bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine

    Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine kwa namna iliyo bora, yenye ukomavu, na isiyochosha. Huwezi kumpa mtu mwingine maji kutoka kwenye chombo kilicho tupu; unapojijaza upendo, heshima, na utulivu, unakuwa na akiba ya kutosha na yenye afya ya kushirikisha wengine...
  2. Pendekeza Mtoa posts bora wakiume 3 na wakike 3 kwa mwaka 2026. Chipukizi itapendeza zaidi sio kila siku mtibeli na wenzake

    Kichwa hapo juu chahusika. Ninatamani majina yaleyale yasijirudie. Tunataka watoa post wazuri hasa wale chipukizi kwa mwaka 2026. Usitaje Robert Heriel Usitaje Mshana Jr Usitaje Pascal Mayalla Usitaje Mad Max Usitaji Gentamycine AKA Popoma. Usitaje Malcom Lumumba Usitaje Kiranga Taja majina...
  3. Katika hili bora Waseme Waislamu wenyewe. Mimi siongezi neno

    https://www.facebook.com/share/r/1H2KH52yhX/ Msikilize Sheikh
  4. Pongezi kwa Weledi, Maoni kwa Ufanisi: Mawasiliano Bora Serikalini

  5. Hiki ndio kipimo bora cha IQ ya mwanaJF mengine ni kujazana ujinga tu

    Kwa mtqzamo wangu, awe ni mtu mwenye uwezo wa kutoa mchango ambao jamii nzima inabadilika. Uwezo wa kutoa mchango ambao unaweza kugeuza kabisa maamuzi flani ya Serikali na jamii ikanufaika zaidi. Mchango ambao unaweza kumtoa mtu flani sehemu ya chini kwenda ya juu. Hadi sasa kwa kizazi cha...
  6. D

    I lobe u mama samia. Ypu have made maisha bora kwa kila mtanzania unlise the passerby.

    Everyone iis now enjoyong life has become simple
  7. Hivi ndugu zangu, mke bora ni yupi?

    Binafsi ninajipanga kufikia katikati ya mwaka ujao niwe na mchumba wa kuweka ndani.. Najua kuna wengi hapa hampendezwi na kuoa, kwa sababu ya vihoja visivyo Isha kutwa kucha.. Ila nimejaribu kupima mzani wa mimi kutokuishi kwenye ndoa na nimeona ya kuwa siwezi, siwezi kutapatapa na kupoteza...
  8. Mke mpole na mke mchangamfu yupi bora?

    Mmoja ni mpole na mkimya, mwingine mchangamfu na mjanja yupi bora wa kuweka ndani
  9. TCB: Mashindano kusaka washindi wa kahawa Bora kufanyika Mbeya Nov.24 hadi Dec 3 ,2026

    Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB),imefungua pazia la kuwapata washindi wa kahawa Bora shindano linalotarajia kufanyika Jijini Mbeya kuanzia November 30 hadi Dedemba 11 mwaka huu.. Mashindano haya yatawashirikisha wakulima wenye mashamba makubwa,Amcos ,wanunuzi wa kahawa ,wauzaji wa kahawa nje ...
  10. B

    Websites 10 bora za kutafuta kazi tanzania kwa ufanisi

    Tovuti 10 Bora za Kutafuta Kazi Tanzania (2026) Kupata kazi nchini Tanzania kunaweza kuwa changamoto, hasa kwa wahitimu wapya wa vyuo, wataalamu wenye uzoefu na watu wanaotafuta fursa bora za maendeleo ya kitaaluma. Kwa bahati nzuri, kuna majukwaa mbalimbali ya mtandaoni yanayowasaidia watafuta...
  11. B

    Tovuti 10 bora za kutafuta kazi tanzania

    Tovuti 10 Bora za Kutafuta Kazi Tanzania (2026) Kupata kazi nchini Tanzania kunaweza kuwa changamoto, hasa kwa wahitimu wapya wa vyuo, wataalamu wenye uzoefu na watu wanaotafuta fursa bora za maendeleo ya kitaaluma. Kwa bahati nzuri, kuna majukwaa mbalimbali ya mtandaoni yanayowasaidia watafuta...
  12. M

