bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kumbe wanachukiwa kote kote! Angalia bodaboda alivyoonesha husia zake

    Boda boda awaonesha mapolisi makario yake Kumbe tabia zao za uonevu na uuaji ni kote third world wanachukiwa naturally!
  2. Bodaboda wa Ferry- Posta Wapandisha Nauli.

    Leo kijana wangu wa kazi kapanda bodaboda toka ferry mpaka Posta ya zamani na kulipishwa 5000. Nauli ya Shilingi 5,000 kutoka Ferry kwenda Posta ya zamani ni mzigo usiohalalishwa na umbali mfupi wa safari hiyo. Mfumo wa kidijitali wa kupima nauli moja kwa moja—kama inavyofanya kazi kwenye...
  3. M

    Vijana wetu wa IT wa Tanzania mnakwama wapi kutengeneza app mbadala za Bolt zitazowaumiza Bodaboda kwa makato makubwa ?

    Kila siku tunasikia kilio cha ndugu zetu wa Bodaboda na Bajaji wakilalamikia makato makubwa (commission) kutoka kwenye hizi app za usafiri za nje. Wanafanya kazi kubwa juani na mvua, lakini jasho lao linaishia kwenye makato yanayoenda Bolt Vijana wetu wa IT wa Tanzania, mnakwama wapi? au ndio...
  4. A

    Bodaboda nilimwambia aniletee demu wangu geto lakini karuka naye yeye

    Hawa boda boda nimemuita demu wangu aje geto demu mshamba mshamba kunabodaboda sijui alikuwa naupwiru kampeleka geto kwake sasa hivi napiga simu hazipokelewi mara akipokea ananiambia anakuja amepitia kwa rafiki yake Dah Mara ya pili hii naona tabia yao hii wakijua huyudemu anaenda kwa msela...
  5. N

    Hili ni wazo la kijinga wadau?? Bodaboda ziingie "Central Business District" hapa Dar siku 4 tu kwa wiki especially Jumamosi na Jumapili

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Bodaboda ziingie Central Business District hapa Dar siku za Jumamosi, Jumapili, Jumanne na Ijumaa. Jumatatu ni siku busy sana kwa maana appointments nyingi utasikia watu wanaambiana "njoo Jumatatu Asubuhi maneno ya Posta/Kariakoo. Jumamosi na Jumapili ni weekends...
  6. J

    DC Shaka: Bodaboda Hassan Seleman kauwawa na kuwekwa kwenye kiroba. Tumewakamata watu 6 na kila aliyehusika na dhambi hii lazima akamatwe popote alipo

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka, ametoa taarifa ya kusikitisha kuhusu kupatikana kwa mwili wa kijana Hassan Selemani, mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa Kijiji cha Maguha, Kata ya Maguha, Wilaya ya Kilosa, ambaye alikuwa akijishughulisha na shughuli za usafirishaji kwa pikipiki...
  7. N

    Shaka Hamdu Shaka: Tunamtafuta kijana bodaboda aliyepotea usiku na mchana na hatujachoka bado tunaendelea

    == Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka, amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea na jitihada za kumtafuta kijana Hassani Selimani (24), ambaye hajulikani alipo tangu Jumamosi baada ya kuchukua abiria kutoka Maguha kuelekea Mtumbatu. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Mhe. Shaka...
  8. Bodaboda awaheshimu sheria yoyote

    Hawa ni watu wa kupiga marufuku kabisa! Watu gani wanaendesha pikipiki kama vichaa? Hawaheshimu sheria yoyote. Wanagongwa wanakufa wanajeruhiwa kila siku hawasikii. Mbaya zaidi wanaua na kujeruhi watu kila siku kizembe tu. Magari yanasimama kwenye zebra yeye anapitq tu bila kujali wapita njia...
  9. F

    Maamuzi ya JK kurasimisha bodaboda kuwa ajira, yamegharimu maisha ya watanzania wangapi Hadi Sasa? Je tusitishe ama..

