china

  1. L

    China yaendelea kujiamini katika kutimiza ustawi wa Xinjiang licha ya nchi za Magharibi kujaribu kuipaka matope

    Na Pili Mwinyi China Jumapili ilitoa waraka mweupe ukilenga mahsusi kuonesha mwenendo wa idadi ya watu wa mkoa wa Xinjiang, ambapo kwa mujibu wa takwimu za sensa ya saba ya taifa, idadi ya watu wa makabila madogo mkoani humo imeongezeka haraka sana kwa wingi pamoja na watu wake kuwa na maisha...
  2. UK looking at deal to remove China from nuclear project: Report

    Uengereza inatafuta njia na mbinu ya kuwezakumtoa Mchina katika dili ya Nyuklia. The UK is closing in on a deal that would remove China from involvement in building a new nuclear power station on the Suffolk coast, eastern England, alongside France's EDF, according to the Guardian. The deal...
  3. Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
  4. L

    China haitakiwi kulaumiwa kwa kusaidia nchi za Afrika kuwachunguza watu wake kupitia ushirikiano wa kidigitali

    Na Fadhili Mpunji Katika miaka ya hivi karibuni bara la Afrika limekuwa na maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) na mambo ya kidigitali kwa ujumla, na sekta hii inatajwa kuwa ni moja ya sekta zenye maendeleo ya kasi zaidi katika nchi za Afrika, na kuwa...
  5. L

    Kuwaendeleza waafrika kwa kutumia rasilimali zao ni mtindo mpya wa wawekezaji binafsi barani Afrika

    Tangu mwaka 2000 serikali ya China ilianza kuwahimiza wafanyabiashara kuwekeza katika nchi nyingi duniani ikiwemo nchi za Afrika. Na matokeo yake ni kuwa mwaka 2019 thamani ya uwekezaji wa moja kwa moja wa China barani Afrika ulifikia dola bilioni 44.39, ukiwa ni asilimia 4.7 ya jumla ya...
  6. China yaendelea kubana matumizi ya Teknolojia kwa Watoto

    Toleo la China la Mtandao wa Kijamii wa TikTok linalofahamika kama 'Douyin' litadhibiti matumizi yake hadi dakika 40 kwa siku kwa Watoto walio chini ya umri wa miaka 14 Hatua hiyo inakuja wakati China ikiendelea kuchukua hatua mbalimbali kudhibiti matumizi ya teknolojia kwa Vijana. Mwezi...
  7. Waliochanjwa kuruhusiwa kuingia Marekani kuanzia Novemba

    Taifa hilo linalegeza kanuni za kusafiri na kufungua Mipaka yake kwa Wasafiri kutoka Uingereza, Umoja wa Ulaya (EU) na Mataifa mengine Kuanzia Novemba Wasafiri ambao wamepata Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona kikamilifu wataruhusiwa. Vizuizi vya kusafiri Nchini Marekani vimekuwepo tangu mapema...
  8. K

    Wale wanaosemaga China wanatupenda hawajui hawa watu vizuri

    Kuna watu wanafikiri kule China tunaheahimiwa kuliko sehemu nyingine Duniani kama US . Huu sio ukweli tofauti ni kwamba kwasababu US vyombo vya habari viko wazi tunasikia matukio mengi lakini wa China ni wabaguzi mara 100 zaidi
  9. L

    Marekani yahimizwa kubadilisha sera yake ngumu dhidi ya China

    Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya Marekani imetekeleza sera ngumu dhidi ya China, na kusababisha kuzorota kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Jarida la kisiasa na kidiplomasia la Marekani “Maslahi ya Kitaifa” limetoa makala, inayosema serikali ya Marekani inapaswa kuzingatia zaidi...
  10. L

    China inavyoshikana mkono na wenzake wa Afrika katika kuinua huduma za afya

    Ikiwa dunia bado ipo kwenye taharuki ya ugonjwa thakili la COVID-19, nchi mbalimbali zinaendelea kufanya juhudi ya kupambana na ugonjwa huu ili kuhakikisha unatokomezwa kabisa. Mbali na hatua mbalimbali zinazochukuliwa za kuzuia janga hili, nchi za Afrika bado zinaendelea kusuasua na kuonekena...
  11. M

    Ujumbe maalumu kwa Ubalozi wa China Tanznia, tunaomba majibu kwa nini ndani ya China mnawafundisha watoto wenu kufanya ubaguzi dhidi ya watu weusi

