Dawa za kuua wadudu zinazojulikana kama RUNGU zinatumika katika nyumba nyingi. Tunazitumia kuua mbu, mende na wadudu wengine. Lakini je, tunafahamu hatari zake?
Baadhi ya dawa hizi zina kemikali na gesi zinazoweza kuwaka moto. Zikitumiwa karibu na jiko la gesi, mshumaa au sigara, zinaweza...