    Hili ni swali tu, Kwamba bila kujali faida za kiuchumi zitokanazo na maafisa usafirishaji wa bodaboda, tuangalie upande wa pili wa shilingi wa maamuzi haya, 1. Ni watanzania wangapi wamepoteza maisha au kusababishia mauti wengine kutokana na ajira hii ya bodaboda? 2.Je kusitisha shughuli hii...
  10. Hapa ndo bodaboda wanaponishindaga

    Hebu wape ushauri boda aliyebeba abiria na kioo chake!!
  11. S

    Bodaboda kuzikana kwa maandamano

    Sijajua kwa huko Dar ila huku mkoani miaka ya karibuni kumetokea utaratibu wa dereva bodaboda kuzikana kwa maandamano. Siku zinavyozidi kwenda hali inazidi kuwa mbaya inakuwa fujo barabarani siku ya maandamano. Serikali iliangalie hili swala kwa ukaribu maandamano yawe na utaratibu waongozane...
  12. PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

    Tazama mamia ya BODABODA walivyopata bahati ya kutembelea Mji wa serikali Mtumba na hapa wapo katika wizara ya Maji ambayo siku ya Leo wamekuja kushuhudia majengo na namna ambavyo miundombinu ilivyobora Katika mji wa serikali mtumba jijini Dodoma
  13. Godbless Lema: Mtoto wangu hawezi kuendesha bodaboda, ni laana

    Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake. Hii CHADEMA ya sasa inapaswa...
  14. Bora mji ujae bajaji na si bodaboda.

    Nilifika Mbeya niilishangaa sana wingi na vurugu za bajaji. Lakini kitu kimoja nilinotisi ni kutokuwepo bodaboda. Bodaboda ni za kuhesabu sana. Unaweza kaa barabarani nusu saa usione bodaboda ikipita. Kwa tunaokaa miji yenye bodaboda nyingi tunafahamu hatari na kero za bodaboda. Pia nimeona...
  15. M

    KERO Bodaboda na bajaji standi mpya ya Kigoma zinatumia njia za waenda kwa miguu, jambo hatari hili

    Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali. Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda...
  16. Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

    Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi. Wengine wengi wamefungwa. Ndio kubet ama vipi? Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao wiki nzima nyumbani haonekani wala shuleni haonekani. Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo. Wakajua kapotea kumbe kafungiwa...
  17. Bodaboda ni kero na kiwanda cha vifo kwa vijana

    Kwa sàsa hivi vifo vya vijana kutokana na ajali za bodaboda ni vingi mno. Vijana wanaendesha pikipiki bila kuwa na leseni na wakati mwingi hata bila kuwa na pikipiki hizo kusajiliwa. Vijana huwa wala hawana helmet na wabapakia wenzao wawili au watatu zsidi, naarufu kama mishkaki. Picha hiyo...
  18. Dr. Bashiru Kakulwa peleka vijana wote baharini waachane na bodaboda. Mpaka muambiwe na nani?

    Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana. Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili...
  19. Serikali inawachelewesha bodaboda, ni mabomu mtawanyiko yanayotembea

    Wazungu wana msemo wao usemao adui yako mkabidhi pikipiki. Wakiwa na maana kwamba pikipiki ni usafiri hatari sana kwa maisha, haupaswi kuutumia kila siku kutwa nzima. Tanzania bado fursa salama kuliko bodaboda kwa vijana ni nyingi sana kama serikali ikiamua kuzimulika vijana wazione. Hasara...
  20. Bodaboda Operators, Commercial Farmers Targeted to boost Local Government Revenue

    Government is considering a new tax proposal targeting bodaboda riders and commercial farmers as part of efforts to increase local government revenue and strengthen service delivery across the country. Speaking during a press conference, Hon. Isaac Musumba revealed that discussions are underway...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…