biashara

  1. Nataka ingia kwenye biashara ya samaki

    Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi Na je mtaji wake wa kuanzia changamoto zake n.k Zaidi sehemu ya kupata hao samaki nimeona ni bwawa mtera ndio pata nifaa.
  2. M

    Dr. Mengi aliwahi kusema, 'ili uendeshe biashara hapa Tanzania lazima uwe kichwa ngumu'

    Tanzania imepitia katika hatua kuu tatu kwenye mikakati ya kufanikisha maendeleo. Hatua ya kwanza ilianza mara baada ya kupatikana uhuru, hadi mwaka 1967 lilipotangazwa azimio la Arusha. Katika kipindi hiki, Tanzania ililenga zaidi katika kujenga umoja, mshikamano na heshima kitaifa. Nchi...
  3. SoC02 Azam Tv ni Funzo tosha kwa Wajasiliamali na Wafanyabiashara wanaotaka kuanzisha biashara

    Na Malle Hanzi _______ Mwanzoni mwa miaka ya kuanzia 2010 kuja 2020, Tanzania ilibadili mfumo wa urushaji wa matangazo ya vituo vya Luninga kutoka Analojia kwenda Dijitali. Sababu kuu ya kuhama kutoka Analojia na kwenda mfumo wa Dijitali ni upungufu wa masafa (frequency) uliotokea kuanzia...
  4. SoC02 Siri ya Kunasa Wateja kwenye Biashara yako yafichuka

    UTANGULIZI Mfanyabiashara ni mtu anayeuza bidhaa au huduma katika soko fulani. Mfano soko la mifugo la Vingunguti. Lengo kuu huwa ni kuuza, na kuuza ni lazima apate wateja wanaohitaji bidhaa au huduma yake na wana uwezo wakununua. MAANA YA KUUZA Kuuza ni kitendo cha kubadilishana hisia kati ya...
  5. Nini kinakuzuia usianzishe biashara?

    Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na maisha yako ukiendelea kuzifikia ndoto zako.Katika safari yangu ya ujasiriamali na biashara ambayo ina umri wa zaidi ya miaka 20 ni mefanya aina nyingi sana za biashara. Nimefanya biashara ya maduka ya nguo,maduka ya chakula...
  6. Msaada ya kutengeneza jina la biashara

    Habari zenu, Naomba msaada wa kutengeneza jina la biashara ambalo litakuwa rahisi kutamkwa na fupi. Biashara ninayotaka nianzishe inahusu vinywaji vya aina zote. Jina nilifikiria hili: Isaba General Drinks. Kabla ya julisajili naombeni mawazo ya kuliboresha ila mwanzo kazima jina Isaba...
  7. E

    Mrejesho wa biashara ya nafaka na elimu niliyoipata

    Kwa mara ya kwanza nilikuwa humu kuandika kuhusu biashara ya nafaka hasa mahindi sidhani kama ina miezi miwili, naifanya na naendelea kuifanya, ifikapo mwezi wa kumi nitaleta majibu lakini tunakatishana tamaa kuliko uhalisia! Nilipata comment nyingi sana na wapi mahindi yanapatikana...
  8. B

    Biashara ya Vinywaji vikali

    Habarini ndugu, Nilikuwa naomba usharudi wa utaratibu unaohitajika kufungua duka na kuuza pombe kali Dodoma mjini. Ningependa niwe nauza jumla na rejareja. Natakiwa nianze wapi kama eneo tayari ninalo(urban area) ambapo kuna mzunguko wa watu na pub. Nina mtaji wa 20m
  9. Naipongeza serikali kwa kuanzisha kodi hii ya nyumba na sehemu za biashara kwa wamiliki

    Nipende kuipongeza serekali yetu tukufu kwa kubuni kodi ya upangishaji hasa hasa ikiwalenga wenye majengo ya kimakazi au ya kibiashara hakika hapa kulikuwa na fedha nyingi mno zilizokuwa zinapotea na kulikosesha taifa letu mapato stahili na halali. Ispokuwa ombi langu ni kwamba ingelipaswa...
  10. Wakristo wa zamani walienda Sokoni kwa sababu walikuwa na Biashara sio Kuhubiri wapate Sadaka

