biashara

  1. Watanzania wenzangu, biashara ya usafiri wa anga (ndege) sio kama Uber jamani

    Tunapoambiwa ATCL imepata hasara tusibeze sana. Kuna American Express na Delta Lines wanachungulia kaburi! Na Amar hapo UK British Airways imegubikwa madeni nusura izame! Tatizo lenu ni uzungu pori? Ni mashirika ya wenye mafuta kina EMIRATES, QATAR na wenzao Serikali zao zimenunua madeni...
  2. H

    Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika

    Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania...
  3. E

    Tatizo la simu fake Kariakoo kwanini vijana tusijiingize kwenye hii biashara tusaidie watanzania wenzetu wanaolizwa kila siku?

    Habari za leo wakuu, Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum, Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
  4. K

    Umuhimu wa Biashara yako kupatikana kwenye Directory

    Directory ni Sehemu ambayo inaorodhesha majina ya biashara mbalimbali za eneo husika. Mara nyingi hizi Directory za biashara huonesha Sehemu biashara yako ipo, namba za Simu na tovuti yako. Directory husambazwa Sehemu nyingi tofauti tofauti na hutumiwa na Wafanyabiashara kutafuta wateja na...
  5. E

    Mawazo kuhusu biashara ya Bahasha za khaki / Paper Bags

    Habari? Jina Langu ni Mr Equator. Ni kijana ambaye najaribu kuyatafuta maisha. kwa njia mbali mbali. Nimekuwa nikitafuta wazo la biashara ya pembeni (Side-hustle) ya mtaji kati ya Laki 1-2. Kwenye pita pita zangu nimepata wazo la biashara ya bahasha na nika angalia video baadhi Youtube. Nika...
  6. Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kufua Nguo | Laundromat Business

    Tafadhali wana jamvi, nauliza kuhusu biashara ya dry cleaning, yani kwa mtu mwenye mtaji basic tu wa kuanzia, ina weza kucost shilingi ngapi? Na pia inalipa? Tfadhali, naombeni mawazo yenu maana sina idea yoyote kabisa. Thanks WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUELEWA BIASHARA HII MICHANGO NA...
  7. K

    Waliozuia Biashara kariakoo ni chombo si wahuni, alichofanya RC nimaelekezo toka juu

    Ni vigumu wahuni wakaingia kariakoo nakufunga biashara za watu, waliofanya Yale Ni vyombo n walikuwa na maelekezo yakufanya hivyo. Kama ni wahuni Basi kamanda wa polisi ilala na hata kanda maalumu anafaa kutumbuliwa kwa kushindwa kusimamia ulinzi na kwa kutodhibiti uhalifu hata baada ya vyombo...
  8. Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike. Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
  9. Kuhusu biashara ya maji

    Baada ya muda mrefu nimepata bahati ya kuja mjini DAR ES SALAAM nikaona maji ya kunywa brand mbalimbali ikiwemo Uhai, Hill nk zikiuzwa 500-600. Cha ajabu ujazo huohuo kwetu yanauzwa 1000 hii imekaaje wadau nikisema ninunue nipeleke kule kwetu kwenye Jambo, Sequa na Kilimanjaro itakuaje....
  10. Kwanini wazungu hawawaamini Waafrika na badala yake huwaamini zaidi Wahindi kwenye biashara?

