Yaliyotokea Oktoba 29,kwa maoni na mawazo yangu yametokana na yafuatayo
1.Kukosekana kwa usawa wa kidemokrasia katika chaguzi,
2.Udini,Uzanzibar na Ujinsia.
Suluhisho.
1.Kwa chama chochote cha siasa chenye nia ya kumsimamisha mgombea wa Urais ambaye ni muslim kihakikishe huyo Mgombea...