    Mfumo wa kuhubiri Sokoni huku watu wanaendelea na shughuli zao siuungi mkono. Ilitakiwa twende Sokoni kufanya Biashara kwa viwango vya juu ya kiroho ili tuwabadikishe wasioamini. Injili ingekuwa rahisi Sana. Ukisikia Paulo kaenda Sokoni au getini. Kumbuka alikuwa Ni mfanyabiashara pia...
  11. Nataka kufungua biashara ya cable tv ushauri wako

    Naomba ushauri nini na nini nifute ili nisiwe hatiani nipo Mafia
  12. Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Habari wanajukwaa hili la biashara! Nimekuja kwenu mnisaidie hatua za kufuata kabla sijafungua biashara nataka nifungue duka ambalo nitauza bidhaa zifuatazo Vipondozi aina zote, vitenge, madera, na kwa baadae nifumgue huduma zote za kifedha (M-pesa, Tigo pesa, Airtel money, Halopesa na wakaka...
  13. M

    Kiwanda cha mikanda ya gypsum Iringa

    Habari zenu wana JF? Naomba niende kwenye content moja kwa moja tunaitaji mshirika kwaajiri ya kuendeleza kiwanda chetu cha mikanda ya gypsum ambaye tutamuuzia share kwenye kampuni yetu kilingana na uwekezaji wake kiwanda uzalishaji unaendelea ila tunataka tuongeze nguvu tuwafikie watu wengi...
  14. S

    Wazo: Serikali ishushe PAYE kufikia single digit, kisha Serikali ifanye biashara ya kutoa mikopo kwa wafanyakazi kupitia BoT kufidia kodi itakayopotea

    Mikopo ya wafanyakazi, ni biashara nzuri sana kwa taasisi za fedha hasa mabenki na biashara hii inachangia sana katika faida za mabenki ya kibiashara. Hivyo, badala ya BOT kuendelea kukopesha mabenki ya kibiashara na kisha mabenki haya ndio yatoe mikopo kwa wafanyakazi, nashauri BOT waanze...
  15. Wazo la biashara kwa laki tano(6)

    Jamani ndugu zangu wana JF, ninalo wazo kabambe la Biashara. Mazingira yote ya biashara nimeshajiridhisha nayo. Na wazo langu haliko na mambo mengi, lakini kila kitu kipo kwa uhakika. Nipo Dar es salaam Natafuta mtu tunayeweza kuingia naye ubia katika biashara hii itakayogharimu Tsh 500,000...
  16. SoC02 Nini kifanyike katika kuinua uchumi katika biashara yako?

    Makala yangu imejikita zaidi katika kuelezea makosa ambayo hufanywa na wafanyabiashara wengi na hata watu ambao huanza kupanga kufanya biashara. Makosa hayo hufanya watu kudidimia Baraka ya kufanikiwa. Je nini kifanyike? Tutaona mbinu, njia, au mwongozo ambao ni muhimu kufuata ili ufanikiwe...
  17. F

    Ipi ni biashara nzuri kati ya hizi?

    Habari za usiku huu ndugu zangu. Nina mawazo juu ya biashara aina tatu 1. Vifaa vya umeme mfano nyaya, sockets, extensions nk 2. Vifaa vya simu mfano screens, protectors,covers, chargers nk 3. Pipi au peremende/candy,biscuits za bei ya jumla na rejareja. Naomba kwa uzoefu wenu nifanye biashara...
  18. C

    Lipia 130,000/- TU! Anza Biashara - Utalii

    Lipia 130,000/- Tu! Uaanze Biashara ya bidhaa za kitalii Unapata bidhaa hizi zote ukaanze biashara. Kwa retail price hizi bidhaa zinathamani ya zaidi 260,000/- lakini utalipia 130K Tu! Location: Iringa Delivery: All regions Call: +255 658 700 510
  19. B

    Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe

    Habari za jioni Ndugu zangu, Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe, pia kama kuna mwenyewe hapa aliyepo kule naomba tuwasiliane, nimesikia kuna fursa nyingi za biashara maana hakuna Huduma nyingi saana mpaka usogee Mwanza kabisa!
  20. Mambo 3 ya kuzingatia katika biashara

    Biashara ni shughuli ya kujipatia riziki au kupata pesa kwa kuzalisha au kununua na kuuza bidhaa. Pia ni "shughuli au biashara yoyote ilifanyika kuzalisha faida. Kuna aina mbili za biashara. Biashara ya kuuza bidhaa na biashara ya kuuza huduma. Twenda moja kwenye mada, mambo gani yanafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…