bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Haki Tano za Msingi za Malezi Bora ya Watoto

    Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na kuendelezwa. Aidha, watoto wanayo mahitaji ya msingi ambayo kote Duniani yanatengeneza haki zao...
  2. Benki ya CRDB yatwaa tuzo ya Benki Bora Tanzania kutoka jarida la Global Finance

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akipokea cheti cha tuzo ya "Benki Bora Tanzania" kutoka kwa Mwanzili na Mhariri Mtendaji wa Global Finance, Joseph Giarraputo, katika hafla ya kukabidhi tuzo kwa Benki Bora Duniani iliyofanyika kwenye ukumbi wa ‘National Press...
  3. Leo ni Siku ya Chakula Duniani, uhakika wa chakula bora upoje kwako? 'Leave NO ONE behind'

    October 16 ya kila mwaka ni Siku ya Chakula Duniani. Siku hii inaadhimishwa ikiwa ni kuikumbusha jamii ya kimataifa kuwa, baa la njaa linaathiri kila mmoja wetu, awe tajiri ama masikini, katika nchi kubwa kiuchumi au nchi iliyo nyuma kiuchumi. Siku hii ni ilianzishwa na Shirika la Chakula na...
  4. Inakuwaje TRA kwenye nne bora ya wenye uadilifu wapo na nne bora ya wala rushwa wamo? Huu utafiti nina mashaka nao

    Angalia picha kisha toa maoni yako.
  5. S

    Mechi ya Simba na De Agosto haina mvuto kabisa, bora hata wanapocheza na Ihefu

    Hii ni mechi ya kimataifa ila kiuhalisia utadhani hii mechi haipo kwani mvuto ni zero kabisa. Yaani ni afadhali wanapocheza na IHEFU. Hata hivyo, tuendelee kujadili mechi ya wanaume ya Jumapili hii huko Sudan tuachane na hii ya wachumba/warembo itayochezwa kwa Mkapa.
  6. Rais Samia anaifanya elimu kuwa bora na nafuu

    Lengo namba nne la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya mwaka 2030 ni kuhakikisha watu wote wanapata elimu bora, yenye usawa na kutoa fursa kwa wote kujiendeleza na kufikia vipawa vyao kikamilifu. Ili kufikia lengo hilo, mamlaka zinatakiwa kutoa fursa sana kwa wavulana na wasichana, kuongeza idadi...
  7. N

    Accuracy superiority, nani mwenye silaha bora kati ya Urusi na zile za mabeberu hasa USA na UK?

    Tangu dunia iumbwe binadamu kiasili niwashindani (competitive nature) kuna ushindani mkubwa sana katika, utafiti, uzalishaji, ubunifu, utamaduni na vita. Kuna nchi duniani nimaarufu kwa uzalishaji wa silaha za ulinzi na kushambulia. Hapa tutaangalia ushindani wa hawa mafahari wawili yaani Urusi...
  8. Bora upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga!

    Nakutakia Ijumaa njema na wikiendi njema mwana JF mwenzangu. Weka msemo wako mkali wa kuisindikiza wikiendi ya kwanza mwezi wa kumi.
  9. Nchi 10 za Afrika zenye viwango bora vya maisha vya kidijitali

    Hizi ndizo nchi kumi za Kiafrika zilizo na kiwango cha juu zaidi cha ubora wa maisha ya kidijitali kwa mujibu wa Surf Shark, na ndizo nchi pekee za Kiafrika katika 100 bora duniani isipokuwa Uganda na Ivory Coast, ambazo ziliingia katika nafasi ya 98 na 100 mtawalia Afrika Kusini: Ikikadiriwa...
  10. Usimamizi bora wa fedha za Miradi ya maendeleo ya Jamii 🇹🇿

