MBUNGE wa Rombo, mkoani Kilimanjaro, Profesa Adolf Mkenda, amewaonya wananchi kuacha mara moja tabia ya kupuuza kuchoma chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 na badala yake kuiamini serikali na wataalam wa afya ili kupunguza kasi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa huo.
Profesa Mkenda, aliyasema hayo jana...