    Kwako mheshimiwa balozi wa China Tanzania Naamini huu ujumbe utakufikia Mimi nakuuliza swali, kwa nini ndani ya nchi yenu China kumekuwa na kampeni mbaya kabisa za kibaguzi dhidi ya watu weusi, mnafikia hatua za kuwafundiha watoto wenu chuki. Kwa nini mnawabrainwash watoto wenu kupitia chuki...
  12. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika hauko kwenye “dira” au karatasi tu

    “Msimu wa kutangaza bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet” wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika kwa mwaka 2021 umezinduliwa hivi karibuni na utaendelea katika miezi mitatu ijayo. Hili ni tunda la mapema lililopatikana kwa China kutekeleza ahadi yake ya kusaidia Afrika kuhimiza...
  13. K

    Nawezaje kulipa manunuzi kutoka tzsh/ usd kwenda CNY fedha ya china??

    Poleni na majukumu wana jamiiforum.. Ningependa kufahamu namna y a kufanya malipo kwa supplier wa kichina,maana anahitaji nifanye malipo wa pesa za kichina yani CNY na si usd . Na ananiuliza km ninaye mtu wa kufanya malipo kwa fedha za kichina sa sijafahamu Apo uzuri. Hivyo wenye kuelewa haya...
  14. CCM ni kati ya vyama vikubwa duniani (nyuma ya India, China, Pakistan na Uturuki)

    - Wanasema "NUMBERS DONT LIE": Katika list ya mwisho ya MAY 2020, wazi ikionyesha chama cha 10 duniani zenye wanachama kati ya mil 5 mpaka 50: lakini ikiwa ya 12 kwa jumla ya vyama vyote duniani https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_largest_political_parties - CCM inapoendelea na sera zake...
  15. L

    Serikali ya Marekani yadhalilishwa kwa kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu, baadhi ya wanasiasa nchini Marekani wamefanya kila wawezalo kuchafua jina la China kwa kuisema kama ni hatari na kufanya ukoloni mambo leo ili kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika. Hata mkuu wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend...
  16. China yawabana online gamers, walio chini ya miaka 18 kuruhusiwa kucheza saa 1

    Mamlaka ya Kudhibiti Michezo ya Video Nchini humo imesema Wachezaji wa Mitandaoni wenye umri chini ya miaka 18 wataruhusiwa kucheza kwa saa moja siku za Ijumaa, Wikiendi na Mapumziko Kumekuwepo wasiwasi wa muda mrefu juu ya athari za uchezaji uliopitiliza kwa Vijana. Kanuni za awali zilielekeza...
  17. China yapiga marufuku mitihani kwa Watoto wenye miaka 6 na 7

    Taifa la China limetangaza kupiga marufuku kwa Mitihani (ya kuandika) kwa Wanafunzi walio na umri wa miaka 6 na 7 ikisema imefanya hivyo kujaribu kuwaondolea Wanafunzi na Wazazi presha kubwa Wanafunzi Nchini humo wamekuwa wakifanya mitihani kuanzia mwaka wa kwanza wa Elimu ya Msingi hadi...
  18. L

    China yawapatia chanjo wataalamu wake wa kigeni zaidi ya 350,000

    Ili kulinda wafanyakazi wa kigeni wanaoishi na kusoma nchini China, pamoja na kuwajengea kinga imara dhidi ya virusi hatari vya Corona, China imewapatia chanjo zilizotengezwa ndani wageni wenye umri unaostahiki ambao wapo nchini. Zaidi ya wataalamu 350,000 hivi saa tayari wameshapatiwa chanjo...
  19. L

    “Hadithi ya Miji Miwili” toleo la kisasa: michango ya China na Marekani katika kutoa chanjo dhidi ya COVID-19

    Mwandishi wa riwaya wa Kiingereza Charles Dickens alifungua kitabu chake maarufu cha “Hadithi ya Miji Miwili” (A Tale of Two Cities) kwa kusema “ulikuwa ni wakati mzuri kabisa, pia ulikuwa ni wakati mbaya kabisa.” Sentensi hii inayojulikana sana pia inafaa kuelezea jinsi China na Marekani...
  20. China haijarekodi maambukizi ya ndani kwa mara ya kwanza tangu Julai, 2021

    Mamlaka ya Afya Nchini humo leo imesema kwa mara ya kwanza tangu Julai, hakuna maambukizi ya ndani ya COVID-19 yaliyoripotiwa, hali inayoashiria huenda mlipuko wa hivi karibuni umedhibitiwa. Tangu Julai 20 zaidi ya watu 1,200 walithibitishwa kupata maambukizi ya Virusi vya Corona China. Hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…