biashara

  1. D

    Nimeamua kurudi tena kwenye biashara yangu ya ukangomba

    Kuwa Kangomba siyo dhambi kama wachache walivyokaririshwa! Kangomba ni rafiki wa mkulima, kangomba anatoa pembejeo kwa wakulima, kangomba anatembelea wakulima wake, kangomba anatoa chakula kwa wakulima wakati wakisubiri wavune, kangomba ni bwana shamba mwenye faida, kangomba ni benki ya...
  2. Michongo Live

    Wakuu nisiwe mchoyo wa michongo mjini na vijijini. Leo nimewafungulia Uzi huu wa Michongo Live uzi huu nitatoa michongo mjini na vijijini ili wadau wapate kufaidika. Mchongo wa Leo Je, pengine umesoma mambo ya biashara au stationery, au pengine una uzoefu na mambo hayo? Basi fanya hivi. Fungua...
  3. Nataka kufanya biashara ya kukoboa mpunga na machine za kisasa kama za kichina

    Ndg wanaboard, naombeni ushauri wenu maana ninawazo la biashara. Nipo Geita, mtaji nilio nao ni 25M, nimepata machine ya kukoboa 25t/h, ya Kisasa. Ambayo wanauza 8700usd. Inakuwa na: 1. Elevators zake 2 2. Destoner 3. Cleaner. Pia inaoption ya kupata brown rice. Shida yangu ni ushauri, je...
  4. Naomba ushauri, nataka kufungua biashara ya stationery

    Habari wanaJF, Natumai hamjambo nyote Mimi nipo Singida Manyoni nina kamtaji kangu, wazo lililonijia ni kufungua biashara ya vitu vya stationery, ila changamoto yangu sijui navipata wapi kwa bei nzuri, nataka niwe nauza jumla na reja reja pia, hivyo naomba mwenye kujua anijuze napata wapi...
  5. Nipeni maarifa kuhusu biashara ya kuprint Tshirt

    Wakuu Habari za majukumu, naomba kujua kuhusu hii biashara ya kuprint Tshirt hasa ile local ambayo wanatumia ki unao flani hivi. Nachotaka kujua, namna unavyoweza kujifunza kukitumia hicho kifaa je logo kabla hujai print unaifitisha vipi kwenye hicho kimachine? Mwenye darasa tafadhali tufungue...
  6. M

    Naombeni ushauri, mauzo yanapungua kwenye duka langu

    Jamani kwema leo nikuja kitofauti kabisa. Mimi ninapenda kufanya biashara, sijaajiriwa ila nimejiajri kupitia taaluma yangu(...) Lakini pia nina biashara ndogo ya duka lengo nikubusti maisha. Sasa imekuwa mwanzoni nikifungua biashara mpya huwa inalipa sana yaani utauza juu kweli lakini baada...
  7. Jinsi ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani

    Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako. Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake. 1. TIN ya biashara 2...
  8. Nini kinakuogopesha kufungua au kufanya biashara?

    Watu wengi wanatamani kufanya biashara wengine wana mitaji kabisa sababu unakuta yeye ni mtumishi hela sio swala la kuuliza ila when it comes to starting a business anajikuta anasita sita au kupatwa na uoga na jakamoyo! Ijapokuwa kujiajiri na biashara ndio kitu ambacho kinaaminika kuleta...
  9. J

    Spika usiruhusu wabunge waongo waongo kuchochea chuki, Mbowe alisema biashara zake zimefungwa na TRA

    Natoa tu ushauri kwa kiti cha Spika kwamba siyo vema wala haki kuruhusu wabunge kuchochea chuki na fitna kwa jamii tena kwa watu ambao hawako bungeni. Nilivyomsikia Mbowe ni kwamba biashara zake zimefungwa na TRA baada ya kushindwa kulipa kodi ya tsh 2 bilioni ambayo anaipinga. Mbowe aliongea...
  10. Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
  11. Mchanganuo wa biashara ya kuingiza faida ya 150,000/= kwa siku/ 4,400,000 kwa mwezi

    Nawasalimu kwa jina la muungano wa Jamhuri ya Tanzania, Nimekua nikifatilia threads mbalimbali za biashara humu, Wengi naona wanasema ili kuingiza faida kubwa Kwa siku basi ni lazima Uwe na Mtaji Mkubwa, wengine walitoa mifano ya Anaemiliki duka la hardware ana mtaji nkubwa lakini hafikishi...
  12. Kwa Starehe na Biashara ya haraka Mkoani kwako

    Nataka kusafiri kidogo. Lakini nataka safari yangu iwe yenye manufaa. Ninataka niende Tanga but sitaki enda mikono mitupu. Nataka nije na mzigo wa biashara. Wa kawaida tu usiozidi Mil 1. Kama utafiti tu. Najiuliza nilete bidhaa gani Tanga ili niuze ndani ya siku 2-3 then nirudi zangu dar. But...
  13. Nina 50,000 nifanye biashara gani?

    Habari wakuu Mimi ni mama wa nyumbani mkazi wa uswahilini huku asilimia kubwa wakazi wa huku wana vipato vya chini. Sasa mimi nina elfu 50 nataka kufanya huku kwetu naomba mnisaidie ushauri Ni biashara gani itafaa kutokana na mazingira niliyopo? Pia soma: Baadhi ya njia unazoweza kutumia...
  14. Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    Habari wakuu. Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla? Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake. Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia. Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
  15. Biashara ya kununua korosho Kanda ya Kusini (Lindi & Mtwara)

    Habari za majukumu wakuu! Nadhani humu kuna watu wanaojihusisha na hii biashara ya kununua korosho(Almaarufu "Kangomba") kule mikoa ya Lindi & Mtwara. Naomba kwa wale wazoefu basi watoe uzoefu wao kuhusu hii business. •Wakati sahihi wa kuanza kununua mzigo. •Maeneo(vijiji) haswa...
  16. L

    Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya

    Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya Na Kelvin Isenye Ogome Kutokana na ongezeko la matumizi ya simu tamba na za kisasa pamoja na kuimarishwa kwa mtandao, imekuwa rahisi kwa idadi kubwa ya Waafrika kutumia mtandao katika maisha yao ya kila siku, kama vile...
  17. J

    Je, ni biashara gani naweza kufanya ikanipatia walau ada?

    Mimi ni mvulana wa miaka 23kwa ninaitwa, Johnson napatikana Dar es Salaam naombeni ushauri mimi nimesoma hadi form four lakini sikufanikiwa kwenda mbele zaidi na ni MTU anaependa kusoma hasa katika ngazi za IT. Je, ni biashara gani naweza Fanya ikanipatia walau ada kwasababu ada ni kuanzia laki...
  18. M

    Msaada: Instagram account ya biashara inagoma

    Habarini ndugu zangu. Mwenye ujuzi naomba anisaidie, account yangu ya biashara ambayo nilikua na promote products zangu ghafla inakataa inanipa ujumbe huu.
  19. Migogoro inayoendelea soko la Mawenzi mkoani Morogoro hakuna mtetezi wa kupaza sauti, wafanyabiashara wananyanyasika mkuu wa mkoa uko wapi?

    Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara wa soko la Mawenzi lipo Morogoro mjini kata ya uwanja wa Taifa ili soko lina miundombinu mibovu kume kuwa na migogoro baina ya Manispaa na wafanyabiashara wanataka kutuamisha pasipo kufuata taratibu Tumeshapeleka sana malalamiko kwa mbunge na mkuu wa...
  20. Partnership Biashara Pub/Bar

    Done..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…