china

  1. China imeshasema haitakubali Urusi ishindwe na Ukraine kwa msaada wa NATO

    Dunia ijitayarishe kushuhudia vita vya kweli vya tatu vya dunia kutokana na mzozo wa Ukraine na Gaza. Kwa upande wa Gaza kinachoendelea ni rehma za Allah kuonesha uwezo wake ambapo Marekani na ukubwa wake na ukatili wa Israel inayoshirikiana nayo wataangushwa chini na watu dhaifu kuliko wote...
  2. F

    Wewe unakwenda China, Wachina wanatoka China kuja kutafuta fursa kijijini kwako!

    Wewe upo China, wachina wapo kijijini kwako! Ni ajabu embu sikiliza kidogo hapo kutoka kwa Anthony Mtaka.
  3. Je, Rais wa China yupo Kizuizini kwa Uangalizi wa Jeshi?

    Kutoka BBC Swahili 10 Julai 2025 Habari za magazeti ya Uingereza zinaangazia wasiwasi unaoongezeka kuhusu machafuko ya ndani nchini China, huku kukiwa na ripoti za mvutano kati ya Rais Xi Jinping na baadhi ya viongozi wa kijeshi. Makala katika gazeti la The Telegraph la Uingereza inaonya juu...
  4. China yaandika historia kwa mchuwano wa kwanza wa soka wa Roboti wanaojiendesha wenyewe

    Kwa mara ya kwanza, China imeandaa mechi ya soka inayochezwa na roboti wa umbo la binadamu (humanoid robots) wanaojiendesha kikamilifu kwa kutumia akili bandia (AI), bila msaada wa binadamu wakati wa mchezo. Kwa mujibu wa shirika la habari la Associated Press (AP), mechi hiyo ilifanyika...
  5. X

    Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

    Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 ๐Ÿ—๏ธ 1. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China โ€“ 1,005 Mt 2. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India โ€“ 149 Mt 3. ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan โ€“ 84 Mt 4. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ U.S. โ€“ 80 Mt 5. ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia โ€“ 71 Mt 6. ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท South Korea โ€“ 64 Mt 7. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Tรผrkiye โ€“ 37 Mt 8. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany โ€“ 37 Mt 9. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil โ€“ 34 Mt 10. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran โ€“ 31 Mt ๐ŸŒŽ Rest of the World โ€“ 293Mt (in...
  6. China yamuonya Trump juu ya ushuru, yatishia kulipiza kisasi

    China umeuonya utawala wa Trump siku ya Jumanne dhidi ya kuzidisha mvutano wa kibiashara ikiwa itarejesha ushuru kwa bidhaa zake mwezi ujao, na kutishia kulipiza kisasi dhidi ya mataifa ambayo yanaingia mikataba na Marekani ili kuiondoa China katika minyororo ya usambazaji. Washington na...
  7. New law on divorce in China

    China has a new divorce law effective 1 February 2025. Previous all properties owned by either spouse will be equally divided during divorce, now the rule is a lot simpler. Whoever paid for it owns it after divorce even if the wife's name was added to the title after marriage. And houses...
  8. Trump apuuza umeme wa jua(solar) China ikichanja mbuga, Elon Musk alia solar kutelekezwa

    Trump ansema hapendi kutazama paneli za solar na na mapangaboi ya upepo, vinaharibu tu mandhari ya mashamba, anapendelea zaidi makaa ya mawe! Marekani haijawahi kuwa na rais mjinga kama huyu. China wao wanaendelea kuwekeza kwenye umeme wa juu kila kukicha na umeme wa solar pekee wanaozalisha...
  9. Meli kutoka China iliyokua na magari zaidi ya 3,000 kuelekea Mexico imezama!

