bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Hatujuani bado ila kaniambia nitenge siku 3 nimfuate mkoani alipo, anataka nikamshauri 😂

    Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo. Nimeambiwa hayo. Ni leo mchana niko shambani nimemaliza kulisha nguruwe wangu nakuta simu inaita. Ni rafiki angu mgeni kidogo bado, wa kike, age 24 hivi, nikapokea tukaongea ongea na katika mazungumzo akasisitiza "sasa, naomba utenge siku 3 kuanzia...
  2. Hivi bado kuna mtu anasubiria mwanaume au mwanamke ampende ndio ajiskie raha kwenye maisha?

    Kama wewe ndio muhusika Unasubiria mpaka mwanaume au mwanamke akupende ndio uanze kujipenda Au kama bado una seek validation or approval kwa mwanaume au mwanamke kwenye swala zima la kupendana Comment hapo chini MIMI NI MJINGA
  3. Migahawa ya tanzania bado sana kwenye kulisha watu.

    Maisha yetu na vyakula ni kama tuna weka tumbo liwe limehisi chakula tu. Hivi kuna mgahawa unaweza kupika mfano wali kilo 500 kwa siku achana na vyengine. Kuna nchi unajiuliza jinsi vyakula wanavyotumia yani mtu mmoja anaweza kula kuku mzima wa kilo moja au nyama kilo ila huku kwetu vifinyango...
  4. F

    Hivi wazazi na walezi wa Sasa, Bado mnafundisha watoto kutunza bikra zao?

    Hili ni swali, Bado wazazi na walezi wa Leo mnafundisha watoto wenu wa kike na kiume kutunza bikra zao? Karibuni
  5. Bado sijapata jibu sahihi

    Aliye kuwa Mkuu wa ardhi na nyumba na.... Juzi tu aliwaita wadau wa ardhi na moja ya ahadi zake ilikuwa kuwasughulikia sekta ya REAL ESTATE. hajafika hata dodoma. Wamekula kichwa. Alikurupuka?
  6. O

    Gachagua Bado Anaweza Kugombea Urais 2027 Licha ya Kuondolewa Madarakani, IEBC Yaeleza

    Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, bado anaweza kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 licha ya kuondolewa madarakani, baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kueleza kuwa mgombea hawezi kuzuiwa kushiriki uchaguzi ikiwa bado ana rufaa inayosubiri kuamuliwa mahakamani...
  7. Katavi; Chakula kipo, lakini udumavu bado watikisa Watoto

    Wakati Katavi ikizalisha kwa wingi mahindi, mpunga, mihogo, viazi vitamu, maharage, mtama, kunde, karanga, alizeti, ndizi, parachichi, maembe na mboga mbalimbali zinazoweza kutoa virutubishi muhimu kwa afya na ukuaji wa binadamu, mkoa huo bado unakabiliwa na tatizo la udumavu kwa watoto, hali...
  8. HOJA Serikali imegharamika sana kujenga madaraja ya Watembea kwa Miguu Kimara, Buguruni na Manzese, ila watu Bado wanakatisha barabarani!

    Sijui ata tunawaelewaje. Na wanasababisha foleni, huwezi amini.
  9. Fanya maamuzi sahihi ukiwa na nguvu bado

    Kuzaa hutaki, na unasema hutaki kuwa na watoto, kwa sababu unaishi maisha ya kuigaiga watu huko duniani. Unafikiri huko uzeeni ukizeeka au ukiwa na miaka 40+ ukakutana na changamoto za kiafya, unategemea mtoto wa nani ndio aje akuhudumie kwa kukupeleka msalani au kukuogesha? Fanya maamuzi...
  10. Monday ni ya Nikonekt

    Bado wewe ni WiFi ya umeme wa jirani? Simu unachaji kwake, barafu unagandisha kwake, hadi mpira unaangalizia kwake! omba umeme basi kupitia nikonekt tukuwashie Your home deserves its own power! Mpaka nimeongea na kingeee labda utanielewa😂
  11. Nataka kuanziasha chama Cha siasa Inashangaza kuona bado mnahaidiwa mambo waliohaidiwa wazee wa miaka ya 90 mnahaidiwa mpaka leo Yale yale

