china

  1. B

    TAZARA Yapokea shehena mabehewa ya wazi aina ya flatcars 300 ya Kutoka China

    24 November 2026 RELI ya TAZARA Yapokea shehena mabehewa ya wazi (kama ya trailers) aina ya flatcars 300 ya Kutoka China yanayoweza kubeba container mbili mbili Mabehewa ya mizigo kwa ajili ya ufufuaji wa reli ya TAZARA wa kilomita 1,860.5 ylikabidhiwa huko Dalian kama sehemu ya ufufuaji...
  2. L

    Safari ya Kiya ya kuanzisha kampuni yake ya biashara ya bidhaa za kilimo inayoanzia China

    Akiwa mbele ya darasa na wanafunzi wenzake, Kiya Esatu kutoka Ethiopia, anaangalia kwenye laptop yake kwa makini, mara akageukia ubaoni na kuanza kuwasilisha mada yake inayohusu matokeo ya majaribio yake aliyofanya shambani. Kabla ya hapo mimi na Kiya tulikuwa katika shamba alilokuwa akifanya...
  3. L

    Moyo Wa Uzalendo. Mohammedi Mchengerwa Akataa Zawadi ya Zaidi ya Billion 2 Kutoka China na Badala yake Azipeleka Zikasaidie Wagonjwa Muhimbili

    Ndugu zangu Watanzania, Bado Tanzania inao Vijana Wazalendo,Bado CCM inayo Hazina ya kutosha ya viongozi wenye Upendo na Taifa hili ,Bado Tanzania inayo Hazina ya viongozi wa leo kesho na kesho kutwa ,bado CCM Inaendelea Umakini wake katika kuteua na kuchagua viongozi Wazalendo na wenye...
  4. L

    Miaka mitano tangu Moyo wa urafiki na ushirikiano wa China na Afrika watolewe

    Novemba 29, mwaka 2021, Rais Xi Jinping, katika sherehe ya ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Baraza la Ushirikiano wa China na Afrika FOCAC, alitaja Moyo wa urafiki na ushirikiano wa China na Afrika: "Urafiki wa dhati, usawa katika kutendeana, manufaa ya pande zote na ushirikiano wa...
  5. China's Electric Truck Boom Puts Zimbabwe's Lithium Industry in the Spotlight

    ARE – Zimbabwe's lithium industry could become increasingly important as China's fast-growing electric truck market drives demand for the battery mineral, creating new opportunities for African producers. China sold approximately 600,000 electric trucks in the first ten months of 2026...
  6. China wanataka kurudisha teknolojia ya CD, VHS na Kanda za mziki

    Sijaelewa wanataka kurudisha kwa mtindo gani. Ila kwa teknolojia ilipo sasa naona kuna kitu wameshaona mbali haki kazi(copy right) zina potea kwa mtindo wa internet. Wajuzi wa habari za huko hii imekaaje.
  7. Zaidi ya misikiti 10,000 yaharibiwa nchini China; Kwanini?

    TAARIFA MPYA: China sasa imebomoa misikiti mingi kiasi kwamba idadi ya misikiti nchini humo imefikia kiwango cha chini kabisa tangu kipindi cha cultural revolution. China inasema kuwa ubomoaji wa misikiti ni sehemu ya kampeni dhidi ya kile inachokiita “msimamo mkali wa kidini,” ugaidi na...
  8. Trump Ayasifia Majiji ya China na Kuyaponda ya Marekani.

    Jana Tarehe 20/11/2026. Trump alikuwa anaongea na na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengi . Huyu mzee aliyasifia majiji ya China kwamba ni MASAFI na YAMEPANGIKA vizuri tofauti na Majiji mengi ya marekani kwamba ni machafu na yako ovyo, akasisitiza hasa yale ya "Blue" akimaanisha yaliyo...
  9. N

    A BITTER TRUTH: Tanzania sio Kenya. Hili ni dola la kijamaa kama China. Chama Kikuu Cha Kisiasa ni kimoja tu, vingine 18 vilivyobaki vyote visaidizi.!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Karibu sana mnitukane baada ya kumaliza kuisoma thread hii, ila huu ndio ukweli nyie wadogo zangu wa 2000s. Kama Siasa haikuingizii pesa, do it moderately. Abandom activism. Abandon insults and name calling. Usiwe mjinga ukapigwa virugu na Police kwa mtu ambaye hata...
  10. China wazidi kupambana kuufuta Uislamu kwao. Waislamu wasema ni afadhali na Marekani

    Hawa jamaa hawachekeshi hata kidogo. Wao hizi Dini mbili hawana mpango nazo kabisa. Misikiti inaharibiwa kila mara huko China. https://www.facebook.com/share/p/1G6Zip52nq/
  11. Ushirikiano wa China na Afrika watarajiwa kuleta muundo mpya wa uzalishaji wa viwanda duniani