    Hapa nchini tangu zamani tumekuwa tukisikia, kushiriki au kuona (kushuhudia) MIRADI mbalimbali inayoanzishwa na kusimamiwa na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Mfano: Miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Shule, Vyuo na Vituo vya Afya n.k Miradi hii baadhi imekuwa...
  11. Ally Kamwe: Yanga SC haikuwa na Wasemaji bora, ila Mimi ndiyo Msemaji niliyekuwa nikitakiwa muda mrefu

    "Wasemaji wote wa Yanga SC waliopita hawakuimudu hii Kazi ila mwenye hiyo Kazi Ally Kamwe nimekuja" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC ( EFM Sports Headquarters ) Mdogo wangu Ally Kamwe taratibu kuna Wasemaji Wawili wa Yanga SC ni Wachawi ( Walozi ) wa Kutukuka tafadhali kuwa makini na haya maneno...
  12. Vitabu bora sana vinavyoweza kubadilisha maisha yako

    Wakuu habari...
  13. P

    Kwa sasa mbali na kwamba ninakipato, lakini kipato changu kinaishia kwenye kula tena kwa kukatisha milo, Je,lipi bora, nilipe ada tufe au tule tuish

    Kwa jinsi ilivyo kwa sasa, huwenda nawakilisha wananchi wengi mamilioni kwa mamilioni wenye swali kama hili Maisha yamekuwa ghali sana kushinda vipato vyetu, Wengi wetu, vipato vyetu haviruhusu kucheza mbali na kula tuu, na hapo ni kwa kukatisha Milo, kama mtu kwa kipato hikihiki ambacho...
  14. Natafuta kombinesheni Nina ekari 50 za mashamba Bora kabisa ya mahindi Rukwa

    Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza Novemba anitafute tuunganishe nguvu.
  15. Vyuo vikuu 15 bora zaidi duniani na ada zake

    1. Harvard University (US) Chuo Kikuu cha Harvard ni chuo kikuu cha utafiti cha Ivy League cha kibinafsi huko Cambridge, Massachusetts. kilianzishwa mwaka wa 1636 kama Chuo cha Harvard na kutajwa kwa mfadhili wake wa kwanza, kasisi wa Puritan John Harvard 2. Stanford University (US) 3...
  16. B

    Machungu ya katiba bora, Majaji 6 wa Ruto ngoma bado mbichi

    Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana? Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya: "Huwa hawaishiwi ndoto mbaya mbaya usiku wakikimbizwa na kupigiwa kelele za wezi,,, wauawaji ... zisizokoma." Hawa 6 kwa...
  17. Hivi huko CCM nani ni mwanasiasa Bora?

    Kwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi. Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye...
  18. Ramani za nyumba bora tz

    Tunachora Ramani za nyumba za kisasa kwa ajili ya kuchukulia kibali za ujenzi manispaa kwa bei nafuu sana Tunakufikia mikoa yote Tanzania Wasiana nasi leo kwa simu / whatsapp 0717 040 837 au 0767 267664
  19. Nuru bint Sudi ''MaUTP ''Wana Majambo TANU Wanaichukia,'' (1957) Hadi ''Chukula Bora Shambani'' (1967)

    NURU BINT SUDI KUTOKA ''MAUTP WANA MAJAMBO TANU WANAICHUKIA'' (1957) HADI ''MAZAO BORA SHAMBANI'' (1967) Nuru bint Sudi katika wakati wake alikuwa mwimbaji nguli wa taarab kwanza na Al Watan kisha akahamia Egyptian. Hii ilikuwa miaka ya 1950 wakati harakati za TANU zimepamba moto wakipigiania...
  20. Rais Samia Suluhu Hassan, Mwanademokrasia bora

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa mstari wa mbele kutekeleza kwa vitendo dhana halisi ya demokrasia hususan katika tafsiri ya demokrasia kuwa ni nguzo ya kisiasa inayoendesha serikali ya kidemokrasia. Amekuwa kiongozi msikivu aliyekuja na mbinu mbadala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…