biashara

  1. Serikali yatoa Msamaha wa Kodi kwa Biashara Mpya kwa Mwaka Mmoja

    Kuanzia Julai 1, 2026, Serikali imeanza kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa mwaka mmoja kwa biashara mpya, ukihesabiwa kuanzia tarehe ya kupata TIN. Hatua hiyo inalenga kupunguza mzigo wa kodi kwa wafanyabiashara wanaoanza, kuchochea uanzishaji wa biashara mpya na kuhamasisha urasimishaji wa...
  2. Kilimo na Biashara: Kipi kinalipa kwa siasa za Tanzania!

    Maisha ni sias and vice versa. Je, kwa kijana aliyetoka chuo na kupata uridhi wa milioni 5 kwa wazazi wake, aingize kwenye kilimo au biashara? ROBERT: Amehitimu UDSM kitengo cha Sheria, akaingiza milioni 5 kwenye kununua mahindi Songwe ili asafirishe Malawi, kufika mpakani kakuta hakuna kibali...
  3. Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Wakutana kutatua changamoto zinazokwamisha Biashara

    Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zinakutana jijini Dar es Salaam kujadili na kuweka mikakati ya kutatua changamoto na vikwazo vinavyokwamisha biashara ndani ya Jumuiya, hususan Vikwazo Visivyo vya Kikodi (Non-Tariff Barriers – NTBs). Mkutano huo ni utekelezaji wa maelekezo...
  4. Biashara ya mabasi kama sio mbunge au waziri basi achana nayo.

    Kuna biashara zengine ukiziona kwa kuambiwa au kusikia bila kuingia unaweza kusema biashara ndio hii. Kwa jinsi ilivyo sasa hii biashara ya usafirishaji ilivyo kama sio mbunge au waziri,unaweza kujikuta umefirisika. Kwa nini naeleza ili japo wengi hizi biashara asilimia kubwa wanazani ni watu...
  5. Rais Samia: Kukuza Biashara Tanzania-Marekani

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 📅 22 Septemba 2021 — Mkutano wa Biashara Tanzania na Marekani Tarehe 22 Septemba 2021, akiwa jijini New York, Marekani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alishiriki mkutano wa pamoja kati ya wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani...
  6. Biashara ya samaki Tabora

    Wakuu habari ya kazi viongozi Nina hamu ya kufanya biashara ya samaki katika mkoa wa tabora japo siyo hapo mjini "ni senta iliyo pembeni na Mji wa Tabora" Sasa kwa hapa tabora sijui nianzie wapi yani samaki wanapatikana wapi! Nikijua wanakopatikana na nikajua gharama za kuzipata ndo...
  7. Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  8. Kwa Maasai, Punda haliwi Wala sio mfugo wa Uchumi , Punda hamtii hasara Mmasai, Nyinyi kama MMEUA Simba ili kuwafurusha Maasai semeni tu

    Ni hayo tu, maana mnaweza kufikia Hatua ya kusema Mifugo ya Maasai inamaliza Nyasi na Majani mbugani !!
  9. Biashara haramu zina hela nyingi sana.

    madawa ya kulevya...Bangi,unga Uuzaji wa viungo vya binadamu Figo,bandama, uuzaji wa silaha kwa vikundi vya waasi, Usafirishaji wa binadamu kwa ahadi ya kwenda kuwapatia maisha mazuri kumbe ni kwenda kuwauza, Kuforge bidhaa fake kama pombe kali, electronics devices...nk Hapo hela imelala ya...
  10. K

    Naomba kuuliza hivi Kwa Sasa ni biashara gani ya mtaji kuanzia 100k to 300k inayoleta faida

    Naomba kuuliza hivi Kwa Sasa ni biashara gani ya mtaji kuanzia 100k to 300k inayoleta faida kub
  11. M

    DC Shaka awataka Wanakilosa usafi uwe utamaduni wao kuanzia majumbani, maeneo ya kazi, biashara mpaka maeneo ya Umma

    DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA ~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
  12. Hivi kati ya mfanyabiashara na afisa biashara nani ni boss

    Nauliza ili nitoe ujinga, kati ya mfanyabiashara na afisa biashara nani ni boss kwa mwingine?
  13. Kuwekeza Afrika na kufanya biashara si kazi rahisi

    Wewe imagine anachopitia Sunderland kwa sasa? Mkataba kaingia na TFF wizara ikiwa anaongozwa na waziri aliyepita. Wamesign mkataba wa miaka 5 mbele ya makamera. Mchakato wa kutengeneza jezi unajulikana mtengenezaji hawezi kufyatua jezi bila kuwatumia mockup au hata sample TFF. Naibu waziri...
  14. kwa wafanya biashara tu;ingekuwa wewe ni sandaland ungefanyaje?

    hamna hamna hii issue inaweza ikakata mtaji: ingekua ni mimi ningechutama kwa Waziri aingie front kunisafisha kwa situation ya kisiasa ilivyo bongo ni kulinda mtaji tu
  15. Biashara ya kuuza bidhaa za kidigital kupitia whatapp

    Wakuu naombeni maoni, biashara niliokua nimeeinza Sina uzoefu nayo vizuri. Hivyo nimeamua kurudi kwenye biashara ambayo nilishawahi kuifanya ila Sasa nataka niifanyie online kupitia whatsapp. Hivyo wakuu naombeni ushuhuda mliowahi kufanya biashara za bidhaa za kidigital mfano movie, mikeka...
  16. Biashara kariakoo kupangwa upya

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mkoa unaandaa utaratibu mpya wa kuwapanga na kuwatambua wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo kwa kuzingatia ukubwa na aina ya biashara wanazofanya. Alisema hatua hiyo inalenga kuondoa mkanganyiko uliopo katika eneo hilo, ambako...
  17. A

    HOJA Fremu za biashara KMC Complex zimefungwa kwa mwaka mzima licha ya kukamilika; kuna tatizo gani?

    Nimekuwa nikifika katika uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge kuangalia mechi, lakini nimekuwa nikishangazwa na hali ya fremu zinazozunguka uwanja huo. Karibu zote zimefungwa na hazitumiki, hali ambayo nimekuwa nikiiona kwa takribani mwaka mzima. Nilijaribu kufuatilia na kutaka kujua ni nani...
  18. S

    Mtu anayehitaji kufanya biashara yoyote ile vitu gani azingatie?

    Kwa mtu anayehitaji kufanya biashara katika engo yoyote ile vitus gani azingatie
  19. Mwenye uzoefu wa biashara ya almonds anijuze

    Kwema wakuu Kwa mwenye kufahamu upatikanaji wa almonds kwa bei ya jumla anijuze popote mm nafika Msaada tafadhali
  20. Bodi ya filamu; Wamiliki wa video library wasajili biashara za kabla ya tarehe 30/9

    Bodi ya Filamu Tanzania imewakumbusha wamiliki wa Maktaba za Video (Video Library) nchini kuhakikisha wanasajili biashara zao na kuhuisha leseni zao kwa mujibu wa sheria na kanuni za filamu. Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na bodi hii leo Septmba 12, 2026, Bodi imeeleza kuwa ni kinyume cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…