baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. KUNA JAMBO MOJA NILILOJIFUNZA BAADA YA MSIBA, NA KAMA NINGELIELEWA MAPEMA, NINGEISHI TOFAUTI.

    KUNA JAMBO MOJA NILILOJIFUNZA BAADA YA MSIBA, NA KAMA NINGELIELEWA MAPEMA, NINGEISHI TOFAUTI. Leo niko na wazee wangu baada ya kipindi kigumu cha msiba. Nimekaa nikitafakari mambo mengi kuhusu maisha, familia na muda ambao tunao duniani. Kuna kitu nimekielewa kwa ukubwa sana: Ukiwa bado na...
  2. K

    Je mafuasi na machawa ya samia kwa uelewa wenu kisaikolojia yana hali gani baada ya kuhumu ya mchongo kwa lissu jana?

    Sote tunafahamu kuwa lissu alishtakiwa kwa uhaini ambapo mafuas na machawa ya samia humu jf na kwingineko yakaanza kuimba wimbo mhaini dawa yake ni kunyongwa tu, "of course machawa haya wakati yalipokuwa yakiimba wimbo kuwa dawa ya lissu ni kunyongwa tu mimi binafsi niliyaona mehu maana nikiwa...
  3. Judge Dunstan Nduguru na wenzake baada ya hukumu hii, basi ipo siku atasema nililazimishwa kwa mtutu wa bunduki kusoma hukumu hiyo!!

    Actually, atakuwa anafanya utetezi wa kijinga lakini usishangae kabisa ikitokea unless wawaue sasa... Na hawa mabwana watatu wanajiita "Majaji" watakufa kweli kwa kuwa kwa hiari zao wenyewe wamechagua fungu hilo la kuwa upande wa dhuluma na mauti badala ya kuchagua upande wa haki na uzima...
  4. S

    Baada ya Lissu kufungwa, viongozi wa CHADEMA na watanzania wataona hawana tena cha kupoteza kwa kwenda jela

    Licha kuongeza chuki na hasira miongoni wa wanachadema na watanzania kwa ujumla, athari za hukumu hii ni kuwafanya viongozi wa CHADEMA na watanzania kwa ujumla kuona hawana tena cha kupoteza iwepo na wao watashitakiwa na kufungwa jela
  5. L

    TETESI: Baadhi ya Viongozi Wa Dini Wamefura hasira Baada ya hukumu ya Lissu. Kanisa Kutumika Kinyemel Kuishambulia Serikali na Rais Kwa Matamko Makali

    Ndugu zangu Watanzania, Hizi ni Tetesi ambazo nimepewa kuwa kuna Baadhi ya Viongozi wa Dini Wamefura kwa hasira kwelikweli baada ya kutoka kwa hukumu ya Lissu. Ni katika msingi Huo wanapanga kulitumia kanisa ama Mwamvuli wa Kanisa Kutoa Matamko makali makali yenye lengo la kuishambulia...
  6. Yeriko Nyerere amepost hivi baada ya hukumu ya Lissu. Mwambieni hatutasahau tutamkumbusha siku ikifika

    Huyu ni miongoni mwa walioumia baada ya Lissu kuibuka mwenyekiti wa Chadema January mwaka 2025. Sasa baada ya hukumu ya leo ya Tundu Lissu tarehe Novemba 6 mwaka 2026, ametweet huko mtandao wa X kuonyesha furaha yake. Mlio karibu nae, mwambieni ubaya hauna kwao na siku ikifika tutamkumbusha...
  7. Mahakama imethibitisha LISU hahusiki na mauaji

    tangu mwanzo tunajua lisu hana hatia tunajua aliyefanya mauaji kwa hiyo bado tunataka uwajibikaji kwa wauaji kwa sababu wanajulikana.wauaji laana yenu ipo palepale mtalipia SAMUYA and co.
  8. O

    Marafiki Hatari Mombasa: Rose Mwende Amepooza Ubongo Baada ya Kutiwa Sumu Inayodaiwa na Marafiki

    Kisa hiki cha kusikitisha kimetokea huko Bamburi, Kaunti ya Mombasa, ambapo msichana aitwaye Rose Mwende Mala anasalia kitandani kwa miezi tisa akiwa amepooza ubongo wake kwa asilimia 50, baada ya kuhudhuria sherehe yake ya siku ya kuzaliwa aliyoandaa na marafiki zake. Mnamo Februari 14, Rose...
  9. S

    Yanayoendelea Bongo, yamenifanya nielewe kwanini Samwel Doe aliuwawa kikatili baada ya kukamatwa