    DOING BUSINESS IN AFRICA I run a manufacturing business and a trading business. The biggest challenge in my manufacturing business is not power, or infrastructure, the biggest challenge is getting honest staff. Everyone we hire appears to be on a mission to steal as much as possible...
  11. Biashara ya Bajaji ya Abiria kwenye Jiji la Arusha

    Jamani naomba msaada wa kujua kama Biashara ya Bajaji ya Abiria inalipa kwenye jiji la Arusha? Maana kwa sasa na bei imepanda sana ni 7.5 mpya. Nimevutiwa kununua nimpe kijana anileteee pesa kwa Siku ama wiki, mwenye uzoefu na hii kitu naombeni jamani! Pia soma: Wazoefu wa biashara ya boda...
  12. Biashara ya maji ya chupa

    Wakuu kwema , natumaini mpo pouw , huku tukiendelea na msiba kdog mdogo.... Nimeona fursa sehemu ya kuweka depot Kwa ajili ya kuuza maji haya ya chupa Kwa bei ya jumla ..... Kwa wale wazoefu Kwa hapa dar maji cotton Kwa bei ya jumla kwenye gari unayanunua Kwa sh ngap unatakiwa uuze cotton sh...
  13. Ulipataje wateja wako 100 wa kwanza wa Biashara yako?

    Uzi huu ni kwa ajili ya wale wenye biashara zenye Wateja 100 au zaidi. Ni kwa ajili ya kujifunza tu wala si vinginevyo. Ulitumia mbinu gani kupata wateja 100 wa kwanza? Changamoto gani ulikutana nazo? Kama hutajali unaweza kutuambia ni biashara gani ulifanya au unafanya. Mimi kwa sasa nabaki...
  14. Bei ya Hennessy 1 sawa na msingi wa biashara ya mtu

    Hii hapa Tanzania inauzwa Ml 2.5
  15. Mr. Kuku kuanza tena biashara

    Habari wadau. Mwaka jana kulikuwa na taharuki juu ya uendeshwaji ya biashara ya Mr. Kuku mpaka kupelekea kushtakiwa kwa kosa la upatu na kupelekea wawekezaji wengi kupoteza fedha zao. Mwisho wa kesi ile ilikuwa ni kutaifisha fedha za mr. Kuku zilizoshikiliwa na serekali na kumtoza faini ya...
  16. L

    Biashara ya nazi

    Biashara ya Nazi. Habari zenu wakuuu Naomba msaad wa maelekezo na ushauri wenu kuhusiana na biashara ya Nazi, Nazi nitakua nazitolea kilwa. 1. Naomba mnijuze kuhusu soko la Nazi jijini Dar es Salaam kwa jumla na rejareja. 2. Pia kama Kuna viwanda vyovyote ambavyo huwa vinahitaji nazi Kama...
  17. Jinsi ya "kubounce back" baada ya kupoteza katika biashara

    Habari wanajamvi, Kichwa tajwa hapo juu. Kwa kifupi: Niliingia ubia na jamaa nikatoa hela zangu akamwomba jamaa mwingine aagize mzigo mzigo (wa nafaka) ukaja umechanganya rangi. Badala ya tani moja ikaja kilo 490, na kati ya hayo 200 tu ndo ilikuwa nzima. hata hivyo, yalikuwa size ndogo sana...
  18. E

    VPL mechi ya Biashara mara na Coastal union mbona haianzi?

    Hiyo mechi tajwa hapo juu mbona haijaanza mpaka sasa kulikoni? Nina maneno nayo hebu mnijuze kama imeahirishwa na kwa sababu gani.
  19. Ushauri, Nataka kuanza biashara ya handbag au viatu toka China/Uturuki

    Wakuu habari za majukumu, Nataka nifungue biashara ya kuuza mikoba au handbag za wadada, wallet na viatu pia special toka China na Uturuki. Eneo ni Kibamba Dar es salaam. Kwa wale wenye ujuzi vipi inalipa wakuu, ushauri nahitaji wakubwa, mtaji ni 1.5 mil plain nje ya Gharama za fremu. Mimi ni...
  20. Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe apiga marufuku taasisi zilizo chini ya Wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio chochote

    Kwenye taarifa ya habari ITV leo ya saa mbili nimemsikia Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe amepiga marufuku taasisi zilizo chini ya wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio chochote ahimiza majadiliano badala ya funga funga. Amesema asisikie. Huo ni uhujumu uchumi TRA na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…