baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

    Mkurugenzi wa Mossad, Roman Gofman, amewaondoa maafisa wawili waandamizi wa shirika la ujasusi ambao walihusika kwa karibu katika kutengeneza mpango usiofanikiwa wa kuangusha utawala wa Iran, televisheni ya Israeli iliripoti Alhamisi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel, mmoja wa maafisa...
  2. Familia ya Muigizaji wa wakanda, Chadwick Boseman Yadaiwa Kukabiliwa na Bili ya Hospitali ya Karibu Dola 900,000 Baada ya Kifo Chake

    Kifo cha mwigizaji maarufu Chadwick Boseman mwaka 2020 kiliwashtua mamilioni ya mashabiki duniani kote. Boseman, aliyefahamika zaidi kwa nafasi yake ya T'Challa katika filamu ya Black Panther, alikuwa akipambana kwa siri na saratani ya utumbo mpana (colon cancer) huku akiendelea kufanya kazi...
  3. Mwanamume akamatwa baada ya kuvaa kama 'Grim Reaper' (Malaika wa Mauti) na kusimama juu ya paa la hospitali na kuwakodolea macho wagonjwa

    Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 26 anayeitwa Leon Gillespie alikamatwa kwa kuvaa vazi la 'Grim Reaper' na kusimama kwenye paa la Hospitali ya Ysbyty Glan Clwyd huko Wales. Baada ya mahojiano likubali mashtaka mahakamani na kupigwa faini ya pauni 200 (£200) na mahakama ya Llandudno. Tukio hilo...
  4. Baada ya makongamano na shughuli za ibada Tanganyika Peaks–Kawe, nani anawajibika kwa usafi wa mazingira?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la Arise and Shine (maarufu kama kanisa la Mwamposa). Viwanja hivyo vimeendelea kuwa na shughuli mbili...
  5. Tiba za kihindi (ayurvedic) na za asili za Tanzania malipo ni baada ya kupokea mzigo

    Hernia powder;shs 40,000 dozi Siku 7 ni dawa ya Asili inatibu tatizo la ngiri na uvimbe, Korodani kushuka na kuingia ndani,maumivu ya Korodani, ume kulegea au korodani kuvimba, homoni msawazo shs 40,000 dozi siku 28 ni dawa bora ya kutibu magonjwa yote ya uzazi -Ugumba, Pid, chango la...
  6. Wanaume kwenye kurudisha fadhila wako vizuri

    MEN ARE SIMPLE, unamsaidia leo 50k baada ya miaka kumi unashangaa anakupigia simu akulipe fadhira karibia mara 50 yake, unamwambia NO ila ana insist.
  7. Haki uleta amani pale Palipo na Amani Haki inapatikana Ukiona mwana Siasa anatanguliza Amani baada ya HAKI huyo ni Tapeli

    Palipo na Haki amani hipo watu wanaotaja Amani huku neno HAKI kwenye vinywa vyao hao ni matapeli wanatumia neno amani kwa maslahi yao...
  8. Simba wana akili nyingi sana. Baada ya usajili kubuma wameamua kujivunja

    Kwakifupi si Moo wala Magori, wote wanaogopa sana kipigo cha kihistoria watakachopata tarehe 12/08/2026 hivyo wameona watengeneze mgogoro ili ionekane Yanga kaifumua Simba magoli 15 - 0 kipindi Simba haijakaa sawa.
  9. MAISHA BAADA YA KESI NIMEFIRISIKA YAMEKUWA MAGUMU SANA

    HAbari ndugu zangu nahisi kuchanganyikiwa jumatano
  10. HAKI YA KULIPWA FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI

    Habari ndugu zangu wanajamii forum, Nimekuja huku kuomba kujengewa uwezo na wataalam wetu mliopo katika jukwaa hili la Sheria. Mwaka juzi nilikuja na post yangu kuomba msaada baada ya kufukuzwa kazi serikalini Kwa zengwe la kutengenezwa. Ninashukuru Kwa yote, mambo yalienda sawa nikaja...
  11. Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani. Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
  12. A

    KERO Utitiri wa Makanisa huku Salasala umekuwa kero kwa kelele, utaratibu wa vibali uangaliwe upya

    Nikiwa muumini wa Mungu, naiomba Serikali iangalie upya mfumo wa usajili na usimamizi wa baadhi ya makanisa. Badala ya kuwa sehemu ya kutatua changamoto za jamii, baadhi yamekuwa kero kutokana na kufanya mikesha kwa kutumia sauti kubwa zinazowanyima wananchi usingizi. Hali hii imekuwa...
  13. M

    Baada ya kuona Mkong'oto Umewaingia kisawasawa na ma sponsor wao Iran wamebanwa hawana pesa, Hamas yasema ipo tayari ku surrender,

    Baada ya kuona mambo yamebadilika na wafadhili wao wakikumbwa na changamoto za kifedha, Hamas sasa wanaonekana kulegeza msimamo. Afisa wa kundi hilo anayehusika na mazungumzo, Ghazi Hamad, amesema Hamas ipo tayari kukabidhi silaha zake kwa Kamati ya Kitaifa ya Palestina, chombo kinachopendekezwa...
  14. A

    RESOLVED Huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni zarejea baada ya kusitishwa kwa takribani mwaka mmoja

    Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
  15. M

    Baada ya Maridhiano ya Watanganyika na Watanganyika ndio tutafikiria Mazungumzo na Wazanzibari

    Zanzibar walifanya mazungumzo yao chini ya Wazanzibari. Hakutakuwa na maridhiano ya Tanzania, hadi Watanganyika tutakapo ridhiana kwanza. Wazanzibari lazima wajue ni wakati wa kurudi kwao, siku kadhaa zijazo itabidi tutumie kitabu cha Rwanda, kuidai Tanganyika.
  16. O

    Kampeni za Seneta Edwin Sifuna Zapata Msukumo Baada ya Wakazi wa Kimilili Kumchangia Fedha Hadharani

    Aliyekuwa Katibu Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna, alipata uungwaji mkono wa kipekee wakati wa kampeni zake Kimilili baada ya wakazi kujitokeza kwa hiari na kumchangia fedha hadharani katika mkutano wa kisiasa. Kwenye video iliyosambaa mtandaoni, wananchi wanaonekana wakisogea mmoja baada ya mwingine...
  17. O

    Mwalimu wa Naivasha afariki kwa kujitoa uhai baada ya kudaiwa kupoteza Sh40,000 za safari ya wanafunzi kwenye kamari ya michezo

    Mwalimu mmoja wa Naivasha ameripotiwa kufariki kwa kujitoa uhai katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kupoteza Sh40,000 kupitia kamari ya michezo. Kwa mujibu wa Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (DCIO) wa Naivasha, Isaac Kiama, fedha hizo zilikuwa zimetengwa kugharamia safari ya wanafunzi ya mwisho wa...
  18. Maisha yangu baada ya kufilisika kwenye forex

    ...
  19. Maria Sarungi: Majibu yangu kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi baada ya kunitaja katika hotuba yake akiongea na Asasi za Kiraia za Haki za Binadamu

    Kwako Dr Emmanuel Nchimbi; Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu: Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
  20. Fresh air, Nchimbi kaleta dhamira mpya ya CCM baada ya kubanwa na mabeberu?

    Sina zaidi la kueleza maana mada za Nchimbi jukwaani ni nyingi. Je, kibano cha mabeberu kinafanya kazi yake na watu wanfikiri sawasawa sasa? At any rate , hata Mwalimu mwaka 1977 aliwahi kusema TUJUSAHIHISHE, kama msimamo wa TANU/CCM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…