    Nimeelewa kwanini Dictator Samwel Doe aliuwawa kikatili baada ya kukamatwa. Sikuelewa kwanini walifikia hatua ya kumkata sikio kama wanakata nyama kwa ajili ya kitoweo,n.k Kuna mambo yanaumiza sana kwenye hii dunia
  10. Kangi Lugola Acharuka kwa Kuandaa Muswada Chini ya Hati ya Dharula: Anataka Bunge Limpe Meno CAG kwa Ajili ya Kuwashtaki na Kuwafunga Wezi Serikalini

    Mhe. Kangi Lugora, Mbunge wa Mwibara Hatimaye, ni kama, Kangi Lugola, mbunge mkongwe wa jimbo la Mwibara, lililoko katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, ameamua kuachana na maneno ya miaka nenda rudi yasiyo na vibwagizo vya matendo. Baada ya moto kuwaka huko bungeni kutokana na madudu yaliyomo...
  11. Kwa kweli Marekani ni model wa Demokrasia duniani.

    Kwa kweli Marekani ni model wa demokrasia duniani. Uchaguzi imefanyika ndani ya masaa sita washindi washajulikana na walioshindwa wamekubali kushindwa na maisha yanasogea. Hadi Rais kichaa Trump kakubali kushindwa na kuahidi kufanya kazi na democrats. Kwa marekani usipotekeleza sera zako...
  12. S

    Mwaka 1979 Jerry Rawlings alifanywa kiongozi wa Ghana akisubiri kunyongwa kwa kuhukumiwa kifo kesi ya uhaini kisha wanajeshi vyeo vya chini wakamuokoa

    Jerry Rawlings; Kutoka kuhukumiwa kifo kwa uhaini hadi kuwa raisi wa Ghana Mapema mwaka 1979 Jerry Rawlings, akiwa pilot katika jeshi la Ghana mwenye cheo cha luteni, aliongoza uasi dhidi ya serikali ya raisi wa Ghana Fred Akuffo ambae aliona serikali yake imejaa ufisadi, rushwa, wizi na...
  13. MAKUBWA: Senator amshukuru mume wake baada ya kushinda useneta...

    KUla chuma hicho.
  14. N

    Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa vyama vya CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025..!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025. Diplomacy should always be given a chance before the first bullet is shot. "MILITARY ACTION" must only be a decision of last...
  15. Baada ya kumsikiliza Lema, itoshe kusema kuna uporaji mkubwa wa haki za watu CHADEMA, wanatenda tofauti na maneno yao

    Kwa mliokuja Inbox kutaka maoni yangu kuhusu press conference ya Lema tafadhali someni huu uzi kwa makini. Nitaandika kwa ufupi sana. Kwa ufupi ni kuwa Lema kakivua nguo chama chake na uongozi uliopo sasa. Haya ni mambo kadhaa niliyoona; 1. CHADEMA inahubiri kutaka haki ila inatenda tofauti...
  16. Baada ya utabiri kwa Samia kutimia napumzika siasa mpaka 2030 Inshaalah

    Wakuu; Baada ya kutabiri sawia kabisa Samia kuwa Rais 2025. Naona nipumzike siasa kwa muda mpaka 2030 tukijaliwa. Wish you all mijadala yenye tija. Mpaka tukikutana tena.
  17. Siku chache baada ya Waziri Kadogosa kutoa maelekezo, Mitambo 41 yarejeshwa katika Mradi wa Iringa Bypass

    Agizo lililotolewa na Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, mwezi Oktoba 2026, mkoani Shinyanga, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Msalala, wilayani Kahama, limeanza kutekelezwa baada ya vifaa na mitambo ya ujenzi kuanza kurejeshwa katika maeneo ya miradi husika, hatua inayolenga kuhakikisha...
  18. Waarabu huko Israel wapunguza kuuana baada ya wanajeshi wa Israel kuingilia kati kuwanusuru!!

    Kamishna wa Polisi wa Israeli Danny Levy alitangaza kupungua kwa takriban 14% kwa mauaji ndani ya jamii ya Kiarabu tangu mwanzo wa 2026 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana. Takwimu hizo ziliwasilishwa wakati wa mkutano uliohudhuriwa na makamanda wakuu wa polisi na maafisa. Levy...
  19. Wafuasi CHADEMA na wanaharakati wa CHADEMA, Heshimuni Viongozi kwasababu serikali ni madhabahu ya Mungu hapa Duniani

    Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika. Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
  20. Nafikiri huu ni mwaka ambao visa na visasi vya issues za kimapenzi vimetia doa kubwa katika jamii. What is next tena baada ya hili tukio la arusha?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…