bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Ushawahi kuachana na mpenzi wako kwasababu ya kushindana kisirisiri “Nani atakaa muda mrefu bila ya kuanza kumtafuta mwenzie”?

    Habarini, Kuna trend ipo sahivi kwenye baadhi ya mahusiano mengi tu, unakuta we na mchumba wako hamjagombana, wala hamna aliemkwaza mwenzie. Ila kuna yale mawazo flani yanawapata wote wawili pale kila mmoja anapotaka kumtafuta mwenzake kumjulia hali kupitia meseji au phone call. Unakuta mdada...
  2. T

    Maridhiano bila CHADEMA yatafikiwa haraka sana ila pia yatajifuta haraka sana!

    Kama ambavyo chama na serikali yake wamisisitiza kwamba hawata mbembeleza mtu kwenda kwenye meza ya maridhiano wataenda tu na walio tayari na inavyoonekana ni kwamba wamedhamiria na wamekusudia kufanya hivyo, na kwa kuwa kwa sehemu kubwa makundi yote waliyokutana wanakubaliana kwa asilimia...
  3. Namna Mfumo wa Ajira na Uhamisho TAMISEMI Unavyoweza Kujiendesha Kimapato na Kumaliza Malalamiko Bila Kumuumiza Kijana Asiye na Ajira

    Habari za wakati huu wakuu wa JamiiForums, Kila mara matangazo ya ajira za TAMISEMI (Elimu na Afya) pamoja na maombi ya uhamisho yanapotoka, kumekuwa na malalamiko yanayojirudia kutoka kwa waombaji na watumishi. Malalamiko haya yanahusu mfumo kuzidiwa (system crash) siku za mwisho, kukataliwa...
  4. Dk Mbunda: Maridhiano bila uwajibikaji ni kujidanganya

    Mchakato wa maridhiano unaoandaliwa na Serikali kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025, unaweza kukosa uhalali na kushindwa kuleta mwafaka wa kitaifa ikiwa hautatanguliwa au kuambatana na hatua za kutafuta ukweli na kuwawajibisha waliohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu. Mhadhiri wa Sayansi ya...
  5. PostGE2025 Serikali ya CCM kwanini inaona aibu kukiri makosa ya Oktoba 29? Maridhiano bila kutatua kiini Cha tatizo ni Kujidanganya

    Naona wanaruka ruka tu na kesi za uhaini, tume za uchunguzi , katiba mpya , tume huru ya uchaguzi na bla blaa nyingi. Kwa kifupi sana wangejikita kwenye mambo yafuatayo. 1. Waliowajibika na mauaji ya oktoba 29 ambao wote tuliwaona siyo Siri namaanisha vyombo vya ulinzi na usalama wakamatwe na...
  6. Nauza Powerbank itakayochaji iPhone yako mara 8 na zaidi hata umeme ukate wiki nzima

    PowerBank hii inaweza kuchaji iPhone yako mara 9 ndio uichaji. Inafaa kwa mainjinia, project managers nk na wale ambao wanakaa maeneo ambayo yana changamoto ya umeme. Sifa zake kwa ufupi; 1. Inachaji simu mara zaidi 9 (inategemea na ukubwa mAh za battery) 2. Inawaka taa (tochi) 3. Ni rahisi...
  7. Kadogosa kufoka bila kulipa wakandarasi huo ni ushamba!

    Kufoka foka huku hulipi wakandarasi huo ni ushamba wa kiwango cha lami. Halafu hufafanii na kufoka. Lipa watu wapige kazi
  8. Simba SC mechi 36 bila kupoteza (unbeaten run) yoyote anapasuka

    Bado tu hamuamini Simba ni Bingwa? Toka Dec 7 - 2025 simba imecheza Mechi 36 imeshinda mechi --29 sare mechi --- 7 #simba nguvu moya🦁
  9. Mziki ukiniendea vizuri nawapeleka Marekani, Ulaya bure kabisa bila kutoa hata Mia, just exposure wakuu

    Mziki ukiniendea vizuri nampango kuwa chukua member wa jamii forum walau idadi saba saba tu twende ulaya, marekani gharama zote tagharamia ili tufurahi, tujifunze vitu, nk hii ni ahadi naiweka mtanikumbusha wakuu, tutakua tunaenda kwa awamu. Nb hii sio kwa wote bali wale amabao hawajawahi...
  10. Bila dini ungekuwa mtu wa aina gani ?

    Bila dini ungekuwa mtu wa aina gani katika jamii na ukiishi maisha gani ? Unafikiri ungekuwa mbakaji, jambazi, mwizi, muuaji, pedophile, mtukanaji shoga, mlevi, tapeli, mtekaji, wasiojulikana, muuza dawa za kulevya, Teja, mfanya ngono holela na kila mtu hadi na wazazi wako na ndugu zako...
  11. F

    Je, bila majini Kuna uislamu? Na bila Roho mtakatifu Kuna ukristo?