    Gazeti la South China Morning Post la Singapore hivi karibuni lilitoa makala iliyoandikwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Kyrgyzstan Djoomart Otorbaev, akibainisha kuwa uwekezaji wa China katika sekta ya utengenezaji barani Afrika unabadilisha uhusiano wa kiuchumi kati ya pande hizo mbili, kutoka...
  12. X

    Wababe wa dunia wako jijini Shenzhen, China. Kesho wana jambo lao. Stay tuned

    APEC imewakutanisha some of the most powerful men on the planet Lakini jambo kubwa linalosubiriwa si mkutano wenyewe, bali ni the BIG agenda behind closed doors mtu 3, Xi, Putin na Trump Ni masuala gani yatajadiliwa? Global trade, technology, geopolitics, energy, investment au reshaping of the...
  13. Rais wa Marekani Donald Trump aliwasili China.

    Rais wa Marekani Donald Trump aliwasili China, ambapo alikaribishwa kibinafsi na Xi Jinping. Rais wa China alimsubiri chini ya ndege kwenye zulia jekundu.
  14. China wameanza kutest ndege ya abiria ya Umeme!

    China wameanza kuitest ndege ya abiria ya Umeme COMAC’s CE-25A, yenye seat 19 range ya Kilometa 400. Ofcoz sio mara yake ya kwanza kuruka, umesharuka mara kadhaa ila ilikua Haina mtu ndani kuofia usalama, hadi walipojiakikishia weekend hii wameruka na mapailot. Kwenye mabawa, badala ya...
  15. Maraisi Donald Trump, Vladmir Putin na Xi Jinping watarajiwa kukutana China wiki ijayo katika mkutano wa kihistoria katikati ya mkutano wa Apec

    Viongozi hao watatu wa Dunia Donald Trump, Vladmir Putin na Xi Jinping watarajiwa kukutana mjini Shenzhen nchini China: Picha na AP Maraisi Donald Trump wa Marekani, Vladmir Putin wa Russia na Xi Jinping wa China wiki ijayo watarajiwa kukutana nchini China katikati ya mkutano wa umoja wa nchi...
  16. Urusi na China bado zinaiogopa US. Nimeshangaa wanachofanya China na Russia

    Urusi imeshindwa kuondoa utegemezi wa dola ya Marekani (USD) na kuifanya Yuan ya China kuwa sarafu mbadala katika biashara ya kimataifa. Ngoja nieleze kwa lugha rahisi. 1. Urusi ilitaka kufanya nini? Baada ya Marekani na nchi za Magharibi kuiwekea Urusi vikwazo kutokana na vita vya Ukraine...
  17. L

    Mafunzo ya China yafungua ukurasa mpya kwa wanawake wajasiriamali wa Afrika Kusini

    Baada ya karibu miongo miwili katika biashara na safari kadhaa zinazohusiana na kazi nchini China, mjasiriamali wa Afrika Kusini Beauty Sonny, mkurugenzi wa kampuni ya Miradi na Utengenezaji ya Monenebe, inayojihusisha na ukodishaji wa vifaa, amejikuta tena darasani, akijifunza jinsi ya kufanya...
  18. L

    Mafunzo ya STB ya China yaibua ndoto za wanafunzi wa Afrika kuanzisha mashamba yao ya kilimo

    Asubuhi na mapema Benson Phiri anatembea kwenye shamba la mipesheni, huku akiwa anaangalia majani ya mmea wa pesheni kisha akashika polepole kwa mkono wake wa kulia tunda moja lililo mtini, na kusema “angalia tunda hili linakaribia kuwiva”. Benson Phiri (28) ni mwanafunzi kutoka Malawi ambaye...
  19. L

    Opera ya Wu ya China yajenga daraja la kitamaduni nchini Zimbabwe

    Wasanii wa Opera ya Wu, wakiwa wamevalia mavazi ya kuvutia na ya rangi angavu, walihuisha mila za kale za opera ya China mjini Harare, nchini Zimbabwe. Waliwavutia watazamaji kwa ishara, sauti za kuvutia, na kungfu. Onyesho hilo lilihusisha kazi maridadi za asili za Opera ya Wu, zikiwemo "Mungu...
  20. Waziri husika nakuomba kuchunguza makampuni ya China ya afya kutoa huduma bila wataalamu wenye sifa

    WAZIRI HUSIKA AOMBWA KUCHUNGUZA MAKAMPUNI YA AFYA YANAYODAIWA KUTOA HUDUMA BILA WATAALAMU WENYE SIFA Kwa heshima na taadhima, Mheshimiwa Waziri husika, naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Kwa sasa, kuna makampuni mengi ya afya yaliyojitokeza katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…