chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Dr. Malasusa nia yako ni kuiua Chuo Kikuu Tumaini Makumira, miezi 3 wahadhiri na wafanyakazi hawajalipwa mishahara, mnategemea wanaishije?

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kipo mkoani Arusha, kilikuwa chuo kizuri sana na kilishawahi kuwa ndani ya vyuo vikuu 10 Tanzania. Chuo kikuu hiki kimelea vyuo vikuu vishiriki ambavyo sahv ni vyuo vikuu kamili km University of Iringa, KCMC University, Dar Es Salaam Tumaini University(DarTU)...
  2. A

    KERO Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kitatoa lini fedha za ‘refund’ tumesubiri tangu Mwaka 2024

    Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) wa Mwaka 2024. Kutokana na kuchelewa...
  3. Messi kutunukiwa degree ya heshima na chuo kikuu cha Buenos Aires.

    Kweli dunia haiko fair. Wakati goti wa kuvundika anafurushwa timu ya taifa kwa dharau the real GOAT Lionel Messi(LM10) anapewa degree ya heshima na chuo kikuu cha Aeres Buenos kama utambuzi wa mchango wake mkubwa katika soka la Argentina na dunia kwa ujumla. Nadhani mafuta yanaanza kujitenga...
  4. A

    KERO Inasikitisha kuona UDOM inashindwa kukarabati na kuwa na Vyoo safi huku shida ya maji ikishamiri

    Katika hali ya kusikitisha, chuo hiki kikubwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, chenye majengo makubwa na mazuri, kinakabiliwa na changamoto ya ukarabati na usafi. Baadhi ya maeneo, hususan vyoo, yamekuwa katika hali isiyoridhisha kutokana na kutofanyiwa matengenezo ya mara kwa mara. Ni...
  5. TCU ondoeni entry ya division II & III kidato cha sita kujiunga na chuo kikuu otherwise ni kushusha hadhi ya Elimu

    Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene, Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji . Zamani sifa za kujiunga na chuo kikuu ilikuwa lazima...
  6. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinatimiza miaka 65 (25.10.2026). Mbona hamna hata mdahalo? Kulikoni?

    Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
  7. A

    KERO Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) turejesheeni malipo yetu ya Ada yaliyozidi, mnatuzungusha kila siku

    Nilihitimu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Mwaka 2025 katika Shahada ya Bachelor of Science in Telecommunication Engineering, kero yangu ni kuhusu fedha za overpayment ambazo tulipaswa kurejeshewa baada ya kumaliza masomo. Baada ya kuhitimu, wahitimu tuliandika barua za kuomba kurejeshewa fedha...
  8. A

    Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  9. W

    Baadhi ya Wanafunzi katika Chuo cha SAUT wapata wasiwasi baada ya matokeo yao kutopandishwa na Wahadhiri

    Kuna wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza ambao wanakabiliwa na changamoto katika upandishaji wa matokeo yao ya Continuous Assessment (CA). Wanafunzi hao wamefanya mitihani yote, majaribio pamoja na kazi mbalimbali walizopewa na wahadhiri katika masomo yao. Hata hivyo...
  10. Chuo Kikuu cha Harvest Mission chamtunuku PhD Mchungaji Mstaafu Samwel Mwahalende

    MCHUNGAJI Mstaafu wa kanisa la Pentecostal Holiness Mission ( PHM), Samwel Mwahalende, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Harvest Mission cha Texas, Marekani, ikiwa ni kutambua mchango wake wa muda mrefu katika kulitumikia Kanisa na jamii. Akizungumza muda...
  11. D

    Msaada wa Ajira: Ninaomba Connection za Kazi

    Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
  12. A

    Km kuna wafanyakazi wananyanyaswa ni sekta binafsi na serikali imewatelekeza! Mfano VC wa Chuo Kikuu Makumira ni mtu katili, mnyanyasaji, mbaguzi

    Wafanyakazi wa taasisi binafsi ni km watoto yatima tu. Anzia utaratibu wa mifuko ya hifadhi za jamii(NSSF) wao wanakatwa 10% mwajiri anachangia 10%, PSSSF wafanyakazi wanakatwa 5% mwajiri(serikali) anachangia 15%. Siku ya mafao mwajiriwa wa sekta binafsi anapewa 35% ya mkupuo wakati wa serikali...
  13. Hivi kwanini walimu watoto wao wasisome bure chuo kikuu yaani isiwe mkopo.

    Walimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake. Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi ya kumpa ahueni kwanza nauli halipi. Pia hata bank riba za mikopo ni ndogo. Pili wanaposho kila...
  14. Changamoto ya malipo ya Udahili kutosomeka Chuo Kikuu UDOM

    Habari Tangu Tarehe 9 tumelipia malipo ya serikali kutoka NMB kwenda kwenye control number UDOM NMB wamerudisha meseji malipo yamepokelewa lakini kwenye account ya KUOMBA CHUO UDOM hayajafika. Tumepiga namba za simu za UDOM SUPPORT 0752811050, 0734986486, 0752550837, 0734986490 na 0752994657...
  15. Takwimu za CIA zinavyopotosha: Mjadala Chuo Kikuu Cha Lowa na Northwestern University

    https://youtu.be/SIhAolibf1c?si=Y2Pk2yO1KCUm7j31
  16. Aliyedukua tovuti ya Chuo Kikuu aitwa akasome bure

    Huko India Mwanafunzi mmoja amedukua tovuti za vyuo viwili ambavyo aliomba nafasi ya kusoma Degree ya Usalama wa Mtandao (Cyber Security) lakini akakosa kwa kuonekana hana vigezo. Baada ya kunyiwa nafasi aliingia kwenye website zao na kuzihack. Vyuo hivyo ni Indian Institute of Technology...
  17. A

    DOKEZO Malalamiko kuhusu ukiukwaji wa maadili na matumizi mabaya ya madaraka katika chuo kikuu cha Teofile Kisanji Mbeya

    Wanafunzi na baadhi ya walimu katika upande wa afya wanatoa tuhuma dhidi ya viongozi watatu wa chuo ambao ni Liberatus Phillip (Mkuu wa Chuo upande wa Afya), Sylvester Mgeta (Mtathmini Ubora) na John Michael Henry (Mkuu wa Idara ya Famasi), wakidai kuwa wamekuwa wakijihusisha na vitendo...
  18. Y

    Video: Sikiliza hizi nondo za Davidi Kafulila, Chuo Kikuu Sokoine| Wasomi wakubali kuiunga mkono PPP

    https://www.youtube.com/live/0tZ28iNJikE?si=Fr-HSf90EoXhJdOZ https://www.youtube.com/live/0tZ28iNJikE?si=OMrQ446L13zM1XB5 https://www.youtube.com/live/iz5h9hTb690?si=5wxC-dOsPVqByJRr https://www.youtube.com/live/mihmjKJvmhM?si=V7xgubQ80wGWS4tY https://www.youtube.com/live/5iZRGpSdtt4
  19. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimechapisha video kuonesha vyoo vya majengo yao ni visafi

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetoa documentary fupi ambayo inaonesha kuwa suala la changamoto ya usafi katika vyoo vya majengo ya chuo hicho umefanyiwa kazi na kwamba vyoo ni visafi. Ikumbukwe kuwa mara kadhaa Wadau tofauti wa JamiiForums.com wamekuwa wakidai kuna changamoto ya usafi katika...
  20. Padri Prof. Emmanuel Wabanhu Ateuliwa Kuwa Makamu Mkuu Mpya Wa Chuo Kikuu Cha Mt Agustino Tanzania(SAUT)

    PADRE WABANHU ATEULIWA KUWA MAKAMU MKUU WA CHUO CHA SAUT Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), ambaye pia ni Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT), na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap, amemteua Padri Profesa Emmanuel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…