bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Kipi bora kati Rapid HIV Test au Condom

    Je ni vema kuwa na vifaa vya kutosha vya rapid hiv test gheto then upige kavu. Au bora kutumia condom bila tetesi Naomba msaada wa mawazo katika hili. Natanguliza shukrani
  2. Nimeona ni bora niwekeze huku.

    Najiandaa baada ya kustaafu nijenge jengo kubwa la kuabudia hapa karibu na nyumbani. Naamini sitakosa chochote, kwa sababu nitakuwa sina nguvu za kufanya kazi nzito. Kama mtaniunga mkono, na mkawa mnakuja kuabudia kwenye hili jengo mtakuwa mmenisaidia sana katika kupunguza ukali wa maisha...
  3. Yanga bora tumchukue Mzee wa Jambia awe msemaji. Hiki kituko kinachosha, hakina Mvuto

    Ukikitazama ki Ally Komwe hakina Haiba kabisa ya kuwa msemaji. Atafutwe Msemaji heavy duty ambaye akizungumza watu watamsimkiliza. Hiki kidogo watu wamekuwa wakikidharau na kusema maneno mengi. Kinajaribu kuiga usemaji wa Kidwanzi wa yule msemaji bogus wa Simba kinapwaya. Kinashindwa kuwa...
  4. Ipi Ipad bora na sahihi ya mwanafunzi f3.

    Amani na iwe kwetu sote! Humu sijawai kukosa jibu wala jawabu. Mtoto: kike. Umri: 13 Level: form3(2027) uzoefu: hana. Ni ipad gani inamfaa. Masomo na apps zipi nimwekee. sifa yangu mnunuaji: mzazi msomi wa kazamani.
  5. U

    Mshangao, Dodoma Nje ya Kumi bora mikoa mikubwa kiuchumi (GDP) Licha ya Mbwembwe za SGR, Magorofa, V8, Ring Road, DAR , MBEYA Kinara, Nini Shida??

    Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali. Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/...
  6. M

    HOJA Chuo cha DIT kuwa na hosteli haitoshi, Wanafunzi wanastahili mazingira bora ya kuishi!

    Naomba kuibua suala linalohusu hali ya Hosteli za Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambalo linaibua maswali kuhusu ubora wa mazingira ya makazi yanayotolewa kwa Wanafunzi. Inasikitisha kuona kwamba hosteli inaweza kuwepo, lakini mazingira yake yakawa hayaridhishi. Kuwepo kwa jengo la...
  7. U

    Nataka Kufahamu Shule Bora kw watoto Mkoa w Dodoma

    Tunaamini kabisa hapa Jamii forum watu Wana taarifa za kutosha na sahihi zaidi, Sasa Kwa watoto kabla ya Primary chini ya miaka 6, je Kwa Mkoa wa Dodoma ipi ni Shule nzuri zaidi , tatu za juu, mana Naona Shule ni nyingi Sana sasa nashindwa kukupa ipi ni Bora. Kuna waday wametaja Dt.max, Almes...
  8. V

    Huu ndio WIMBO Bora kuliko zote kwa sasa

    Nilitaka nikupe title lakini nisiharibu uondo HUO hapo https://youtu.be/mRS35Oemxe8?si=X4Oost1VrmL_63HV
  9. Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

    Naamini kuwa dini ni kama mtego tu, Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua. Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi. Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha. Watu wako so brainwashed mpaka...
  10. Hivi kwanini Maboga na mbegu zake mijini ni chakula bora, adhimu na cha gharama, lakini vijijini ni chakula cha mifugo tu?

    Ni nini hasa kinafanya na kupelekea maboga na mbegu zake, yasiwe na thamani wala umuhimu sana vijijini na yawe na thamani sana mijini? Na vijijini, ni watu wachache sana hutumia maboga kama chakula, na mbegu za maboga kama miongoni mwa mboga za kula na ugali, mathalani unaweza kuandaliwa ugali...
  11. Mange Kimambi kuja na Podcast yake ya siasa kacheza kama Pele.

    Huyu dada ana akili kubwa sana ya kuwashughulisha watawala. Huu mpango wake wa kuja na Podcast ya siasa ni mapinduzi makubwa sana ukizingatia hakuna Podcast yoyote ya kisiasa ya Kitanzania mpaka sasa.
  12. Tanzania House Bank (THB) irudi sasa tuwe na makazi bora

    Habari Tanzania !... Pole kwa majukumu, wewe usomaye barua hii. 1. Naomba kuuliza, hii "Tanzania House Bank" (THB) ilienda wapi !?. Ombi langu; Kwa wale wenye mamlaka ikiwapendeza, irudisheni haraka sana hii kitu, itatuondolea changamoto za ujenzi holela wa nyumba, mikopo ya kuumiza kwa...
  13. M

    MKALABOKO ndiye mchambuzi bora wa Mpira wa Tanzania kwa sasa. Media kubwa za habari zichukue mali hii.

    Sina haja ya kuongea sana. Tazama na usikilize uchambuzi wake wa mechi ya Simba dhidi ya Yanga. https://m.youtube.com/watch?v=HotFQ_8Cwn4&pp=0gcJCTcMAYcqIYzv Kocha wa Yanga ameomba taulo badala ya shuka wakati wa kulala
  14. Waafrika tunapambana kujionesha bora na kutaka sifa na validatio kutoka kwa watu weupe

    Waafrika hatupambani kuwashinda wengine. Tunapambana kusindikiza wengine. Waafrika tuna hali ya unyonge(inferiority complex). Yaani hatuamini kwamba tunaweza kufanya mambo yetu wenyewe, kwa nguvu na akili zetu wenyewe bila kutaka recognition na validation kutoka kwa watu weupe. Sisi waafrika...
  15. M

    Ili wikiendi yako iishe ikiwa bora unahitaji burudani gani leo?

    Kuna burudani nyingi sana, mimi leo ili iishe vyema nahitaji kuburudika na mziki laini nikiwa na maji baridiii kwenye kaupepo mwanana kando ya Ziwa Mkuu wewe unahitaji burudani gani?
  16. Tanzania safari channel :Nani msimuliaji bora kati ya Ezekiel vs Mwavindi?

    Kusimulia tabia za wanyama Eneo la kihistoria kwa undani hawa watu wameshindikana kwa kuwa mm ni dume la mbegu basi sauti ya Mwavundi huwa inanipa utulivu wa ajabu . Kama ww ni mtazamaji wa channel hii pendant basi lazima kukubaliana nami kuwa hawa wameshindikana USSR
  17. (2) JF VOTES: MCHANGAMSHA KIJIWE BORA WA MWAKA

    Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa.
  18. (1) JF VOTES: MTENGENEZA MAUDHUI BORA WA MWAKA

    Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. THREADS NYINGINE ZA KUPIGA KURA👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/2-jf-votes-mchangamsha-kijiwe-bora-wa-mwaka.2480948/ https://www.jamiiforums.com/threads/3-jf-votes-master-wa-comment-kuntu-na-fikirishi-wa-mwaka.2480952/...
  19. Elimu bora inapatikana kwetu

    Personalized Learning. Better Performance. Brighter Futures. 🏡 Je, unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Elite Home Tuition Services inakusaidia kupata walimu wanaofaa kulingana na umri wa mwanafunzi, mtaala anaosoma, mahitaji yake ya kielimu na eneo unaloishi. 📚 HUDUMA ZETU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…