baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Ziara za Deng Xiaoping baada ya kupokea kijiti cha Mao. Hivi viongozi wetu huwa wanaenda kuzurura tu huko nje ?

    Hebu mtazame hapa huyu mwamba Deng Xiaoping katika ziara zake baada ya kuipokea China iliyokuwa imechoka vibaya katika miaka ya mwisho ya Mao. Deng alifanya ziara muhimu kwa wakati ule kwa majirani zake waliokuwa wamewaacha China mbali sana kama Thailand, Singapore, Japan, Malaysia tazama...
  2. Serikali lipeni mshahara wangu wa Machi

    Serikali kwa tafsiri isiyo rasmi ni viongozi wenye mamlaka ya kutoa maagizo kwa ngazi ya kitaifa. Kazi tumefanya, issue ya error ndogo ndogo kwenye mfumo isiwe sababu ya kutunyima pesa. Kuna watumishi wawili kazini nawajua hawajajisajiri kabisa kwenye huo mfumo lakini mshahara wamepata. Mimi...
  3. Kamanda wa NATO atenguliwa kushukiwa kuwa na mahusiano na Russia

    Baada kipigo cha Russia kwenye maficho ya NATO huko Ukraine NATO wameanza kumtafuta mchawi... #BREAKING Polish Lieutenant General Jaroslaw Gromadzinski, a commander of Eurocorps, a joint military group of some EU and NATO states, has been removed from his post after a counter-intelligence...
  4. Nimemchukia mno Baba Mdogo baada ya kujimilikisha nyumba na eneo la babu

    Kwa ufupi ni kwamba, babu yangu katika pilikapilika za kutafuta alifanikiwa kumiliki eneo ambalo lipo jirani kabisa na barabara ya lami, baada ya kustaafu katika shughuli za kiserikali basi akaamua kuhamia kijijini ambapo alifanikiwa kununua shamba na akajenga.. kule mjini akajenga pia nyumba...
  5. R

    Ni wakati sasa Msemaji Mkuu wa Serikali awe anachapisha taarifa yake na kurusha kwa umma baada ya kuzungumza na vyombo vya habari

    Tathmini inaonyesha msemaji wa serikali baada ya kuzungumza na waandishi wa habari taarifa yake uishia hapo au wakati mwingine kunukuliwa vibaya. Ili kuweka taarifa na kumbukumbu sawa kwa umma nashauri kuanzia sasa awe anatoa taarifa ya maandishi kwa umma baada ya kuzungumza na wananchi...
  6. Poland yatoa mlio baada ya makombora kuingia ndani ya Anga lake

    💬 "We inform that on March 24th, at 4:23 AM, there was a breach of Polish airspace by one of the maneuvering missiles launched tonight by the long-range aviation of the Russian Federation. The strikes targeted towns in western Ukraine. The object entered Polish airspace at the altitude of the...
  7. Mdau anaomba miongozo baada ya kukuta hiki kifaa kwenye mkoba wa mpenzi wake

  8. Mbinu za kujikwamua WhatsApp ban.

    Tutashare mbinu za kujikwamua na ban humu, kumbuka hii ni cat/ mouse game kwa hiyo sio kila mbinu itafanikiwa kwako. Fanya backup! Baadhi ya hizi njia zitapoteza chat msg/ picha etc so kama ni muhimu kwako fanya backup unvayojua wewe kabla ya kujaribu lolote. Tahadhari na factory reset...
  9. Baada ya kauli ya Waziri Bashe na TBS kuhusu Mchele wa msaada toka Marekani, nini kinaendelea?

    Baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Hussein Bashe ambaye ni Waziri wa Kilimo alieleza kuwa waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kwani Tanzania ina hazina ya mchele. Hata hivyo, muda si mrefu...
  10. Kumbukizi ya Dkt. Bashiru: "Sitagombea wala kukubali uteuzi wowote baada ya huu". Kilichofuata baada ya hapo ilikuwaje?

    Mei 29, 2018, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, aliteuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu cha chama hicho akichukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye aliomba kujiuzulu. Baada ya uteuzi huo, Dkt. Bashiru alitoa kauli kuwa nafasi hiyo ni ya kwanza na ya mwisho kwake na hatakubali kuteuliwa katika nafasi...
  11. Amemchoma Mke wake wa zamani ili afukuzwe kazi. Je, kakosea?

    Jamaa anadai huyu Jenifer ( siyo jina halisi) alikuwa mke wake wa ndoa, walipofunga ndoa jamaa alifanya janja janja ili angalau na mke wake apate sehemu ya kupata kipato chake Akiwa ndo wana mtoto mmoja jamaa aliandaa mazingira fulani akapata cheti na kufanikisha mke wake kuingia chuo na baada...
  12. Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kukubali

    Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanamke yupi muongo au tapeli wa mapenzi kwa mwezie
  13. Baada ya biashara ya urembo wa magari sasa nipo natazamia hizi zifuatazo.

    Wakuu Habari za siku ? Natumai wengi ni wazima wa afya na wenye kuumwa mpate kupona na kuendelea na mapambano. Baada ya kuingia kwenye biashara ya urembo wa magari, kiukweli nimejifunza vitu vingi. Ikiwemo changamoto zake na jinsi biashara nzima inavyoendeshwa. Biashara hii imenifungulia...
  14. Benki ya Ethiopia yawataka waliochota fedha ATM baada ya mtandao kuharibika warudishe

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) imewapa wateja waliotoa pesa nyingi zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao hadi mwisho wa wiki kuzirejesha la sivyo watakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Vyombo vya habari viliripoti kuwa zaidi ya Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 102) zilitolewa au...
  15. L

    Wafanyabiashara wa Tanzania wachekelea baada ya kuzinduliwa njia mpya ya meli kati ya China na Dar es Salaam

    Hivi karibuni Tanzania ilizindua njia mpya ya meli ya moja kwa moja kati ya China na Bandari ya Dar es Salaam. Huduma hii mpya ambayo inatarajiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa muda wa mizigo kusafiri kutoka China na kuwasili Tanzania, kutoka wiki sita (siku 42) hadi wiki tatu (siku 21), inaonekana...
  16. Mtoto ajinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku

    Inasikitisha sanaa Naangalia taarifa ya Habari ITV mtoto wa darasa la pili amejinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku Baba mzazi alipoulizwa alikiri n kwelli ye na mzazi mwenzie walikuwa na tofauti na baadae mkewe akamua kuondoka siku 5 zilizopita Jana anarudi anakuta watu wanejaa...
  17. Hawa ndio wamebakia watiifu wakweli wa hayati JPM wako pamoja nae hata baada ya kifo

    Doto James, Ngusa Samike, Medard Kalemani wamebakia watiifu kwa hayati JPM hata baada ya kifo chake. Wengineo ni mamluki tu, hata yule wa Dodoma mzee wa “atake asitake tutamuongezea” sijamuona kwenye ibada ya swahiba wake!
  18. Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

    Ujinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza...
  19. Sudan Kusini: Shule zafungwa baada ya Joto kali kuongezeka

    Serikali imeamuru kufungwa kwa muda usiojulikana kwa Shule zote kutokana na joto kali ambalo linalotarajiwa kufikia hadi nyuzi joto 45 (113F) na kudumu kwa Wiki 2, huku ikionya Shule ambayo itakaidi maagizo hayo itafutiwa Usajili wake. Sudan Kusini inapitia Vipindi virefu vya Joto wakati wa...
  20. N

    Kwahiyo baada ya siku 40 inaruhusiwa tu kunanihii?!!!!

    Naomba kujua wajuzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…