Kuna mwanafunzi mmoja alienda Kwa watu WA elimu na kujifunza mambo matatu makubwa.
1) Usimfanyie Ubaya mtu aliyekufanyia wema
2) Ukipita sehemu ukaiona kheri usiiache
3) Usihukumu kitu ambacho hauna uhakika nacho
Alipewa Ngamia watatu na wazazi wake kama gharama ya kusomea hayo mambo matatu...