    Nataka kuanziasha chama Cha siasa Inashangaza kuona bado mnahaidiwa mambo waliohaidiwa wazee wa miaka ya 90 mnahaidiwa mpaka leo Yale yale
  12. S

    Bado siamini kama kuna Mungu

    Bado nina maswali magumu kuhusu uwezo wa kitu chenye nguvu na HURUMA zote
  13. N

    Wakuu hivi bado kuna watu hawajagundua kuwa chai na chapati mbili siku hizi hazishibishi?

    Wakuu kwema utani kidogo Wakuu hivi bado kuna watu hawajagundua kuwa chai na chapati mbili siku hizi hazishibishi ? Mimi binafsi nikiwa kawaida napiga chapati tano na nikiwa na mood mbaya napiga hadi nane
  14. U

    Kwanini wakiristo pamoja na ushahidi na dalili nyingi kwenye maandiko mbalimbali na Biblia wanagoma kuamini Muhammad ni Mtume wa mwisho wa Mungu ?

    Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Wadau hamjamboni nyote? Pamoja na ushahidi na dalili nyingi kutoka maandiko mbalimbali ikiwamo Biblia, kwanini ndugu zetu wakiristo bado hawataki kuamini Muhammad ndiye Mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu hapa duniani? Je Wakiristo wanaweza...
  15. Q

    Maria Sarungi: Makamu wa Rais Ndejembi ana kesi Uingereza anadaiwa faini mahakamani bado hajalipa

    AMKENI! @Africa_In_EN imechapisha madudu ya kimama na kumwanika Ndejembi Urafiki wake na Abdul iko on recordLakini pia alifunguliwa kesi Uingereza na anadaiwa faini na hadi leo hajalipa! Ndo nawaambia hawa TISS ya Mombo ni 🚮 - Makamu wa Rais mzima ameacha vimeo huko UK! Na tungejua huyo faini...
  16. Wachina wadhibitiwe bado hatujachelewa

    Wanaowaruhusu wachina kufanya shughuli zao katika ardhi adimu ya Tanzania, kwa scale/mitaji hio ya uwekezaji ambayo hata mzawa anaweza, basi kama sio kukosa uzalendo basi ni wanamtindio wa ubongo. Wachina ni janga lingine kama ilivyo kwa Wakulima na wafugaji...na huko mbele serikali jeshi la...
  17. N

    Shaka Hamdu Shaka: Tunamtafuta kijana bodaboda aliyepotea usiku na mchana na hatujachoka bado tunaendelea

    == Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka, amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea na jitihada za kumtafuta kijana Hassani Selimani (24), ambaye hajulikani alipo tangu Jumamosi baada ya kuchukua abiria kutoka Maguha kuelekea Mtumbatu. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Mhe. Shaka...
  18. Ubora wa elimu ya chuo kikuu ulidumaa sana tangu utawala wa awamu ya nne kuingia madarakani.

    Ukifuatilia habari za wanachuo Tanzania ulinganishe na habari za wanachuo wa nchi nyingine utagundua Tanzania bado ni nchi masikini na backward sana. Habari kubwa za wanachuo Tanzania ni 1. Matumizi ya mkopo (Boom) 2. Ngono 3. Uchawa kwa watawala Habari za wanachuo nchi nyingine ni 1...
  19. Hujaimiss bado?

    Baada ya Ficha bwana Ako ndani ikaja ,Samia bibi yangu atakufuna hadi ukome sasa ni Hujaimiss bado?
  20. Wewe mama, mbona bado unakaza na kusupaza shingo

    Jamani ukimwa wake wa mda mrefu nilijua anajutia makosa yake.kumbe hamna bwana! Nimeshanga sana, alafu ni mama mwenye watoto na anaenda msikini. Watu maelfu ya watu wamekufa Watu wametekwa kwa maelfu hawajulikani walipo. Watu wamefungwa bila kosa Watu wamepotezwa Watu wamekimbia nchi yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…