cheo

CHEO is a pediatric health-care and research centre located in Ottawa, Ontario, Canada. CHEO is also a tertiary trauma centre for children in Eastern Ontario, Nunavut, Northern Ontario and the Outaouais region of Quebec and one of only seven Level I trauma centres for children in Canada (others being The Hospital for Sick Children in Toronto, the Montreal Children's Hospital in Montreal, the Centre hospitalier universitaire Sainte-Justine in Montreal, IWK Health Centre in Halifax, Alberta Children's Hospital in Calgary, Stollery Children's Hospital in Edmonton, and BC Children's Hospital in Vancouver). It is affiliated with The Ottawa Hospital and the University of Ottawa, and is funded by the provincial Government of Ontario. CHEO first opened its doors on May 17, 1974, and is located at 401 Smyth Road, Ottawa, Ontario.
CHEO includes a hospital, children's treatment centre, school and research institute, with satellite services located throughout Eastern Ontario. CHEO provides complex pediatric care, research and education. CHEO is a founding member of Kids Health Alliance, a network of partners.
In addition to its clinical mandate, CHEO is an academic health science centre. Each year, it provides education to 2,300 future pediatricians, nurses, and other health professionals.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  2. Kwamba jeshi likiwaunga waandamanaji ndio mishahara yao au cheo kitapanda? Wee form four utabaki na cheo hikoko abadan

    Halula! Yadunia yanachosha.. wewe darasa la saba, yule mwingine forum four faliya. Wadhani kuunga maandamano ndio mishahara utaongezwa sio! Hata ungekuja utawala wa Mansa au yule sultan bado ungepokea kidogo pengine kufurushwa kabisa. Na bado!
  3. Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  4. Tuige mfano wa Ethiopia kuhusu matumizi ya cheo cha Daktari

    Ethiopia imepiga marufuku watu wasiosomea udaktari kuitwa au kujiita madaktari ima kwa sababu ya udaktari wa. heshima kama ule wa Jakaya Kikwete na Samia au wa kununa kama ule wa Gwajima na Msukuma. Nasi, kama taifa lenye watu wanaoona mbele hata kama tupo wachache, tupige marufuku ukilaza huu...
  5. Ethiopia Wanasiasa Marafuku PhD Za Heshima

    Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate). Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu...
  6. M

    Tungejua ugumu wa cheo, wengi tungekaa pembeni

    katika Uislamu cheo na madaraka si kitu cha kung’ang’ania au kukipigania kwa hila. Mtume Muhammad ﷺ alitufundisha kuwa cheo ni amanah (uaminifu) na mzigo mkubwa kwa mwenye kupewa. 🔹 Dalili kutoka Hadith: Mtume ﷺ alimwambia Abdurrahman bin Samura: (Hadith Sahih Bukhari na Muslim) Mtume ﷺ...
  7. Mke wa Mrisho Mpoto alikua na cheo gani mpaka mwili wake ubebwe na bus la jeshi?

    Nimeona mitandaoni huko,mwili wa mke wa mrisho mpoto umebebwa kwenye bus la jwtz. Je huyo marehemu alikua ni Askari wa jwtz?
  8. Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC? Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro...
  9. Ukiteuliwa kuwa Balozi (Diplomat) kisha ukateuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa unapokea Mishahara ya Vyeo vyote (Teuzi zote) au wa Cheo kimoja tu?

    Wajuvi wa mambo nasubiria majibu yenu tafadhali ili nijue jinsi gani Pesa za walipa Kodi Masikini (kutoka duniani) zinavyochezewa na Raia wa Oman.
  10. Alloyce PR: Uongozi wa Kweli Hauanzi na Cheo

    "Mwanasiasa anayesubiri kuwa Diwani, Mbunge, au Rais ndipo aanze kufikiria kuwasaidia wananchi, hana tofauti na kijana anayeoa kwa sababu umri umefika au ili kuficha madhaifu yake kwa mwanamke. Wapimeni wanaopiga kelele majukwaani kuhusu shida za wananchi, waulizeni, wamewahi kufanya nini katika...
  11. Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?

    SoMo hapo juu husika. Kuna hizi kada 1. Ualimu prim and secondary 2. Nurse and or Dr medicine 3. Police or Jw ? Msaada kwa wale waliostaafu? Tupeni experience. Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?
  12. Cheo hiki kikubwa lazima kiheshimiwe sio kila aliyeshiba maharage tu awe anakitaja ovyo ovyo!