    Meli inayoenda kwa jina la "Morning Midas" ikiwa imebeba bidhaa za mafuta pamoja na magari zaidi ya 3,000 kutoka China imezama baada ya kushika moto. Baada ya kushika moto, crew members 22 waliomo walishindwa kuzima wakaona isiwe tabu waka abandon. Hadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa...
  10. China na Marekani zalegeza masharti ya kibiashara

    China na Marekani zimeridhia kulegeza masharti ya kibiashara huku China ikisema itapitia upya na kuidhinisha maombi ya usafirishaji wa bidhaa yatakayoendana na kanuni zilizopo. Marekani nayo ikiondoa hatua kali za kibiashara ilizoiwekea China. Awali Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza...
  11. China, Iran, Urusi zajadili ushirikiano sekta ya ulinzi

    Mawaziri wa Ulinzi wa mataifa ya China, Iran na Urusi wanakutana kwa ajili ya mazungumzo yanayohusu masuala ya ulinzi mapema Alhamisi katika mji wa Qingdao, China siku kadhaa baada ya Iran na Israel kusitisha mapigano. Waziri wa Ulinzi wa China, Dong Jun ameyataja mazungumzo hayo kuwa ni ya...
  12. A

    China yaweka rekodi ya Dunia kwa kukamilisha ujenzi wa barabara pana zaidi chini ya maji ndani ya siku 110

    Jinan, China โ€“ Juni 2025 Katika hatua ya kushangaza dunia, China imekamilisha ujenzi wa barabara ya chini ya maji yenye upana mkubwa zaidi duniani ndani ya siku 110 pekee, chini ya Mto wa Njano (Yellow River) katika jiji la Jinan. Barabara hiyo ya ajabu ina urefu wa kilomita 3.3 (sawa na maili...
  13. L

    Daktari wa China akumbukwa nchini Tanzania kwa kujitoa muhanga kishujaa

    Daktari wa ganzi wa China, Zhang Junqiao, aliwahi kusema kwamba "Bila kujali utaifa au rangi, ninachothamini zaidi ni maisha," Asubuhi ya siku ya Ijumaa, zaidi ya watu 300 walikusanyika huku kukiwa na kimya kizito katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, Tanzania, na...
  14. China wanatoa vyuma vikali aisee: Imezinduliwa Li Auto i6, SUV moja ya kibabe sana!

    Li Auto i6 ni 5 seater SUV iliozinduliwa hivi karibuni, ikija na option mbili za AWD na RWD. Hii AWD ina motor mbili, moja mbele na nyingine axle ya nyuma. Inakuja na battery 102 kWh na inatoa 536 hp, na top speed yake ni 180 km/h. RWD ina motor moja kwenye axle ya nyuma, na ina total 335 hp...
  15. Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini China

    Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini China Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini China iliyofanyika kuanzia tarehe 9 hadi 19 Juni, 2025. Akiwa nchini China, Mheshimiwa Waziri Kombo aliongoza...
  16. Marekani yaiomba China iisihi Irani isifunge Strait of Hormuz

    The United States says China should pressure Iran not to close the Strait of Hormuz. WASHINGTON, June 22 (Reuters) - U.S. Secretary of State Marco Rubio on Sunday called on China to encourage Iran to not shut down the Strait of Hormuz after Washington carried out strikes on Iranian nuclear...
  17. Unaweza kumshinda Marekani bila nguvu za kijeshi mfano China anaenda taratibu lakini kwa umakini mkubwa

    Kumshinda marekani kupitia nguvu za kijeshi haitoshi pekee. Maadui zake marekani wanapaswa kujiza titi kupitia nguvu za kiuchumi na kiteknolojia ili kumshinda marekani na washirika wake. Unapokuwa na uchumi mkubwa ni lazima tu suala la ulinzi nalo litakuwa Imara. Watu husema wachina ni...
  18. L

    Licha ya changamoto za biashara duniani, biashara kati ya China na Afrika yaimarika na kuchochea maendeleo ya Afrika

    Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
  19. Mpunga chotara wa China wasaidia nchi za Afrika kuhakikisha usalama wa chakula

    Bw. Moussa Dabo kutoka Gambia alikuwa mwanafunzi wa Yuan Longping ambaye ni Mwanasayansi maarufu wa mpunga chotara nchini China, hivi karibuni alifika kwenye kaburi la Yuan kutoa heshima zake. Alipiga magoti na kuweka mfuko wa mpunga chotara kutoka nyumbani kwake mbele ya kaburi na kusema...
  20. Ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Afrika wastawi

    Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika 11 ya kimataifa, na zaidi ya kampuni 4,700 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