basi

  1. Basi ya Kampuni Gani Lipo Vizuri Dar es Salaam to Musoma Kupitia Kiabakari?

    Naomba kujulisha nataka kukata tiketi, kampuni gani ipo vizuri kwa ruti hiyo ambayo hawana ubabaishaji?
  2. Mane angezingatia kauli ya mama yake, basi tusingemfahamu leo

    Nyota wa soka wa Senegal, Sadio Mané, aliwahi kufichua ukweli wa safari yake yenye maumivu, upinzani na ndoto kubwa kabla ya kufanikiwa katika soka la dunia.Mané anasema kuwa akiwa mdogo, mama yake alimwambia wazi kuwa kucheza mpira ni kupoteza muda, akiamini kuwa hakuna njia ya mtoto wa...
  3. Basi tu ilimradi taflani

  4. Katika mahusiano kuna age fulani ikifika unasema ningelijua, ndio basi tena

    Leo ni mekumbuka enzi nzangu ni kipindi ni kiwa kijana. Nilimpata binti mmoja ambaye ujana wangu sikuwa na mda wa kumpa kama wafanyao wapendanao. Ilifikia tuka tengana naye mikoa tofauti kabisa kwa vile kwao ni mkoa mwengine. Baada ya kuanzishwa facebook mpaka ilivyoanza kuingia kwenye simu...
  5. Unajiuliza hawa machawa huku mitaondaoni ni akinq nani kumbe ndio wale walio andamana basi unawadharau sana hao watu

    Unajiuliza hawa machawa huku mitaondaoni ni akinq nani kumbe ndio wale walio andamana basi unawadharau sana hao watu. Kila mmoja anajua kuwa wao ni njaa wameokotwa okotwa huko ila wenyewe wapo serious wakijitoa akili kwamba hatujui kuwa ni wapumbavu walio okotwa huko. Hawana elimu, hawana...
  6. JF MIND GAMES: Hii ni picha ya nini.?

    Tafadhari usitumie AI, chekecha bongo
  7. DOKEZO Mradi wa SGR Mwanza Ndio Basi tena

    Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi...
  8. J.K Rowling: Ikiwa unaamini wapinzani wa kisiasa wanapaswa kuadhibiwa kwa vurugu au kifo, basi wewe ni gaidi

    J.K. Rowling, mwandishi mashuhuri wa Uingereza, mtayarishaji wa filamu na mwandishi wa skrini, anayejulikana duniani kote kupitia mfululizo wa vitabu vya Harry Potter, anazungumzia kwa msimamo dhana ya ushindani wa kisiasa. Anasisitiza kuwa siasa za kidemokrasia lazima zijengwe juu ya mjadala wa...
  9. Tunakoelekea: Kama viongozi wa dini hawasikilizwi na waumini wao, basi viongozi wa kisiasa wajiandae kisaikolojia

    Hamjambo wote! 1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI, Je ni HAKI, je Kina Ufahamu, maarifa na Akili, na mwisho kina UPENDO? 2. Jambo Hilo ndilo...
  10. Islam meanse Peace. Hivyo basi...

    Merry Christmas to all good people. Kama unaona hii salamu haikuhusu, basi sio mbaya. Mimi sina hiyana. Salaam Alaikum. Hii salamu ukiondoa lugha, kimuktadha haina mipaka. Ni kwa vile tu imenasibishwa na uislam. Hata hivyo wapo wakristo katika hizo nchi za kiarabu wanaitumia salamu hii...
  11. Kijana kama unataka ujijenge katika misingi ya masculinity na kutokubebeka na itikadi za kufikirika na za kisasa, basi fatilia madini ya watu hawa

    1: JORDAN PETERSON https://youtube.com/shorts/bUynwmuTZA0?si=eoQeDd8uByUwS1ar 2: BEN SHAPIRO https://youtube.com/shorts/fBLCnVkJ5vY?si=7Y48SE_E2PL9sukM 3: CHARLIE KIRK (RIP) https://youtube.com/shorts/dl8azReaeks?si=CAUenD-4wRm84pm3 4: JOE ROGAN...
  12. Wakuu , naomba ulizia ni basi Gani linatoka mwanza hadi moshi stendi pasipo kuishia njiani Arusha ?

    Kuna mzigo unasafirishwa kutokea mwanza hadi Moshi mjini stendi Msaada wa. Hili !?
  13. Kama kuna mtu anaweza kuua watu wote hao na hakuna lolote la kumkuta basi kila mtu ajipambanie

    Inasikitisha sana kuona muuaji bado anadunda tu na afya na kiburi juu. Mtu ametengeneza maadui zaidi ya 60 million, wanaomuombea kifo kila siku. Mtu ameteka na kuwapoteza watu wa rika zote waziwazi bila kificho. Na mtu huyo hatuna la kumfanya hata kwa umoja wetu na hasira zetu, Na Mungu...
  14. Kwa matukio haya mpaka sasa huyu akiendelea basi nyie ni zamu yenu mnayetunza.

    Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha. Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie. Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
  15. Wale wahanga wa LLB na FIC ndio basi tena?

    Baada ya serekali kuwaokoa wasiendelee na vipigo vikali kwa kufungia hizo kampuni za LLB na FIC kisha kuwakamata waliokuwa wakiendesha hizi kampuni za kitapeli ndio basi tena? Ukimya ni mwingi. Nini kinaendelea?
  16. Kama M23 wamefika Uvira, kumbuka Burundi ni kama Tanzania iliyojifia basi Kigoma kuwa mbioni

    Tuanze kwanza M23 ni wa kina nani?. Kuna historia kubwa zimeongelewa hapa JF kuhusu Congo, Rwanda na mambo yanayoendelea. Nasema haya sababu hata Mwigulu alishatuambia tukimbilie Burundi na idara ya uhamiaji kama Mtanzania uwezi kupewa kesi uraia zaidi ya Burundi. Kwa Burundi ndio nchi ambayo...
  17. M

    PostGE2025 Msanii anayetaka kusamehewa basi aje tushiriki maandamano hiyo ndiyo toba ya kweli

    Hakuna blabla wakitaka hawa nyau tuwasamehe kutoka moyoni waje tushiriki nao kwenye maandamano tena wabebeshwe na mabango bila hivyo waende wakale walikopeleke mboga
  18. Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni Waafrika waliuzwa kama njugu Fedha walizouzwa Waafrika...
  19. PostGE2025 Bila maandamano kuundiwa sheria na muongozo; basi tutegemee machafuko kutokea kila yakitokea maandamano

    Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano. Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana utajengeka kwa watanzania; kwa makundi mbalimbali kwenye jamii (wafanyakazi, wanafunzi, wazee, vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…