biashara

  1. AIBU: Google yawapa mitaji minono vijana wa Kenya, Rwanda, Uganda huku vijana wa Tanzania wakijadili Simba / Yanga, tunda na k vant

    Google wametoa misaada kupitia black founders programme kwa nchi za Africa kwa mitaji ya milioni 116 na milioni 230 kulingana na uhitaji wa biashara lengo likiwa ni kuzisapoti biashara zinazochipukia ili kutengeneza ajira na kuleta maendeleo. Wanufauka ni Nigeria - nafasi 23 Kenya - Nafasi 12...
  2. I

    SoC02 Mifumo ya kisera inayoweza kuhakikisha Afrika kupokea mapinduzi ya nne ya viwanda, ili kukuza ushirikishwaji wa vijana katika ajenda ya biashara

    Mapinduzi ya nne ya viwanda, yajulikanayo kama 4IR au 4.0, ni mapinduzi ya kidijitali yenye sifa za muunganisho wa teknolojia kati ya nyanja za kimwili, kidijitali na kibayolojia. Mapinduzi haya ya viwanda ni tofauti na yale matatu ya kwanza kwa sababu yale yalilenga kuongeza na kuendesha...
  3. SoC02 Unaweza kufanikiwa kupitia biashara ndogo ndogo, nifuatilie

    Salama wapedwa?, nawasalimu, leo nataka kushea na ninyi machache kuhusiana na hizi biashara ndogo-ndogo, ila nitajikita sana katika biashara ya mahindi, naamini usipokata tamaa kusoma kuna maarifa lazima uyapokee mazima-mazima, naomba zima tv yako, radio yako nk, halafu nipe akili yako yote kwa...
  4. I

    SoC02 Lengo la kufanya biashara au kuanzisha biashara

    kwanini tunafanya biashara? Mfanya biashra ambae hufanikiwa ni mfanya biashara ambaye huanzisha biashara akiwa amejiwekea malengo yake binafsi. Malengo aliyojiwekea mfanya biashara ndicho kitu pekee kitakacho mfanya au kitakachoonyesha kuwa mfanya biashara huyo amefanikiwa atafanikiwa. Ni kweli...
  5. Nahitaji posters kwajili ya matangazo ya biashara

    Habari wana JF, kama kuna mtu anaweza kunitengenezea posters kwajili ya matangazo ya biashara yangu online plse nicheki kwa namba 0717217520 calls & whatsapp.
  6. Hii biashara ya makorokoro imekaaje wadau?

    Kuna hii biashara ya kununua vitu vilivyotumika,kwa mfano vitanda,masofa viti ndoo,milango ya aluminium, mbao, mazulia, na zingine kibao hii imekaaje, kuna waliokwisha ifanya, mtaji kiasi gani kwa kuanza, wenye uzoefu wowote naomba anijulishe
  7. Elimu ya biashara kwa vijana wanaotaka kuanza

    Vijana tulio wengi mara nyingi tunakwama sana kwenye biashara kutokana na kupeana mawazo ya maandishi na siyo ya mazoezi unakuta vijana wengi tunakuwa na mitaji ambayo kweli tuki isimamia vyema ni rahisi kufanikiwa ila tunashindwa namna ya kufanya bishara kinachotufelisha mara nyingi ni...
  8. L

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China yahimiza maendeleo ya uchumi wa dunia

    Maonyesho ya Kimataifa ya mwaka 2022 ya Biashara ya Huduma ya China yamefungwa hivi karibuni hapa Beijing. Ikiwa ni moja ya majukwaa matatu makuu ya China kufungua mlango, maonesho hayo yanaonesha nia ya China ya kufungua mlango zaidi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika biashara ya...
  9. L

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio.
  10. K

    SoC02 Biashara ya nafaka (mahindi) nje ya nchi ni fursa muhimu, kuzuia ni kuikataa fursa ambayo ni adimu kuipata

    MAANA YA NAFAKA. Nafaka ni mbegu zinazotokana na mimea aina ya nyasi zilimwazo mashambani kama mahindi, mtama, mpunga, ngano na hutumika kama chakula kwa ajili ya binadamu na hata mifugo. Kumekua na kasumba ya mara kwa mara ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku nafaka hasa mahindi kuuzwa nje...
  11. A

    Naombeni msaada, nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani? Nipo Kinondoni - Dar es Salaam

    Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali. Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
  12. L

    Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China

    Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China
  13. Msaada juu ya masuala kadhaa katika biashara ya vipodozi

    Habarini wakubwa heshima yenu Mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs, sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda,na ata...
  14. Msaada juu ya maswala kadhaa katika biashara ya vipodozi

    Habarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda, na...
  15. J

    Biashara gani inamfaa mwanachuo?

    Habari wakuu Dogo amechaguliwa kujiunga UDSM (Main Campus). Anataka atakapokuwa chuo awe pia anafanya biashara ndogo ndogo ambayo haitampotezea sana muda wa masomo. Ikiwezekana aifanye mwenyewe au ampe mtu katika maeneo ya jirani asimamie. Tayari amejichanga tangu amalize chuo na ana 1.5m na...
  16. Ripoti: Saudi Arabia inakaribia kuwa lango kuu la Dawa za Kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (GDNC) imeeleza hayo baada ya kunasa tembe milioni 47 Dawa za Kulevya aina ya za Amphetamine ambazo zilikuwa zimefichwa kwenye shehena ya unga, ikiwa ni jaribio kubwa zaidi la kusafirisha dawa hizo. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Vidonge hivyo...
  17. L

    Bidhaa za Akili Bandia katika maonyesho ya biashara ya Huduma ya mwaka 2022 zawavutia watazamaji wengi nchini China

    Septemba Mosi, bidhaa za akili bandia katika maonyesho ya biashara ya Huduma ya mwaka 2022 ziliwavutia watazamaji wengi mjini Beijing, China.
  18. Intaneti ni biashara si anasa. Intaneti ni ajira, si starehe kama pombe na sigara!

    Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando. Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
  19. Tatizo sio mitaji tu, hata majina ya biashara ni changamoto sana😂😂😂

    Ona hili jina la Biashara😅😅😅 na bado niingie na mama mkwe kunywa soda
  20. Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

    Binafsi Biashara ya FOREX, naisemea kwamba inahitaji uijue wewe mwenyewe kwa kutafuta knowledge yake na kuelewa ni nini unafanya uingiapo sokoni 1. Weka Trading Plan 2. Acha Tamaa ya kutaka kutajirika within a day 3. Usitegee Signals kwa mtu 4. Uwe na muda wa kutosha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…