biashara

  1. L

    Marekani yajishushia hadhi kwa kutoa “Ripoti ya Biashara ya Magendo ya Watu”

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani hivi karibuni ilitoa Ripoti yake ya mwaka 2021 ya Biashara ya Magendo ya Watu, na kwa mara nyingine tena, ilitumia mbinu yake ya kawaida ya kuweka vigezo viwili. Wakati inakosoa na kukashifu nchi nyingine ikiwemo China katika suala hilo, nchi hiyo inadai kwamba...
  2. SoC01 Ukweli mchungu juu ya Nukta 3 za Kiuchambuzi kuhusu Mapinduzi ya Viwanda Tanzania

    UTANGULIZI Kila sifa njema anastahiki Mwenyezi. Ama baada, ningependa kuzibainisha nukta 03 zitakazo chambuliwa katika mnakasha huu. 01) Mapinduzi ya Viwanda kwa ujumla wake. 02) Hali ya Mapinduzi ya Viwanda Nchini Tanzania. 03) Mtazamo Juu ya Nini Kifanyike. 01) MAPINDUZI YA VIWANDA KWA...
  3. K

    Naomba uzoefu wenu kuhusu biashara ya uwakala wa mitungi ya gesi za kuchomelea, acetylene n.k

    Mimi ni muuza Gesi za majumbani LPG Nilikuwa napenda kufahamu namna ya kupata Uwakala wa gesi za kuchomelea (nazikuta sana Gereji za magari) na nyinginezo kama zile (yani Acetlyene, oxygen) na mwenendo mzima wa biashara hyo. Katika kuangalia nimeona kuna kampuni kama tatu yani TOL, SALAMA na...
  4. Rais Samia anakuza utalii wetu kupitia 'The Royal Tour’

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ● Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama...
  5. A

    Degree za biashara kwa mtu wa Arts

    Ni degree gani za biashara anaweza kujiunga mtu wa HGL/HGK/HKL na combination zote zisizo na Basic applied math(BAM) A level?
  6. Watani acheni mzaha, deni la ATCL bilioni 472.8B??? Mbona kama mlikurupuka kwenye hii biashara

    Hamkutulia mfanye utafiti nini tija ya hii biashara na namna gani inaendeshwa, mkawakuta Fastjet na kuwatupia nje....yaani deni lote hili mbona linatia kiwewe...na bado mnasubiri mindege ije.
  7. Biashara yangu imedoda, nimekosea wapi na nini kifanyike kuiimarisha?

    Habari wakuu! Nimefungua biashara ndogo ya mtaji wa kama 7.5m hivi. Biashara nimeifungua rasmi Jumatatu ya week hii. Biashara yangu inadeal na uuzaji wa vitu kama battery za magari, oil na matairi ya magari. Location ya biashara iko eneo zuri tu la barabarani na uzuri zaidi eneo limechangamka...
  8. INAUZWA Banda la biashara linauzwa

    Habari wanajamvi, leo nawaletea banda la biashara . Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka lina jiko la Gas kama unavyoona, hvyo unaweza kupika kitu chochote lina mchine ya kukata viazi, commercial chips cutter lina potato...
  9. RC Makala: Tukiweza kuwadhibiti biashara holela, ajenda ya usafi itawezekana Dar es Salaam

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anaongelea mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Dar. Miongoni ni suala la wamachinga na kupoa kwa Serikali baada ya kutoa tangazo la kuwaondoa. RC Makala amesema kwasasa wameweka kipaumbele kwenye kutoa elimu na anaamini hawatafika kwenye kutumia nguvu. RC Makala: Ili...
  10. Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara

    AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE. ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA: NAKALA YA TIN CERTIFICATE NAKALA YA KITAMBULISHO BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA...
  11. H

    Biashara ya gemstone

    Habari za humu, naomba kwa anayefahamu biashara ya Vito vya thamani Kama rubby na Tanzanite. Naomba muongozo nahitaji kufanya hii biashara. Natanguliza shukrani.
  12. Zanzibar: 25 matatani kufanya biashara bila leseni

    Watu 25 wakiwamo mameneja mauzo wa baa wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kufanya biashara bila ya leseni katika operesheni iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Vileo Zanzibar, Abdulrazaki Abdulkadiri na askari waliokuwa na silaha Watuhumiwa hao wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu wa...
  13. Naomba ushauri kuhusu biashara ya vitambaa vya kushona

    Naombeni msaada kidogo tafadhali; ningependa kufahamu mtaji wa chini wa kuanzisha duka la vitambaa vya kushona nguo.
  14. P

    Nahitaji kazi yoyote ya kusimamia biashara. Nitafanya kwa juhudi kubwa

    Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa miaka 23 nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ya kusimamia biashara au ofisi yoyote. Ninaishi Ilala Dar es Salaam. Nitakusaidia na kufanya kazi kwa jitihada kubwa. Mungu akubariki sana
  15. S

    Mke wangu alibadilika baada ya kumfungulia biashara. Nifanye nini kuokoa ndoa yangu?

    Habari za Jumapili wanajamvi. Niende Moja kwa Moja kwenye mada inayoniumiza kichwa mpaka nakosa amani ya moyo kwa muda wa week sasa. Mimi na mke wangu tangu tufunge ndoa huu ni mwaka wa tisa. Hatukuwahi kuwa na migogoro mikubwa ingawa mikwaruzano ile midogo ilikuwepo. Sasa katika kipindi cha...
  16. Sababu Kubwa Inayopelekea Biashara Nyingi Mpya Kushindwa.

    Rafiki yangu mpendwa, Bill Gates ajaye hataanzisha Microsoft. Mark Zuckerberg ajaye hataanzisha Facebook. Elon Musk ajaye hataanzisha Tesla. Na Bakhresa ajaye hataanzisha Azam. Lakini ni vitu gani ambavyo watu wapo ‘bize’ kufanya? Kuiga wale waliofanikiwa, kufanya kama walivyofanya wao wakiona...
  17. Ni kuhusu biashara ya asari kenya

    Wakuu nawasarimu..naomba ushauli wenu...nataka kuanza biashara ya asari kutoa tanzania kupeleka kenya,nasikia inalipa sana.sasa humu kuna watu wazoefu wa hizi biashara naomba mnishauli.
  18. Marekani: Tume ya Biashara yaitaka Facebook iuze WhatsApp na Instagram

    Tume ya Biashara ya Marekani ambayo inahusika na kudhibiti ushindani wa kibiashara imefungua mashtaka dhidi ya Facebook kwa kujimilikisha (Monopolize) soko la mtandao kinyume cha sheria. Shauri hilo limeitaka Facebook iuze Instagram na WhatsApp ambapo awali shauri hilo lilitupiliwa mbali na...
  19. INAUZWA Kwa wanaotaka kufanya biashara ya madini, kitabu kinapatikana

  20. N

    Biashara ya hoteli (mgahawa)

    Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudia wateja ukifika mda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…