    Mamlaka hutoka kwa Mungu hayaji kiutaniutani tu. Sio wote tunaweza kuwa marais au mawaziri au viongozi. Hii ni karama yenye utukufu na kamwe haiwezi kubezwa tu. Ni kweli ipo mifano toka karne na karne inayoonesha baadhi ya Viongozi au watawala waliwahi kuabuse nafasi hizo. Uzoefu huo...
  13. Reginald Munisi akataa uteuzi wa CHAUMMA

    "Nashukuru kwa heshima ya kuteuliwa kuwa mtaalamu CHAUMMA. Ingawa nathamini sana imani yenu, majukumu yangu ya sasa yananilazimu kuchukua "Back Seat" kisiasa kwa wakati huu. Nawatakia Sekretarieti mpya na Chaumma utendaji uliotukuka!" Awali John Mrema alitangaza kuteuliwa kwake
  14. Kupanda cheo kwa walimu kwa kigezo cha PEPMIS

    Wasalaam ndugu zangu jukwaa la elimu Kumekuwa na taarifa kuwa waalimu watakaopanda vyeo KIGEZO CHA asilimia za ujazaji wa e utendaji. Hiki KIGEZO kitawanyima walimu wengi haki Yao ya msingi kwasababu zifuatazo. 1. Uelewa mdogo wa mfumo Tangu serikali iunde mfumo huu ni watumishi wachache...
  15. G

    Mkurugenzi wa "Kima Cha Chini Cha Mishahara". Ni cheo cha hovyo kabisa kuwahi kukisikia

    Wakati PM akitambua uwepo wa viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye sherehe za Mei Mosi ametambua uwepo wa "mkurugenzi wa Kima Cha Chini Cha Mishahara". Nchi Ina vyeo vya hovyo hii! Yaani huyu mtu ni mkurugenzi wa kusimamia na kudhibiti mishahara ya Kima cha chini tu? Kima Cha juu yeye hataki!.
  16. F

    Cheo cha Ubunge ni kizuri sana Tanzania

    Wanajukwaa hiki cheo ni kizuri sana, kikubwa sana au kitamu sana hapa nchini kwetu? Unajiuliza kinachotokea jijini Arusha mnyukano wa mkuu wa mkoa na Mbunge wa sasa unahusishwa na mbio za Ubunge. Yaani mtu hataki kuongoza mkoa anataka majimbo ndani ya mkoa tu.Vile vile Mzee Masatu Wasira...
  17. S

    Wa Tanzania tuheshimuni Cheo cha Raisi

    Kila jambo Raisi anaona,raisi utahusika na maneno kibao tu ,Hivi hakuna wakuu wa wilaya mikoa mawaziri wapolisi mpaka Mnathubutu kumvaa Raisi ? Mlipita kwa mkuu wa wilaya,au Mkuu wa Mkoa au vituo vya pilisi na ngazi zake zote hata mnaenda kugonga Ikulu ? Basi ngazi zote zivunjwe abakie Raisi...
  18. K

    Naomba kujua Elimu ya Padiri Mchungaji au Shehe, mpaka kufikia kwenye cheo alichonacho

    Nazani kuna watalamu humu ndani wanaojua elimu za hawa watu mpaka kufikia kupewa jukumu la kuwasemea watu Ili tuepukana na kukubali kusemewa na watu ambao hawana elimu kumbe uwezo wao wa kuchambua mambo ukawa mdogo, Ingawa bado kuna wengine na elimu zao bado wanabaki kuwa machawa wa watu fulani
  19. K

    CHEO BILA KITABU

    WATU HAWAITAKI KABISA ELIMU YA VITABU ILA WANATAKA VYEO KWA SABABU GANI !?!? KWA SABABU NI WEZI WALIOVAA NGOZI YA MWANAKONDOO HUKU WAKIWA NI MBWA MWITU. Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko Usingizini nikibwata kuwakemea wezi wenye sura za kiutu huku wakiwa Mashetani yaliyovaa miili...
  20. John Mrema CCM hatukutaki kimbilia NCCR ukapigwe vumbi

    Kama ulikua Una wazo la kuja Veggies Sisi kwenye list yetu tumeshajaza vijana jobless wenye matarajio ya vyeo vya ulaji. Nakusihi wahi NCCR kama Selasini. ACT usijaribu maana sio mvaa kobazi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…