    Kipi bora, niwapeleke watoto kwa bibi yao kijijini au nibaki nao mwenyewe, sitaki kuwaacha na Mama yao

    Nina watoto 2 wa kike na kiume, ila kutokana na changamoto za maisha nimetengana na Mama yao kwa makubaliano kwamba maisha ya pamoja yameshindikana kila mtu akaangalie ustaarabu mwingine. Niliamua aondoke bila watoto kwani wana umri wa kuweza kubaki na mimi na yeye hana kipato cha kuwatunza na...
  13. F

    Vijana wa Afrika wataandamana lini kutaka haki, maisha bora na uhuru kama wenzao wa Ulaya?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Vijana wa Afrika wanaumia sana kuliko mtu yeyote tokana na kuzaliwa kwenye mifumo chakavu na kifisi na kifisadi. Je, watalianzisha lini lau dunia ijue wapo? Nawasilisha. Bila vijana wa Afrika kuamua, wasitutegemee sisi wazee tuliowaangusha kwa kuogopa na kujiangalia.
  14. Kupandisha wanyama kwa chupa(AI) ni bora kuliko kutumia dume halisi?

    AI ni kifupi cha artificial insemination, yaani upandishaji wa jike kwa mbegu za dume zilizohifadhiwa, bila dume kumpanda jike moja kwa moja. Wafugaji wengi huuliza kama njia hii ni bora kuliko kutumia dume halisi. Jibu ni kwamba inategemea aina ya ufugaji na hali ya mfugaji. Faida kubwa ya AI...
  15. M

    Bora Fatma Karume aka Shangazi alivyoachana na dunia hii

    Jambo gumu, utapoteza marafiki, utalaumiwa na wanaharakati, utalaumiwa na wanasiasa, vidole havikubali vitataka kuttype ktk social media. Jambo Zito. Lakini Fatma Karume amefanikiwa, hivi sasa amejikita zaidi ktk kumtumikia muumba wake, kuitafuta akhera yake na kuipa kisogo dunia. Ameiepuka na...
  16. Moja ya ushauri Bora sana kutoka kwa dada na mama yetu kipenzi hakika yuko real sana

    Zingatia paragraph ya mwisho Cc leo dada
  17. Bora mkoloni mweupe kuliko huyu mweusi.

    kwenye hizi siasa za nchi yetu nimejifunza bora tungetawaliwa na wakoloni weupe kuliko hawa.hawa wakoloni wa sasa hivi hawana utu,ni wauaji,wabakaji,walawiti na mafisadi NK.Wanaiba hadharani na kwakuwa wameteka vyombo vya usalama na kutengeneza vyombo vya sheria wanajiona hawazuiliki. ubaya ni...
  18. A

    POLISI TANZANIA WAZIDI KUTAMBA KIMATAIFA; MMOJA AIBUKA BORA KATIKA WANAFUNZI 139 KUTOKA MATAIFA 29, MWINGINE AWABWAGA WENZAKE 200 NCHI ZINAZOZUNGUMZA

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao. Kamanda wa...
  19. A

    Polisi Tanzania wazidi kutamba kimataifa; mmoja aibuka bora katika wanafunzi 139 kutoka mataifa 29, mwingine awabwaga wenzake 200 nchi zinazozungumza

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao. Kamanda wa...
  20. A

    HOJA JKCI zile tuzo kwa Wanafunzi Bora mlizoahidi 2025 zimefikia wapi? Kama imeshindikana tujulisheni

    Mimi ni mmoja wa wahusika wanaosubiri Tuzo za Wanafunzi Bora katika uandishi wa insha zilizoandaliwa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mwaka 2025. Kwa mujibu wa taarifa yao, washindi walitakiwa kuwasili Dar es Salaam tarehe 4 Desemba 2025 kwa ajili ya kupokea tuzo hizo. Baada ya muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…