutiwe shahada yake ya sheria?

    Mwaka Jana tumeona habari za Mgombea Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu zangu Mgombea Mwenyekiti tuu wa Kijiji anapigwa Risasi anauwawa mbele ya Mke wake. Mmesikia hii Kesi ilichapishwa huku na MwanaJF?. Fikiria CCM, CCM CCM yaan nafasi ya Ubunge tu ,ubunge tu, inawafanya Mnamfungulia watu...
  10. A

    DOKEZO Tunataka Kujua Chuo Kikuu Huria kimefuta Research?

    Tokea mwaka jana wanafunzi wote ambao niko level nao moja wamekuwa wakihangaika juu ya swala la research. Masupervisor tuliopewa watusimamie hakuna lolote wamekuwa wakifanya, tumekuwa tunapoteza muda bila sababu ya msingi. Kwa mfano mimi nimemaliza mitihani yangu tokea mwezi wa 6 mwaka jana...
  11. I

    Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita.

    Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita. Mwanafunzi mhitimu wa Chuo Kikuu cha Cornell ambaye viza yake ya Marekani ilifutwa kutokana na maandamano dhidi ya Israel ameamua kuondoka Marekani badala ya kusubiri kufukuzwa nchini humo. Momodou Taal, ambaye...
  12. Nina imani na ubora wa Elimu itolewayo na vyuo vikuu nchini. Viongozi wetu wanapotoka. Chuo Kikuu na VETA, wapi na wapi?

    Mwl. Nyerere aliweka dira pevu kwa kutenganisha majukumu ya viongozi watunga sera na watekeleza sera. Leo hii, watekeleza sera ndio viongozi na watunga sera ndo watekelezaji!!!. Unamchukua form four failure unampa uongozi wa Mkoa, aongoze wenye Div one nk kufikia malengo ya Dira ya Maendeleo...
  13. Mshuhudie Mwanamke wa shoka, baada ya kuhitimu Chuo Kikuu, alikosa Ajira, akajiongeza kwa kusoma VETA

    Wanabodi, Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea, Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma! https://youtu.be/hrFHfkk06Wk Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomi...
  14. Chuo kikuu cha Mwanzo na kikongwe zaidi duniani kilianza kama madrasa ndani ya msikiti. Kipo Afrika na kilijengwa na mwanamke

    Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia. Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
  15. Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano ya Palestina

    Wanaukumbi. ⚡️🇺🇸IRais wa Marekani Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano haramu" Haya yanajiri baada ya maandamano ya chuo kikuu yaliyokuwa yakitetea Wapalestina na Wazayuni wakidai kuwa maandamano haya ni "chukizo". Swali hapa ni: Je, ana...
  16. PreGE2025 Mbunge Ummy Mwalimu aomba kufufuliwa kwa viwanda, ujenzi Chuo Kikuu Tanga

    Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia uwezekano kuvirejesha viwanda vya mkoa huo ili kuchochea ajira na maendeleo ya kiuchumi. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Februari 28, 2025 katika Uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga, wakati wa...
  17. M

    Chuo Kikuu cha Iringa hivi imekuwaje Mwenyekiti wa Baraza amerejeshwa kibaruani kimyakimya?

    Mwenyekiti wa Baraza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Dkt. Lilian Badi aliondolewa mara ya kwanza kwa tuhuma za mazingira tata lakini hivi karibuni amerejeshwa kazini huku kukiwa hakuna maelezo sahihi ya sababu za kurejeshwa kwake. Kibaya zaidi ni kuwa hakuna maelezo kamili yaliyotolewa kuhusu zile...
  18. UDOM yatoa ufafanuzi wa madai ya Wanafunzi 400 kuondolewa masomoni, wasema walidukua mfumo na kuchezea matokeo ya mitihani

    TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify Chuo Kikuu cha Dodoma kimepitia taarifa zinazosambazwa mitandaoni za madai zenye madai ya wanafunzi 400...
  19. S

    Kenya: Mbunge ashtakiwa kwa kugushi vyeti vya taaluma ikiwemo vya chuo kikuu

    Mwendesha Mashtaka wa umma nchini Kenya alitangaza Jumatano kwamba Mbunge, George Koimburi, ameshtakiwa kwa kughushi vyeti vya masomo. Koimburi, Mbunge wa eneo Bunge la Juja, anakabiliwa na Mashtaka sita, matatu kwa madai ya kughushi nyaraka za masomo na matatu kwa kuwasilisha vyeti hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…