china

  1. Darren Jason Watkins JR (ishow speed) kijana aliyeifungua macho ya dunia kuhusu China

    Katika umri mdogo ambao wengi hujifunza tu kuhusu dunia kupitia vitabu na mitandao, Darren Jason Watkins Jr, maarufu kama IShowSpeed, amevuka mipaka na kufanya historia kwa macho yake mwenyewe. Akiwa kijana mwenye ushawishi mkubwa mtandaoni, Ishow Speed amepata kulitembelea taifa la China na...
  2. Je, China imetengeneza jua bandia? Tusahihishe mjadala

    Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu taarifa kuwa “China imetengeneza jua bandia”. Watu wengi wamedhani hii inamaanisha jua halisi linang’aa angani, linalotoa mwanga na joto kama jua tunaloliona kila siku. Lakini huu ni upotoshaji wa kisayansi unaotakiwa kusahihishwa. Kwa kweli, kile kinachoitwa...
  3. Marekani hana capacity ya kushindana na china hasa linapokuja swala la vita vya kiuchumi

    Marekani wawekeze kwenye viwanda vya awali (primary industries) ndo wafikirie kushindana na china
  4. China yasitisha uagizaji wa Ndege za Boeing

    China imeonyesha kuchafukwa sasa wameingia kwenye Vita rasmi ya kibiashara sasa wanayanyoosha makampuni ya Marekani kitu ambacho kitasababisha mdororo wa kiuchumi na ukosefu wa ajira huko US. The trade war: China has ordered its airlines to halt all deliveries of Boeing jets and stop purchasing...
  5. Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua... Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua...
  6. Wakati Tz ikiendekeza sikukuu, China yaunda jua kuongeza muda wa kupiga kazi

    China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko. Kupitia jua hili bandia...
  7. Licha ya vikwazo vya Serikali, China kuwa Taifa lenye Wakristo wengi zaidi Duniani kufikia 2030

    https://www.instagram.com/p/DH3KEkaCXDN/?igsh=NW16cTdtZzR5dHE3 My Take Kama China wameanza kuamini uwepo wa Mungu ,wale wanasemaga hawaaminu watasimama nani?
  8. China: Watu Wenye Uzito Chini ya Kilo 50 Waonywa Wasitoke Nje Kufuatia Upepo Mkali

    Mamlaka nchini China Kaskazini zimewashauri wakazi wenye uzito wa chini ya kilo 50 kubaki ndani ya nyumba zao kutokana na upepo mkali unaovuma katika eneo hilo, zikitahadharisha kuwa watu wenye miili midogo wanaweza kubebwa na upepo huo hatari. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters...
  9. China ililazimisha jamii ndogo ya waislamu wa huko watume video zao kuonyesha wanakula kipindi cha ramadhani

    Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi ambayo imekataza mavitu ya hiyo dini ya kiislamu ambayo husababisha watu wanaingiwa na mihemko ya...
  10. China imepandisha 125% kwa bidhaa zinazotoka marekani , pia imesimamisha kuuza madini adimu kwa utengenezaji wa ndege vita

    Marekani imeshikwa pabaya. Kwa sasa ukitaka simu ya Iphone ndani ya Marekani utainunua kwa Dola ya kimarekani isyopungua 3500 tofauti na Dola 1700 mpaka 1800 hapo mwanzo. Hii ni kwa sababu china ndio mtengenezaji mkubwa wa simu za iphone duniani kwa asilimia zaidi ya 90.. Leo china ametangaza...
  11. Nimesikitika sana. Sisi Africa katika soko la China hata kwenye 3 bora hatumo

    Nlitegemea sisi Afrika tungekuwa moja ya masoko makubwa kabisa ya bidhaa za China. Sivyo. Why? Huku wanatuletea tu takataka soko lao kubwa lipo Ulaya na Marekani. Ndo maana jamaa wanatudharau tu wanaamua kutengeneza takataka ndo wanaleta huku. Ila vitu vya maana wanapeleka kwa wazungu...
  12. Soko tajiri Duniani ni la Marekani likufuatiwa na la Jumuia ya Ulaya, huko Asia China hakuna kitu

    Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika. Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa. Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
  13. R

    Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

    Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400...
  14. R

    Panama yaruhusu jeshi la Marekani kulinda na kuendesha mfereji wa Panama, Wachina watimuliwa

    Yani mngejua tu namna China anavyoichukia Marekani ya awamu hii na jinsi walivyo na hasira acheni tu, Soko kubwa la dunia nzima lipo Marekani wao wamepigwa pin kwa ushuru mrefu halafu nchi zingine wamepunguziwa 10 % tu, Hawajakaa sawa Marekani imewashinikiza Panama kuwafukuza wachina kwenye...
  15. China yakabidhiwa bandari zote za Sudan iziendeshe

    Jeshi la Sudan linaloongozwa na Waislamu lilitangaza kuunga mkono Hamas, na kuahidi kusaidia kuiangamiza Israel. Likiongozwa na wahalifu wa kivita wanaotakwa na ICC Omar al-Bashir na Ahmed Haroun, jeshi hili limekabidhi bandari zake kwa China, kukubali ndege zisizo na rubani za Iran, na sasa...
  16. X

    China yaongeza ushuru kwa bidhaa za Marekani kutoka 84% kufikia 125%

    Wizara ya Biashara ya China, leo imetangaza rasmi kuwa China imeongeza ushuru kwa bidhaa zote za Marekani kwa 40% Sasa ushuru utapanda kutoka 85% kufikia 125% Wakati hayo yakiendelea waziri mkuu wa Spain yupo China kwa ajili ya kuimarisha mahusiano ya kibiashara na uwekezaji kati ya mataifa...
  17. Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani

    Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani bila yuan kuporomoka? Au iko tayari 'kudhoofisha' sarafu yake kimkakati ili kuendelea kushindana? Vita vya kiuchumi si risasi, ni sarafu."
  18. I

    Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump. Inaona kila moja afe kivyake.

    Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump. Australia imekataa haraka ombi la China la "kuungana mkono" dhidi ya ushuru wa Donald Trump, wakati Washington inazidisha vita vyake vya kibiashara na Beijing. Ikulu ya Marekani hivi majuzi ilitoza ushuru wa kuagiza wa...
  19. China na Xi Jinping vipi tena?

    Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%. Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%. Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣. Nyie Wachina wa Kiuruwi na Tabata Sanene kujeni hapa mtoe maelezo [visingizio] yenu ni kwa nini...
  20. China yaagiza Benki zake kuu kuisitisha ununuzi wa Dola

    China Yaagiza Benki Zake Kuu Kuisitisha Ununuzi wa Dola Benki kuu ya China (PBOC) imewaagiza benki kubwa zinazomilikiwa na serikali kusitisha ununuzi wa sarafu ya Marekani (dola) ili kulinda yuan dhidi ya ushuru kutoka Marekani. PBOC pia imeagiza benki hizo kuimarisha udhibiti juu ya ununuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…