    Tujiulize maswali yafuatayo. Katika msingi wa Ukristo, umejengwa katika Yesu na Roho wake aitwaye Roho Mtakatifu, na katika msingi wa uislamu, utaona majini katika kuwasaidia waislamu Mambo mbalimbali. Swali no 1. Je yawezekana ukawepo uislamu kamili uliosimama au muislamu bila msaada wa...
  12. Kubeba mimba ya mwanaume bila makubaliano ni ukatili kwa Wanaume. Iwe kosa la jinai

    KUBEBA MIMBA YA MWANAUME BILA MAKUBALIANO NI UKATILI KWA WANAUME. IWE KOSA la JINAI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii ishu lazima tuizungumzie mara kwa mara mpaka izoeleke akilini. Na wanawake wajue ukatili wanaoufanya. Ni kama ubakaji hivi. Unabeba mimba ya mtu bila ridhaa yake. Huo ni...
  13. Siri ya Uchumi wa Rwanda Kukua kwa Kasi (9.4%) Bila Kuwa na Bandari – Je, Tanzania na Kenya Tuna Cha Kuiga au Kuna Hatari Mbele?

    Rwanda ni nchi ndogo yenye watu takriban milioni 14 tu na haina hata bahari wala bandari (landlocked). Lakini katika robo ya pili ya mwaka 2026, uchumi wake umekua kwa asilimia 9.4%! Wakati huohuo, kufikia Oktoba 2026, mfumuko wa bei mijini umefika asilimia 19.5%. https://youtu.be/V09ooCmyH3o...
  14. ⚠️ANGALIZO. Sio kila Sehemu yenye jiwe ama Gogo Unaenda kukaa tu bila ukaguzi LITAKUKUTA jambo zito.

    ⚠️ANGALIZO. Sio kila Sehemu yenye jiwe ama Gogo Unaenda kukaa tu bila ukaguzi LITAKUKUTA jambo zito.
  15. Je unaweza kupiga hatua kimaisha (maendelro binafsi) bila madeni ya hapa na pale? Tupe experience yako mdau?

    Habari zenu wadau, Katika hali ya kawaida ya maisha ya sasa, kipimo cha maendeleo kinatazamwa kwenye vitu vya msingi na vya kisasa; kama vile uhakika wa kula na kuvaa vizuri, kulipa kodi bila presha, kumiliki kiwanja au nyumba, kuwa na biashara imara, kusomesha watoto, na kuwa na vitu vizuri...
  16. K

    Bila kujuwa watekaji, wauaji ni kupoteza muda maridhiano fake

    Bila kujuwa watekaji, wauaji ni kupoteza muda maridhiano fake
  17. Ratiba ya kupiga bao 6 bila kuchoka

    Hii sio sheria lakni kama unataka usionekane bwege hata kama ni kibamia hakikisha unafata ratiba hii Hapo uachwi ng'o
  18. Kule ntaandika bila kodi, Hapa naweka kodi

    Mama wa nyumba kubwa ameanza kuona kuta zinamsogelea. Sio kuta za nje tu, hata zile za ndani ya chumba chake mwenyewe. Wale wa mbali wanauliza maswali magumu, na wale wa karibu wameanza kumnong'onea nyuma ya pazia. Idara moja ile ya macho makali ambayo humlinda, sasa yenyewe ndiyo imeanza...
  19. Mnadanganyana na akina Mange Eti bila CHADEMA hakuna maridhiano, hebu acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao

    CHADEMA ni nani kwenye nchi yetu? Mpaka mjipe umuhimu kiasi hiki, kwamba Kila kitu lazima kifanyike nyny mkiwepo kwani nyny ni nani? Mnawabunge wangapi? Mna madiwani wangapi? Nashangaa kuona mtu mzima kabisa Bado anaamini kuwa bila CHADEMA hakuna maridhiano aisee hebu acheni hizo fikra za...
  20. Wakili Maduhu: Ukimrekodi mtu bila ridhaa yake utapewa kifungo kisichopungua miaka 5 au Faini isiyopungua Milioni 5

    Wakili Kulwa William Maduhu anaeleza kuwa ni makosa kisheria kurekodi mazungumzo yako na mtu mwingine bila ridhaa yake na kufanya hivyo kunaweza kupelekea ukafungwa miaka mitano. Wakili Maduhu amesema hayo leo Novemba 16, 2026 kwenye mahojiano na kipindi cha Jambo Asubuhi na kueleza kuwa pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…